azam

  1. JamiiForums Tanzania Azam Sports Federation cup: Simba Vs Coastal Union | Benjamin Mkapa Stadium

    Mechi tayari imeanza na saizi ni dakika ya 20 Matokeo Bado ni 0-0 OKW BOBAN SUNZU nilijua Ile post Yako kuhusu hamu ya kuiona Simba inacheza itakufanya uanzishe Uzi wa update
  2. JamiiForums Tanzania Azam Tv msimu huu mbona hamuoneshi Emirates F.A Cup?

    Misimu iliyopita tulikuwa tunakula burudani ya Kombe la FA kupitia AzamTv Sasa hivi michuano inaendelea AzamTv haoneshi labda ile Carabao Cup. Sasa kama mnashindwa kuonesha Emirates FA Cup mtaweza kweli mziki wa EPL? Nilikuepo!
  3. JamiiForums Tanzania Kali Ongala (almasi iliyojificha kwenye tope) ndio Arteta asiyeaminiwa pale Azam. Azam ikitaka kuwa kubwa wampe timu.

    Aliichukua timu kwa muda anashinda karibu kila mechi. Akawapiga Simba na Alikuwa awapige na Yanga sema refa alikuwa upande wao. Lakini Kama kawaida wivu, ushamba na kutokujua wakampa timu mzungu wa % za kugawana timu imeanza kupoteana. Timu yenye kila kitu inakosa akili kubwa kiongozi. Kali...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Gharama za kulipia Azam Tv ni kubwa kwa Tanzania kuliko majirani zetu

    Kwa sisi wapenzi wa mpira na kisimbuzi cha Azam Tv, nilijipa muda nikachunga na kuthibitisha sisi Tanzania tunalipia pesa nyingi kununua na kulipia vifurushi vya Azam tv tofauti hata na majirani zetu Kenya na Uganda, najiuliza hivi shida yetu kubwa ni nini hadi tunalipia gharama kubwa hivi...
  5. JamiiForums Tanzania Je, lile Tamko la Wazee na Viongozi wa Matawi wa Yanga SC kutotumia bidhaa zozote zile za Azam Company linatekelezwa?

    Tafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia ili nijue kama wanastahili kuwahi Matibabu yao ya haraka Hospitali za 'Vichaa' Milembe Mkoani Dodoma...
  6. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya watangazaji wa mechi Azam TV na kutumia Neno "Madhambi" mmeitoa wapi?

    Habari ya ijumaa wadau wa JF muda huu nimejiunga na azam max hapa nitazame mechi ya fainali ya mapinduzi cup huku nikiendelea na kazi but nimepata ukakasi kwa kile nilichokuwa nakisikia mara kwa mara kutoka kwa mtangazaji Gharib Mzinga kwa namna anavyopenda kutumia neno "madhambi" kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Meya wa Jiji la Dar kuzindua kinachoitwa 'Chawa wa Mama'

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA . Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya habari inaonyesha kwamba shughuli hiyo itasimamiwa na Mstahiki Meya Kumbilamoto , na Kwamba Wasanii...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Huyu Azam aliyepigwa 4-1 na Singida ni Azam ipi?

    Wanaofuatilia Mapinduzi Cup naomba kujuzwa kama Azam aliyepigwa 4-1 jana na SBS ni huyu huyu Azam wa sopu, mbombo na dube.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vivuko vya Azam pale feri Dar es salaam kuna dalili za Ufisadi

    Nimepita maeneo ya feri Dar es Salaam kwa ajili ya kuvuka kwenda upande wa Kigamboni. Nilichokiona pale kwa kweli kimenifikirisha na kunitafakarisha sana na kunifanya niwaze sana juu ya mustakbali wa nchi hii. 1. Kuna dalili kampuni ya Azam imepewa dili kinyemela kufanya kazi ya kuvusha watu...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kwa haya maamuzi tukisema kuwa huenda GSM alikuwa anatafuta vita ya kibiashara na Azam siku nyingi tutakuwa tunakosea?

    GENTAMYCINE sitaki kabisa kuamini kuwa haya maamuzi ninayoyaita ya kipumbavu na kishamba yaliyofanywa na Kiongozi wa Matawi wa Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam ya kuwataka wana Yanga SC wote kususia kununua bidhaa zozote zile za Azam yamefanywa kwa ama bahati mbaya au kwa kukurupuka tu. Ukituliza...
  11. JamiiForums Tanzania Ewe Kiongozi Mwandamizi wana Yanga SC 'wameshakushtukia' kuwa ndiyo umemuuza Feitoto Azam FC hivyo waombe radhi yaishe

    GENTAMYCINE nasisitiza Kwako kuwa acha Kuwazuga kwa kujifanya kuwa Unaumia na Umekereka sana na Dogo Fei kufanya aliyoyafanya. Kwa Taarifa yako tu ni kwamba kuna Masheikh kutoka Zanzibar wameitwa kwa Kazi Maalum juu yako kwa Usaliti uliowafanyia halafu sasa Unawasanifu tu wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga tofautisheni kati ya Azam na Azam FC

    Nimewasikia wanachama na mashabiki wa Yanga wakihamasishana kususia bidhaa zote za Azam kulipiza vîtendo vya Azam fc kutumia nguvu ya fedha kurubuni wachezaji wake wake muhimu. Waliwataja akina Ngoma, domayo, chirwa, mbui, Ngassa na Sasa Faisal. Sina uhakika kama Azam fc inapokea maagizo...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Yanga: Tutavunja mkataba na Azam

    Viongozi wa Matawi ya Yanga wamesema watavunja mkataba na Azam kama ikijulikana walihusika kumshawishi mchezaji wao Feisal salum kuvunja mkataba.
  14. JamiiForums Tanzania Kaimu Msemaji Azam FC Hashim Ibwe: Ukiona unachukiwa jua unachokifanya ni sahihi, songa mbele

    Ukiona GENTAMYCINE anachukiwa sana na Manyang'au wengi Mtandaoni / Mitandaoni licha ya Yeye Kubarikiwa mno na Mwenyezi Mungu na kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer alivyo jua pia anachokifanya kwa 100% ni sahihi. Ni mwendo tu wa Kuwakera Maadui.
  15. JamiiForums Tanzania Jezi nyeusi ya Yanga ni tofauti na zile za Azam na Mbeya city

    Mbeya city walivaa jezi nyeusi dhidi ya prisons wakanyooshwa, na Azam walivaa jezi nyeusi dhidi ya Yanga wakanyukwa. Jezi nyeusi ya Yanga sio TU ni nyeusi bali Ina majina ya watu wao muhimu sana. Sio weusi unaofanyakazi bali zile signatures za watu muhimu, legends. Vinginevyo utapata mkosi kama...
  16. JamiiForums Tanzania Fei Toto Kama Hujasaini Azam basi Nenda Simba

    Kwa matusi yale yaliyoporomoshwa jana na Wafuasi wa Yanga, ningemshauri Fei ajisajili Simba ili apate nafasi ya kuwashughulikia Yanga katika mechi ya mzunguko wa pili wa ligi kati yao. Fei keshafanya makubwa kwa Yanga na kwa muda mrefu lakini malawama na matusi aliyoyapata jana wakati yeye...
  17. JamiiForums Tanzania Bila dola laki mbili 2 Feisal hatocheza Azam

    Nimeona magazeti leo wanaongea sana, niwajulishe tu Fei anatakiwa kununua mkataba na sio kuvunja. Ukinunua unatumia kipengele cha 18, 1.2 na ukivunja unatumia 14 A.B ambacho unarudisha fedha ya usajili. Katika vita hii niwahakikishie kama Azam hatolipa milion 480 Yanga atakuwa mshindi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ally Ahmada anaigharimu Azam FC

    Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo. Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
  19. JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

    Mchezo huu ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ikiwa kileleni katika nafasi ya kwanza wakati Azam FC ikiwa nafasi ya tatu. AZAM vs YANGA: Katika mechi 11 walizokutana kwenye Ligi Kuu tangu msimu wa 2017/18, Yanga wameshinda mara nyingi zaidi huku sare zikiwa ni mbili pekee. Mchezo wa leo...
  20. JamiiForums Tanzania Kutokana na mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam mechi ya Azam na Yanga itapigika kweli kwa Mkapa?

    Kama vile naona Uwanja utafurika Maji. Mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam Kitapigika kweli leo kwa Mkapa Azam na Yanga?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…