australia

  1. Dalton elijah

    KWELI Video imetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya akili unde kurejelea tukio la kuongezeka kwa mamba baada ya mafuriko Australia

    Kumekuwepo na video kadhaa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook na Instagram, zikionyesha mamba wakitembea mitaani baada ya kutokea kwa mafuriko nchini Australia.
  2. O

    TAARIFA MPYA: Australia imesema inaunga mkono operesheni ya Marekani dhidi ya Iran.

    Serikali ya Australia chini ya Waziri Mkuu Anthony Albanese imepongeza uamuzi wa Marekani kuendesha operesheni dhidi ya Iran ili kuizuia nchi hiyo kupata silaha za nyuklia na kuzuia tishio la usalama wa kimataifa, ikisema inasema pamoja na “watu hodari wa Iran katika mapambano yao dhidi ya...
  3. Big Nyota

    Natafuta connection ya kwenda kufanya kazi nchi za ulaya kama(Germany, Denmark, Norway Sweden, Finland au Australia)

    Wakuu wasalaam!! Bila kuwapotezea muda kama kichwa kinavyojieleza Mimi ni kijana mpambanaji ambaye nina uchu na mafanikio, mpaka nimefikia kuleta Uzi humu Nina Nia ya kwenda kutafuta maisha huko Ulaya. Mpaka kufikia uamuzi huo ni kwa sababu ya changamoto ya ugumu wa Maisha hapa nchini, Sasa...
  4. K

    Marufuku ya mitandao ya kijamii kwa watoto chini ya miaka 16 yaanza kutekelezwa rasmi Australia

    Taifa la Australia linaanza leo kutekeleza sheria ya Bunge inayopiga marufuku watoto chini ya miaka 16 kutumia au kuwa na akaunti ya mtandao wa kijamii hivyo kuzuia upatikanaji wa majukwaa kama YouTube, TikTok, Instagram na Facebook. Kwa mujibu wa sheria hiyo kampuni zitakazokiuka masharti ya...
  5. Le Padrino

    Canada, UK and Australia say they recognize a Palestinian state as part of efforts to pile pressure on Israel over Gaza

    Here’s what that recognition typically symbolizes: 1. Legitimacy of Palestinian Statehood It signals that these countries formally acknowledge Palestine as a state (not just as a “territory” or “authority”). This boosts the international legitimacy of Palestinian claims to sovereignty. 2...
  6. SSH2025_2030

    Marufuku ya Makonda kwenda US, UK, Australia & Canada

    Kwa ile ban ya kutoingia US ni wazi sasa Mheshimiwa Mbunge na Waziri (Mtarajiwa) analazimika kuishia Zanzibar na Juba kutekeleza majukumu yake ya WIZARA YA MAMBO YA NJE.
  7. venchwa

    Leo nimenusurika kuuwawa kwa kugongwa hapa Australia kisa Wivu wa wanaume kwa mademu, midemu mitamu sana

    Nikafunga safari baada ya kupata likizo nikaja Brisbane airport kuingia queens land aisee (ila kuingia Australia ni pagumu kama hujajipanga kwa maelezo airport, itakuwa topic ya siku nyingine) Nikafika hotel moja maarufu sitataja Jina, nikakuta mademu wakali tu Nikaanza ku move around ili...
  8. Ritz

    Baada washirika wake UK, Germany, Italy, Australia, Canada kumwambia Netanyahu usipomaliza vita Sept tutalitambua taifa la Palestina akubali kumaliza

    Wanaukumbi. Baada ya washirika wake wa Ulaya, Uingereza, Ujerumani. Ufaransa. Canada, kuwaambia Israel kuwa watalitambua taifa la Palestina Netanyahu kaufyata na majigambo yake kuwa atapambana na Hamas hata kama watakuwa peke yao sasa amekubali kumaliza vita vya Gaza. Waziri Mkuu wa Israel...
  9. Kijakazi

    wasiojulikana wafika melbourne, australia!

    au sijui tusema wanaojulikana, hawa ndiyo wahamiaji ktk afrika huko australia, jionee mwenyewe … https://m.youtube.com/watch?v=Pvihe_J4cJE
  10. Papillon 1906

    MWIZI WA GARI AKIFANYA MICHEZO YA HATARI HUKO MJINI MELBOURNE AUSTRALIA

    Mwanaume wa miaka 36, huko mjini Melbourne nchini Australia amekamatwa na polisi baada ya kuruka katika gari ambayo inasadikika iliibiwa. Mtuhumiwa huyo alianza kukimbizwa na polisi baada ya kushindwa kusimama kwenye trafiki. Mapema ijumaa polisi walipewa taarifa ya kuibiwa kwa gari katika...
  11. U

    Australia yafunga ubalozi Tehran yaambia maafisa na wategemezi wao kuondoka Iran na imesitisha shughuli zake zor ubalozi wa Tehran,

    Australia yafunga ubalozi Tehran yawaambia maafisa na wategemezi wao kuondoka Iran na imesitisha shughuli zake za ubalozi wa Tehran, Australia imefunga ubalozi wake wa Tehran na kuamuru maafisa kuondoka Iran, serikali inasema, ikitoa "hali ya usalama inayozorota." Inaungana na msururu wa...
  12. The Father of All

    Ni kweli kuwa Afrika, Amerika, na Australia hakuna sehemu takatifu isipokuwa Asia na Ulaya au ni bangi na uzwazwa wa imani?

    Makka "al kahaba" iliyokuwa na vinyago kwa mamia Yerusalemu mji wa mwenda usiku Vatican pamoja na kashfa za ngono Ukitazama mabara yote, ni mabara mawili yenye kuwa na sehemu 'takatifu' isipokuwa Asia na Ulaya. Utasikia miji mitakatifu ya Makka na Madina (mji kwa kiarabu), Yerusalem, na hata...
  13. Mlaleo

    Shehe Mwarabu mvamizi huko Australia awashambulia tena Wayahudi kwa Chuki kali sana kama Allah

    Imam wa Australia ambaye aliomba msamaha kwa mahubiri ya chuki dhidi ya Wayahudi sasa anataka 'kuwaua wadhalimu wote'. Sheikh Ahmed Zoud hivi majuzi alifutilia mbali madai kwamba Wayahudi wana kiu ya umwagaji damu na wasaliti, lakini kauli mpya zinazua maswali iwapo anatumia filimbi ya mbwa...
  14. hungary

    Nataka kwenda ujerumani, Canada au Australia katika hizo nchi moja wapo

    Habari wakuu ... Elimu yang diploma ya afya ..... Mpango ni kujiendeleza kielimu au kufanya kazi Uzi tayari
  15. I

    Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump. Inaona kila moja afe kivyake.

    Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump. Australia imekataa haraka ombi la China la "kuungana mkono" dhidi ya ushuru wa Donald Trump, wakati Washington inazidisha vita vyake vya kibiashara na Beijing. Ikulu ya Marekani hivi majuzi ilitoza ushuru wa kuagiza wa...
  16. Wakusoma 12

    Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

    Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani. Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake. Viongozi waliohudhuria ni...
  17. X

    Meli vita za China zinafanya mazoezi halisi ya moto katika pwani ya Australia. Serikali ya Australia ijifunze yaliyoikuta Ukraine

    Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani. Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania? Chinese exercises 150km from Sydney Ikumbukwe kuwa...
  18. Valencia_UPV

    Tetesi: Mashindano ya Malkia wa Nguvu kufanyika Australia

    Mashindano ya kutafuta Malkia wa Nguvu Duniani. Yatafanyika Sydney, Australia tarehe 29/03/2025. Katika ukumbi wa Sydney International Convention and Exhibition Centre. Tuwape support. ***Kwa wanaotaka kuhudhuria punde utaratibu (viza, malazi na nauli) utatolewa
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

    Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA. 1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri kwa miaka 100. 2. Niliona kabisa kuwa Waafrika wengi ni kama hatuna akili hasa tunapokuwa katika...
  20. Mtoa Taarifa

    Australia yaidhinisha marufuku ya Watoto chini ya miaka 16 kutumia Mitandao ya Kijamii

    Bunge limeidhinisha zuio la Watoto wenye chini ya miaka 16 kutumia Mitandao ya Kijamii kwa Kura 103 dhidi ya 13, ikiwa ni uamuzi unaotajwa kuwa mgumu zaidi na ulioungwa mkono na Wananchi waliodai Mitandao imekuwa ikiathiri Afya za Kimwili na Akili kwa Watoto. Uamuzi wa Serikali umeitaka...
Back
Top Bottom