Azam Football Club is a Tanzanian football club from Dar es Salaam. They play in the Tanzanian Premier League. Azam FC gained promotion to the Premier League for the first time in their short history in 2008–09. In the 2011–12 season, the club finished in a historic second place below Young Africans and qualified for the 2013 CAF Confederation Cup.
Timu ya Azam FC imekamilisha Michezo ya Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho kwa kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Wydad AC ya Morocco na hivyo kukwama kuingia Hatua ya Robo Fainali kwa kuwa imeshika nafasi ya 3 katika Kundi B.
Matokeo mengine ya Kundi hilo, Maniema Union ya DRC nayo imeingia...
25 January 2026
Nairobi, Kenya
Nairobi United 1 - 2 AZAM FC , Chiefs yapata ushindi Ndola
https://m.youtube.com/watch?v=eXeSXYEB-7s
Mechi za Kombe la Shirikisho la TotalEnergies CAF ziliendelea tena Jumapili alasiri 25 January 2026 huku mbio za kuelekea robo fainali zikiendelea kote barani...
Fainali ya Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, kupigwa katika Uwanja Mpya wa Gombani Kisiwani Pemba, Mechi kali kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC
Kikosi kazi dhidi ya Azam FC #MapinduziCup2026Final
Mpira umeanza
Dakika ya 10
Yanga SC wanafanya mashambulizi
Dakika ya 15
Dube anakosa nafasi...
Msemaji mkuu wa serikali ambaye pia ni katibu mkuu wa wizara ya Habari sanaa, utamaduni na michezo Greyson Msigwa amekabidhi kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwa klabu ya Azam kama sehemu ya hamasa katika mashindano ya Kimataifa, Azam Fc walipata ushindi wa Goli 2 dhidi ya El Merriekh ya sudan...
I will be short
Azam fc hata aje gardiola itakuwa Azam FC tu, tatizo la azam fc ni kwa kuwa ni azam fc, no passion no plans no pressure , get paid return home
Today they lost 1 nil
As Kigali 1 - Azam FC 0
As Kigali wasted about 4 big chances.
Timu bado zinaendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao kwa kusajili na kuwaongezea mikataba wachezaji muhimu kwenye vikosi vyao.
Timu ipi ina safu hatari ya ushambuliaji kuelekea msimu ujao wa 2025/26?
Yanga SC
Clement Mzize
Pacôme Zouzoua
Lassine Kouma
Maxi Mpia Nzengeli
Simba SC
Elie...
Wakuu,
Kwa taarifa nilizokua najua awali ni kuwa mchezaji Azizi Ki alimaliza mkataba wake na timu ya Yanga na kusaini Mkataba na klabu ya Wydad ya Morocco, alafu leo nimekutana na hii eti kasaini mkataba na Azam, naombeni msaada wakuu wa Jamii check
Leo Tarehe 7/7)2025 naandika huu uzi kama utabiri
Azam Fc ina resources zote pesa, uwanja na wachezaji wazuri wenye viwango vya kimataifa. Ni kawaida kwa mashabiki wa Simba au Yanga kuiita azam ni timu ndogo timu ya ukwsju na embe huku wengine wakiifananisha na kobe dhihaka zote huelekezwa...
Azam FC imekuwa klabu ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kuzindua jezi mpya za msimu ujao (2025/26).
Azam FC imezidua jezi ya nyumbani, ugenini na chaguo la tatu.
Unatoa asilimia ngapi kwa jezi za chama hili la Chamazi?
Transfer News Live👇👇
Muda wowote kuanzia sasa Kocha wa Al Hilal Florent Ibengé (63) atatangazwa kuwa kocha mkuu wa Azam FC.
Muda huu Ibenge yuko nchini kukamilisha taratibu zote✍️ Maisha ya Rachid Taoussi yamefika mwisho ndani ya Azam✍️
Ibenge aliwahi kuhusishwa na klabu ya Simba Dili...
Azam FC wanawakumbusha watani wa jadi kuwa wao ni level nyingine, walishamwaga bilioni 250 kwenye ligi kuu na bado wanatoa pocket money milioni 50 kwa kila timu kila mwezi, kwao si chochote kumpa Feisal ofa ya mshahara wa takribani milioni milioni 80 na signing fee mara 10 zaidi.
🔹 Mkataba wa...
Simba wakisema wahamie ligi ya Egypt hawawezi kukosa tano bora.mpira wa Simba na timu za Egypt unarandana sana.
Azam natamani wahamie ligi ya Zanzibar. Huku bara ibaki Yanga na nduguze
SIKU YA MECHI KALI.
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Azam Fc 🆚 Young Africans SC
📆 10.04.2025
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Jioni
VIKOSI VINAVYOANZA LEO.
Updates....
Dakika 11 Pacome anaipatia goli la kuongoza kwa Yanga
Dakika 19 Pacome anatolewa nje kupata matibabu zaidi baada ya kuumizwa
Dakika 34...
Hii club binafsi nashindwa kuielewa ina malengo gani, Wachezaji bora kama Yoro diaby, Gibril Sillah, Fei toto nk.
Wote wana viwango vikubwa ila hawajulikani wanapambania kitu gani, sanasana wanang'ara wanapokutana na timu za Kariakoo tofauti na hapo shughuli yao inakwisha.
Timu inawachezaji...
Leo nimetazama mechi ya Azam dhidi ya Singida BS nimeshangaa Azam akiweka akiba ya wachezaji wake muhimu Kwa ajili ya Alhamis dhidi ya Yanga
Mechi zote za ligi Zina hadhi sawa, yaani Azam yupo radhi afungwe na Singida BS halafu akamie Simba na Yanga apate sare au ushindi wa taabu nae atambe...
WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.