awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kiroho , Utawala wa awamu ya tano umekatiliwa naomba wataalamu wengine wa kiroho mkae chini na atafutwe Mgombea anayekubalika.

    Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita. Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema . Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake haikuwa ya kitaifa bali ya eneo dogo Kama Jimbo Ndo ufanisi wake ambao umeacha alama ni ule wa Bunge la...
  2. JamiiForums Tanzania Awamu Hii imetengeneza Chuki iliyozaa Kisasi ambayo Sijui ni nani atarejesha Umoja Kwa Watanzania !!

    Fikiria Familia za Akina Soka ,Mdude , Sativa Fikiria Familia za Mzee Kibao alouliwa na kutobolewa macho Fikiria Mgombea Uenyekiti CHADEMA alipigwa Risasi na Kufa papopapo mbele ya familia ake. Fikiria Shambulio la mauaji lilofeli dhidi ya Padre KITIMA. Fikiria LISSU kufunguliwa kesi ya...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
  4. JamiiForums Tanzania Je yaliyotekea awamu ya tano na awamu ya sita ya yapi hasa yamebadilika kuna uwezekano mkubwa Mzee kijana kaambiwa inatosha sasa kama super black.!

    Tusimpongeze MTU wala kumbeza tuache muda uongee Ila kunauwezekano Mzee Kijana na super black wakawa wamewekwa pembeni bila wao kupenda Kwakuwa nikiuchambua uongozi wa awamu ya tano na sita sioni Kama umetafautina sana. Kwa kuangila mambo Kama "Good governance " na n.k.
  5. JamiiForums Tanzania Awamu ya pili vita israel na Iran inanukia

    Ndani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome Pakiwa na taarifa kwamba awamu ya pili ya mashambulizi itakua mzito zaidi na kuenea zaidi ndani ya iran...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  7. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Mahusiano ya Kimataifa yameimarika Awamu ya Sita

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameliambia Bunge la Tanzania kuwa Ushawishi wa Tanzania katika medani za Kimataifa umeongezeka chini ya Serikali ya awamu ya sita na kuiwezesha Tanzania kushika nafasi mbalimbali za uongozi katika mashirika ya Kikanda. Majaliwa amebainisha hayo...
  8. JamiiForums Tanzania Muhimu kwa Serikali ya awamu ijayo (2025–2030)

    "Serikali ya awamu ijayo (2025–2030) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina budi kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri, na kurekebisha sheria za kodi ziwe jumuishi kwa kila mmoja. Zaidi ya yote, ni lazima kuwe na uwazi wa mali za viongozi. Kwa kuongezea, sheria ya kuwawajibisha wala rushwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kitaua soka la Tanzania.

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kinatisha

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Awamu ya 6 ni awamu ya 5 Kiuchumi na Kasi ya Utekelezaji Miradi

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika mahojiano na kituo maarufu zaidi cha utangazaji cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema haya, Pamoja na mambo mengine mengi Kafulila anasema kama Kuna kitu Rais Samia anaweza kujivunia ni...
  12. JamiiForums Tanzania Samia wakati anaingia madarakani alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika

    Samia wakati anaingia madarakani kama rais alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika. Samia wa sasa hivi sio yule tunaye mjua aliyesema atatuvusha tu wakati huu wa majonzi kwa kumpoteza JPM lakini badala yake amebadilika amekuwa tofauti anaminya...
  13. JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima, hukuthubutu kunyanyua mdomo, iliyokuwa awamu ya tano, tukuelewaje?

    Maneno ya Gwajima leo! ⏬ ======= "Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima "Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kero za Muungano Awamu hii ya Sita Hazipo?

    Wakuu ndugu zetu kule upande wa Visiwani naona kwasasa hawaoni Kero za Muungano kabisa, Nimeona wabunge wao majority wanapiga kelele kukemea activists wanaokuja kutoka Nje ila Mambo ya Muungano wameweka Pembeni kabisa Kulikoni tena ndugu zetu?
  15. JamiiForums Tanzania Pascal Mayala;Niliumizwa Awamu ya Magufuli,Aliyeniumiza si Magufuli,ni watu wa kati bahati mbaya hadi leo wapo,Magufuli hakujua hadi nilipomwambia.

    Niliumizwa Awamu ya Hayati Rais Magufuli hadi leo sijapona,Aliyeniumiza si Magufuli,ni watu wa hapa kati bahati mbaya hadi leo wapo na wanaendelea kuichafua nchi wakitumia jina la Rais,na Rais hajui!. Mayala amezungumza hali halisi. Kuna watu wanatumia jina na taasisi ya Rais kwa manufaa yao...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mbaya sana awamu hii ya Sita

    Ni yule aliye karibu na Rais wetu mpendwa na anasikilizwa na Rais na kumshauri kutochukua hatua au kuacha kutoa mwongozo wa kiutawala kwa haya yanaendelea. Ni kweli ushindi ni tayari kwa CCM mpaka sasa. Lakini majuto yake ni Mjukuu. Nina uhakika Mwenyezi Mungu atamlinda na kumweka sana Rais...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Watawala wa awamu ya sita wanamwogopa Habinder Seth wa IPTL

    Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth. Ikumbukwe fisadi Seth aliwekwa jela kwa miaka 4 na serikali ya awamu ya 5 , lakini mara baada ya Rais...
  18. JamiiForums Tanzania Walioondoka Chadema ndiyo waliomkosesha Mbowe uongozi kwa awamu nyingine

    Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu? Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu...
  19. JamiiForums Tanzania Kila awamu hawa watu huwa wanakuwepo

    Katika kila awamu lazima watu hawa wawepo. 1. Ambao wanamtetea rais sababu ni dini yao/dhehebu lao 2. Sababu anatoka chama chao 3. Sababu wanatafuta nao teuzi 4. Sababu hawana kazi wanajikomba wapate pate makombo 5. Sababu ni kabila lao 6. Sababu hawana uelewa wa mambo 7. Sababu wanapata...
  20. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma na machawa msipojenga vighorofa awamu hii ya maza basi tena

    Yaani hakuna wa kumsumbua mwenzake. Mtu akipata mwanya anazichota tu. Aiseee hatari. Ndio maana sasa hivi mtu anaanzisha campaign yake yoyote anaibatiza tu kwa jina la mama anakwenda kuchukua pesa Mimi nataka nianzishe campaign ya "mama kaupiga, 2025 njia nyeupe" Ukiwapigania Watanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…