azam

  1. JamiiForums Tanzania Azam na habari ya saa mbili haitangazi matukio muhimu ya Serikali

    Nimeangalia headlines ya Azam leo tarehe 25 Julai 2024 kwenye UTV ambapo leo kulikuwa na issue kubwa ya RAIS kuadhimisha siku ya Mashujaa, habari hiyo haikuwa kwenye headline. Kulikuwa na Treni ya kisasa ya Umeme ya SGR kufanya safari yake kutoka Dar hadi Dodoma lakini habari hiyo haikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kutumia Azam Max kwenye Android Tv

    Nimekuwa nikijaribu kudownload azam max kwenye android tv kupitia goggle playstore lakini imeshindikana kwa kuwa wanasema hai suppprt kwenye Tv. Je hakuna namna naweza kudownload azam max kwenye tv na kuweza kutazama kwa tv kama ilivyo kupitia simu???
  3. JamiiForums Tanzania Azam Tv wazindua chaneli mpya Azam Sports 4HD, watarusha La liga pamoja na Serie A

    Azam Tv wamezindua chaneli mpya ya Azam Sports 4HD na watarusha La liga ( Ligi Kuu ya Hispania) pamoja na Ligi Kuu ya Italy (Serie A) Chaneli hiyo itaanza kuruka hewani 1 August 2024. Tayari Azam Tv anarusha Ligi Kuu ya Tanzania, Ligi Kuu Kenya, Saudia Arabia, Ufaransa, Caf Champions League...
  4. JamiiForums Tanzania Sioni Azam akishiriki CAF champion league msimu huu

    Kwa utoto alioufanya Azam msimu uliopita akashindwa kufuzu shirikisho vs sijui kale ka timu ka wapi sioni Azam akicheza champions league msimu ujao Azam akishinda mechi ya kwanza hatua za awali anatakiwa apambane na fc Pyramids ya Misri, tena anaanzia Chamazi anaenda kumalizia Misri sioni...
  5. JamiiForums Tanzania Simba imeua Timu kama Azam ilivyofanya miaka 7 nyuma. Mchezaji aliyepata mbadala ni Moja tu Jobe kwa Yao Jean Chares. Bora matola atioke wasijempa

    Simba itagongwa vibaya msimu mpya. Ukweli kocha ni mbovu sana. Zaidi ya Matola. Usajili Yanga waliwadanganya na kuuza wachezaji muhimu. Makosa ilifanya AAZAM miaka 8 nyuma Simba imefanya sasa. itachukua miaka sita kukaa sawa. Vipigo vikianza tu Matola atatupiwa lawama Mara Juju, kurubuni...
  6. JamiiForums Tanzania Aisee uwanja wa KMC ni mzuri kuliko uwanja wa Azam

    Wapewe maua yao hawa KMC, Manispaa zingine nazo ziige mfano kwa KMC Nilikuwa naangalia Kagame cup, nimeuangalia uwanja wa KMC nikajua mzee Bakhresa kafanya ukarabati mkubwa, Mechi iliyofuata ya saa 12 nikashangaa kuona minazi na majumba nje ya kuta za uwanja ndipo nilipogundua kumbe ni azam...
  7. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Wachezaji wa Simba sio damu changa tazama hapa

    Leo nimelia sana Baada ya kugundua tunaenda kupigwa kitu kizito ( heavy thing) na uongozi wa Simba kuhusu usajili ambappo wanadai wamesajili damu changa ingawa kiuhalisia sio kweli Bali Wana UMRI mkubwa Mfano; 1. Mukwala - Imeandikwa ana 24 years, ila ukimcheki ni 30's. 2. Mutale - What a joke...
  8. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu AZAM bingwa 2024/2025

    Azam bingwa 2024/2025 Msimamo mwisho wa msimu 1 Azam Fc 78 pts 2 Young African Sc 78 pts 3 Simba Sc 70 pts 4 Singida black stars (Ihefu. 14 Pamba pts 25 15 Kmc pts 24 16 Mashujaa 20 Mfungaji bora (Young African Kipa bora (Azam
  9. C

    JamiiForums Tanzania naomba kujua mishahara ya maafisa habari / wasemaji wa vilabu vya nbc premier league ukiondoa tu wanaolipwa vyema wa yanga, simba na azam tafadhali

    kuna wa klabu moja nasikia pamoja na mikogo yake yote popote pale alipo analipwa shilingi laki tano tu ya mafungu
  10. JamiiForums Tanzania Ugeni 'Umedoda' kwani haujawashtua wengi kwakuwa wenye kuujua mpira walitarajia lililotokea

    Kuna Timu itegemee Msimu ujao ukianza tu Wachezaji wake wengi kuugua kwakuwa watarogana sana kwa kukufuru. === Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC

    Habari nilizopata hivi punde. Klabu ya Simba imeanzisha mazungumzo rasmi na Azam FC ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto. Japo kuvunja mkataba wa Fei pale Azam kuna vipengele vigumu lakini hakuna linaloshindikana. Na deal ikikamilika Fei atakuwa ndio mchezaji anaelipwa...
  12. JamiiForums Tanzania Pambano la muuza madafu wa ikulu halikuchezwa na hakuna sababu zilizotolewa. Azam mnatudharau wateja

    Jumamosi ni siku ya kwenda kula mbuzi Kibaha(Loliondo). Lakini kwa ugumu wa hela nikaona nisiende Kibaha nilipie kifurushi ili kumuona Muuza Madafu wa Ikulu akipambana ulingoni. Saa moja mapambano yakaanza na tukamuona Muuza Madafu anaingia kwenye uwanja hivyo nikajua hapa kweli jamaa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Azam FC ni vituko, selling kipre Jr for 300k USD. with CAFCL next

    kipre Jr ame improve sana game yake this season. yeye ndo alikuwa anafanya kazi yake na nusu ya Feisal salum pale Azam fc. which made Feisal shine. Game yake ingekuwa kitu muhimu sana kwa Azam fc kuwa tofauti in group stage qualifications round amefit vizuri na team. Boss wa Azam tajiri...
  14. JamiiForums Tanzania Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube

    TAARIFA Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024. Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba. Tunamtakia...
  15. JamiiForums Tanzania AzamTv wametudanganya kuhusu kuonesha michuano ya Euro

    AzamTv walitangaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro. Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha. Na leo mpaka sasa hakuna mechi wameonyesha. Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini? Au Euro ishaisha?? Anyway, imebidi nilipie DStv tu
  16. JamiiForums Tanzania Azam shusheni ESPN 1&2 zije kwenye kifurushi Cha 25000

    Wakuu najua Azam managers huwa wanapita humu jamii kusomasoma na kujua wadau wanasemaje Ombi langu ESPN zipunguzwe bei kule Kuna basketball na American football hizi mambo huwa zina rock sana kwa sisi ambao tumewahi angalau kidogo kuishi Philadelphia (the most cleanest city on earth) Naomba...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi! Ngao ya jamii kwanini Simba na Yanga na Sio azam

    Habarini wanajamvini, nimechanganyikiwa na kutoelewa ni utaratibu Gani umetumika katika kupangwa mechi ya Ngao ya jamii. Nasikia kuwa mechi ya Ngao ya jamii itakuwa ni yanga dhidi ya Simba na sio Azam na hapo ndo ninapopagawa. Navyofahamu ngao ya jamii ni mechi kati ya mshindi wa Ligi na...
  18. JamiiForums Tanzania Azam FC kushirikiana na Fauntain Gate Prinsess

    Azam FC tunayo furaha kuutangazia umma kuwa tumeingia makubaliano ya mwaka mmoja ya ushirikiano na klabu ya soka la wanawake ya Fountain Gate Princess. Makubaliano hayo ni katika kukidhi kanuni ya CAF, iliyoanza kutumika msimu uliopita inayozitaka klabu zinazoshiriki michuano ya Afrika, kuwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Fundi madish aina zote(Dstv, Azam, Startimes,FTA) nipo hapa kwa maeneo Dar es salaam mjini

    Fundi nipo hapa karibu kwa kazi za madish na mfumo wa tv cable ofisini, hotel au lodge karibu tufanye kazi. Napatikana Dar es salaam mjini(mwenge, kariakoo,na sehemu zingine) Mawasiliano 0749247929
  20. B

    JamiiForums Tanzania WALIO UPDATE VISIMBUZI (VING'AMUZI) VYA AZAM NA KUPATA CHANNEL MPYA MJE HAPA

    Mimi binafsi nili update lakini sikuona channel mpya hata moja, wakati walisema channel zitaongezeka. Je nilikosea au
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…