Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa .
"Ni vema tukafanya haraka kulitibu taifa kabla halijajitambua kama linaumwa, sasa linaumwa lakini halijui kama linaumwa, siku...