awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Si mlikuwa mnasema kuwa Awamu ya Utekaji Watu ilikuwa ni ya Magufuli tu na Kumshutumu je, ya sasa bado Rais ni Magufuli aliyelala mahala pema peponi?

    Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini. Taarifa mpya zilizolifikia Mwananchi zinadai kuwa vijana wanne wilayani Temeke, Dar es Salaam na mkazi mmoja mkoani Geita wametoweka na jitihada za...
  2. JamiiForums Tanzania Nadhani sasa tunaanza Kuelewana kuwa Awamu iliyokuwa Ikiteka na Kutesa haikuwa tu ya 5 bali ilianzia ya 4 na sasa ya 6 inadumisha hasa

    Na kuna sehemu nyingine ya Tanzania nasikia huko ndiko balaa, ila kwakuwa ana Nyota ya Kupendwa tunafichwa tu.
  3. JamiiForums Tanzania Profesa Mkenda aapa kutotoa vibali vya kuagiza sukari

    Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema yuko tayari kuachia ngazi nafasi ya uwaziri kuliko kutoa kibali kwa wafanyabiashara cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi. Profesa Mkenda amesema hayo leo Agosti 30 jijini Dodoma wakati akizindua ripoti ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi ya mwaka...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wale tunaoamini katika zama za giza za awamu ya Tano basi Mpina, Makonda na Tundu Lissu ni watu sahihi wa kwenda nao

    Binafsi pamoja na mapungufu ya Awamu ya tano ambayo baadhi ya wanasiasa wanakiita kipindi cha giza, bado naamini ndio kipindi ambacho mambo mengi ambayo yalionekana magumu yalianzishwa na sasa yanakamilika tunaona manufaa yake. Hawa watu niliotaja wana sifa zinafanana sana na hayati Magufuli...
  5. JamiiForums Tanzania Unafiki na Upuuzi kama huu ndiyo huwa unanifanya niwe na Hasira na Awamu hii ya Mama yenu

    THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has been instructed to suspend all operations involving arresting traders, as well as suspending inspections on electronic fiscal devices receipts for at least one month. Thobias Makoba, the chief government spokesman, late yesterday that this was the first...
  6. JamiiForums Tanzania Moja ya mambo yaliyonifanya nichukie awamu ya tano ni suala la utekaji. Hata kama wakosoaji ni wapumbavu basi usitumike upumbavu kukabiliana nao.

    MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Suleiman aliwahi kusema, Mhubiri 7:17 [17]Usiwe mwovu kupita kiasi; Wala usiwe mpumbavu; Kwani ufe kabla ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Awamu Moja Kwa Mbunge inatosha kabisa, wananchi tunahitaji changamoto mpya.

    Salaam, Shalom!! Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi. Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha matokeo makubwa kuliko waliokaa miaka kumi, iweje mbunge ashindwe kudeliver Kwa miaka mitano? Kwa kuwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atuma Salamu Nzito za Pongezi kwa Rais wa Afrika kusini kwa kuchaguliwa kwake Awamu ya pili.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan ametuma salamu nzito za pongezi kwa Mheshimiwa Cyril Ramaphosa ,kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindoo kwa muhula wa pili kama Rais wa Taifa hilo. Salamu hizo zimetolewa na Rais wetu kupitia...
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi katika skendo awamu hii

    Babati Naibu waziri katumia chupa kwa kijana wa kiume, Mafia DED kabaka Beki 3 , safari hii RC kalawiti binti kwenye gari. Yaani ni ukatili na upwiru tu kwa viongozi wa leo.
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizi na ufisadi wa fedha za serikali uliokithiri katika awamu hii, suluhisho haliko ndani ya CCM wala upinzani kuwa mbadala wa CCM

    Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya...
  12. JamiiForums Tanzania Awamu ya 6 Tuna Bunge la Ajabu linalodharau elimu na hadhi za Msoto na zenye thamani kwa Taifa hasa hadhi ya Maprofesa wa chuo cha SUA

    Shalom, Ifahamike kuwa ndani ya Bunge la Tanzania kuna wabunge wa Hovyo Sana ambao elimu za za darasa saba, na form 4 za hovyo tu. Hawa wabunge kinara wao ni yule Mbunge mpumbavu ambae amenunua hadhi ya kitaaluma ambayo hana akijiita Dr.Musukuma huyu kiumbe ni mpumbavu sana na katika mazingira...
  13. JamiiForums Tanzania Maandamano ya vyama vya upinzani ndio mafanikio ya kipekee kabisa ya Awamu ya 6 ya Rais Samia

    Sikumbuki ni utawala wa awamu ya ngapi hasa tuliona polisi wakiyalinda maandamano ya vyama vya upinzani,hata nchi jirani ya Kenya maandamano Yao yamejaa vurugu mauaji na damu kumwagika,hata awamu ya nne ilioulea upinzani tunaouona hadi Leo haikuruhusu maandamano ya amani,Bado nakumbuka mauaji ya...
  14. JamiiForums Tanzania Gari ya Lissu iliyopigwa risasi, isibadilishwe muonekano, ikae ilivyo, ipelekwe katika kila mikutano ya siasa kukumbusha madhila ya Hayati Magufuli

    Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki. Hii itafanya watu wakifika...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania tuungane kupinga mabaya haya ya awamu ya sita

    Kwa umoja wetu, Tukiamini sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, Na kamwe watawala hawajawahi kuishinda nguvu ya umoja wa umma ambao ndiyo sisi watanzania, Tuungane kukemea, Kupinga na kuchukua hatua ikibidi kuwalazimisha kung'atuka au kutokurudia makosa kuwarudisha katika viti vyao wakati wa...
  16. JamiiForums Tanzania Wizi unaendelea kutawala serikalini?

    Wadau milioni 50 kwenye zimetafunwa na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera na serikali Ipo kimya. Ona kibanda hiki hata mil 4 hazifiki.
  17. JamiiForums Tanzania Je, Awamu ya 4 ibebe Lawama kwa mambo ya muungano yaliyoondolewa kinyemela na kupewa Zanzibar? Karibu tujadili kwa facts

    Shalom, Tuunduiz Lissua myopia hawazungumzii haya mazito Nasikitika kusema kwamba mambo ya muungano yalikuwa 22 na hakuna kikao halali cha Bunge la muungano kimeondoa baadhi ya mambo ya muungano. Cha ajabu Baraza la wawikilishi Zanzibar limefanya mabadilliko mengi yaliyoipa Zanzibar uhuru na...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini awamu hii ya 6 Muungano umekua hati hati kuvunjika?? kwanini hii hali haijawai kuwa moto hivi miaka ya nyuma

    Wakuu nauliza tu,,,, Ishu za muungano imekua moto kuliko ishu yoyote ile kuna nn?? Nini kinachochea hii movement!!
  19. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Gongo la Mboto kuelekea Chanika tunasubiri kwa hamu awamu mpya ya ujenzi wa mwendokasi

    Watanzania wenzangu ni matumani yangu mu buheri wa afya, mliopo na Matatizo mbali mbali muwe na subira na kutokata tamaa hata mnapohisi kushindwa. Leo katika pita pita zangu nikakutana na uzi wa dada Janeth Thomson Mwambije akiwa amekutana na mkuu wa wilaya ya ILALA mheshimiwa Edward Jonas...
  20. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere aonyesha uzalendo kwa kupongeza mambo makubwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya 6

    Kina Erythrocyte na Mdude wana jambo la kujifunza. Yericko kaandika hivi huko Facebook; Kuna juhudi flani za kiuchumi katika ukanda zinazofanywa na Tanzania zinanifanya nipongeze mfumo kwa kiasi chake, katika hili nasema hongera sana Tanzania! Sasa tupambane miundombinu kama SGR ifike Kongo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…