atembea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Y

    Mke wa bakabaka amekubali ofa ya kwenda out

    Hodi jukwaa la malavidavi. Nipo zangu kijiwe na mwanangu mmoja hivi ghafla anapigiwa simu na jamaa yake, Mazungumzo yao ni kwamba, mke wa bakabaka amekubali ofa ya kwenda out kwenye makulakula na manyamanyama, akisisitiza kuwa bakabaka amesafiri kwenda Dodoma na anarudigi mwisho wa wiki...
  2. Right Marker

    Atembea na wake za watu ishirini na sita (26)

    Tumfanyeje?
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    Atembea umbali wa kilomita 850 kwenda kumpiga mteja aliyetoa maneno ya kejeli mtandaoni

    China bhana kila kitu kinawezekana!! Umeshawahi kuwaza siku utembee umbali mrefu kwenda kumtafutia mteja aliyetukana bidhaa zako na kumpiga. Kuna jamaa mmoja ambaye ni muuzaji wa bidhaa mbalimbali kupitia online Aliweza kutembea umbali wa kilomita 850km ili kumfuata mteja ambaye alitoa maneno...
  4. Hemedy Jr Junior

    Mama atembea na Mwanae wa kumzaa Moshi

    Kutoka Mkoa wa kilimanjaro (kamanda wa polisi (Simon Maigwa) amethibitisha kutokea kwa tukio hilo jambo ambalo limewashangaza watu wengi. Mama aliyekuw akitoka na mwanae ameaga dunia na kumuacha mtoto wake baada ya kupewa dhamana alipata presha ndipo aliopoteza maisha. kamanda (Maigwa...
  5. S

    Wananchi tuwe makini tunapochagua viongozi. Huyu anayejipiga picha na taulo naye alikuwa Diwani?

    Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu anautafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje? Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha...
  6. Poppy Hatonn

    Mwanamke atembea barabarani aanguka na kufa bonde la Msimbazi

    Sijui kama napaswa kuiandika hii. Watu wengine wataona labda siyo muhimu. Lakini hii imetokea juzi. Huyu mwanamke alikuwa anatembea katika bonde la Msimbazi,pale kutoka Msimbazi Center kuelekea njia panda ya Kigogo,akaanguka akafa,mwenyewe tu, without any prodding. Basi watu wakakasirika...
  7. L

    Kulungu Mdogo atembea kwenye nyumba ya wafugaji

    Katika malisho ya nyanda za juu kwenye Kijiji cha Menma, Kaunti ya Ganzi, mkoani Sichuan China, kulungu mwenye midomo myeupe alitafuta majani kwenye malisho kwa raha akiyafuata makundi ya Nzao ya familia ya mfugaji Dawalam. Mwezi Mei 2021 kulungu yatima mwenye umri wa miezi michache alichukuliwa...
  8. B

    Spika Ndugai, pamoja na Msamaha kukataliwa atembee Kifua mbele

    Mheshimiwa Ndugai kwa kutoa maoni yake kama mtanzania na kama mbunge hakuvunja sheria yoyote. Kilichofuata baada ya kauli yake hakuna asiyekijua. Labda ilikuwa katika kudhania afunike kombe, kumbe hapo tena ndipo sasa wale nyuki wa mama walipokuwa wanasubiri! Kwa matukio mawili haya sasa...
  9. Mshana Jr

    Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

    Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi. Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea...
Back
Top Bottom