askofu bagonza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Askofu Bagonza (PhD) aipongeza na kuishauri Jamhuri

    NAIPONGEZA JAMHURI na KUISHAURI Wale mnaopenda kuwapopoa kwa mawe wale msiokubaliana nao, nawaomba mnipopoe. Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili “Mtundu” wa Taifa, Tundu Lisu, imeamua kukata rufaa kwa kesi ambayo haijahukumiwa au haijafika mwisho. Wamejuaje kuwa wameshindwa na kuamua...
  2. Askofu Bagonza: Chama hufa kikianza kufikiri hakitakufa. Kama kimeanza. Wanachama waandae rambirambi

    VILIVYOUMBWA HAVINA U-milele! Nimetoka kanisani. Watu walifunga ndoa nyingi jana. Leo wamekuja wachache. Nimekuta Gen Z Masalia wamejaza simu yangu kwa maswali yaliyoibuliwa na Gen Z mwenzao anayedai kuna chama kitaishi milele au mpaka mwisho wa dunia. Wanataka kujua nina maoni gani? Nasema...
  3. M

    Askofu Bagonza: Wasemaji wengi wanasababisha wakosoaji wengi

    DHAHABU: Wasemaji Wengi Wanasababisha Wakosoaji Wengi. Tabia ya kufichaficha mambo, inasababisha serikali kujikanyaga na kutoa matamko yanayokinzana. “Matamko-mgongano” yakiwa mengi, yanasababisha wasemaji na wazushi wengi kama ilivyo sasa. Ebu ona hili la kuuza RIZEVU/NYANTAKOLWAKOLWA yetu ya...
  4. Askofu Bagonza kuhusu kuuzwa kwa Akiba ya Dhahabu: Tusile Mbegu kama mvua haijanyesha!

    Anaadika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. HAZINA ILIPO NDIPO MOYO WAKO ULIPO: Tunaiuzaje? (Mathayo 6:21). Wajaluo wana kitu kinaitwa “NYANTAKOLWAKOLWA”, yaani “akiba au hazina maalum isiyoguswa guswa bila utaratibu”. 1. Hazina hii hutunzwa mahali pa...
  5. Anaandika Askofu Bagonza: Nadhani Tunajichanganya? Au ni Mimi Najichanganya?!

    ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?! 1. SAFARI YA VATICAN Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake; Tumetengeneza Wakatoliki Vijora; Tunamdhalilisha Kitima, halafu tunaenda kwa Papa. Hatari ipo...
  6. Askofu Bagonza: Upofu na ukiziwi ukimpata mtawala, mahabusu na magereza hugeuka vyuo vikuu vya mabadiliko katika nchi

    Ameandika Askofu Bagonza na moja ya nukuu nzuri sana kwa watawala uwafikie hiyo ============== Upofu na ukiziwi ukimpata mtawala, mahabusu na magereza hugeuka vyuo vikuu vya mabadiliko katika nchi Hapajawahi kutokea mfungwa wa kisiasa aliyerudi toka gerezani akamnyenyekea mtawala aliyemuweka...
  7. Askofu Bagonza :Kenani Kihongosi Ana Hoja Lakini Kaishika Kichwa Chini Miguu Juu!

    Nimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza. Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee...
  8. Askofu Bagonza: Rais Samia kabadilisha mwandishi wa hotuba?!

    Nimemsikia Rais Samia Suluhu akiwahutubia mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini. Hotuba yake imepiga hatua moja mbele. Rais Samia “ameishavua nguo lakini anaogopa kuoga maji”. Ama maji yana moto sana au ni baridi sana. NAMPONGEZA mwandishi wa hotuba. NAMPONGEZA Rais kwa kuwa mwaminifu wa...
  9. Askofu Bagonza: Kwa kuwa Rais anakerwa na kukosekana kwa haki, hata kama hajui kuwa kuna watu wanashikiliwa, ajifanye amejua ili waachiwe

    Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook anasema: RAIS APOKEE NYONGEZA YA KERO Mh. Rais Samia amewatubia Majaji na Mahakimu. Ametumia fursa hiyo kueleza kero zake juu ya mwenendo wa mahakama na utendaji wa Majaji na Mahakimu. Ametaja: Ubambikiaji wa...
  10. M

    Askofu Bagonza: Wenye maoni tofauti wanajiona salama kuwa nje ya nchi kuliko nchini

    Haya ni maoni ya Askofu Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu Matukio kadhaa ya uvunjifu wa Haki za Binadamu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Adai Uhuru wa Demokrasia kuwa Mwarobaini wa tatizo hilo.
  11. Askofu Bagonza: Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa . "Ni vema tukafanya haraka kulitibu taifa kabla halijajitambua kama linaumwa, sasa linaumwa lakini halijui kama linaumwa, siku...
  12. PostGE2025 Askofu Bagonza: Walijua watafanya makosa ndiyo waseme maridhiano

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa wahusika walijua mapema kuwa watatenda makosa, kwa lengo la baadaye kusema tufanye maridhiano, na kwamba walichokikusudia tayari kimeshatekelezwa. Kwa mujibu wake...
  13. PostGE2025 Askofu Bagonza: Nchi hii hakuna mwenye amani, sio waliochaguliwa au waliopiga kura

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa hapa nchini Tanzania hakuna mwenye amani; si waliochaguliwa, si waliopiga kura, si waliogoma kwenda kupiga kura, wala wasio na upande wowote. Amesema hata waliokuwa...
  14. Askofu Bagonza: Nalazimika kuwapongeza Polisi kwa kutozuia maandamano ya "Wakatoliki", basi wafute kesi ya Mwandambo

    Anaandika Askofu Bagonza mtandaoni........... POLISI NA “WAKATOLIKI" 1. Nalazimika kuwapongeza Polisi wetu kwa ukomavu wao na ustaarabu wa kutozuia maandamano ya “Wakatoliki” walioenda kueleza hisia zao kwa Balozi wa Papa hapa nchini. 2. Nachukulia uvumilivu wao kama ishara ya kuacha...
  15. W

    Askofu Bagonza: Yesu alimwita Herode kuwa Mbweha. Unang’aka kuitwa Lofa?

    Wakuu Askofu Kalikawe Bagoza anasema; Yesu alimwita Herode kuwa ni Mbweha (Luka 13:32). Unang'ka kuitwa Lofa? Mimi nimeitwa fala nikanenepa 🤣🤣
  16. Askofu Bagonza: Hivi sasa KKKT haisemwi vizuri. Hakuna dhambi tunayoikemea ndani ya kanisa ambayo hatuitendi wenyewe

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesema hivi sasa KKKT haisemwi vizuri kutokana na kupoteza ushuhuda wa kimatengenezo. Amesema hakuna dhambi wanaikemea ambayo haitendwi ndani ya kanisa hilo, akihoji kama haipo itajwe. Mwananchi...
  17. PostGE2025 Askofu Bagonza: Kuazimisha tukiwa tuko Chumbani huku mtaani wakiwa wamemwagwa Askari bado hatuko huru

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza amesema “Kama tusivyotaka mataifa mengine kutuamulia mambo yetu, ndivyo tusivyopenda watumishi wetu (viongozi) kuupunguza uhuru wetu kwa kisingizio chochote”. Bagonza amebainisha hayo...
  18. PostGE2025 Askofu Bagonza: Utesaji wa vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi unalivunjia heshima taifa letu

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ Utesaji unalivunjia heshima taifa letu. Zipo taarifa za uhakika kuwa katika jitihada za vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi, vinatumia mateso na udhalilishaji (torture) ili kuwalazimisha watuhumiwa waseme...
  19. R

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Serikali isitishe utekaji. Gen-Z wasitishe maandamano. Wafiwa wakabidhiwe miili Desemba 9 iwe siku ya mazishi kitaifa

    Kupitia ukurasa wake Mtandao wa Facebook Asofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza TUMEISHAANDAMANA; GEN-Z TUPE NAFASI TUJUTE KWANZA. Leo tarehe 6 Desemba, ni siku yangu ya kuzaliwa. Sina furaha kama ninavyokuwaga na furaha katika siku hii. Hii ni kwa sababu moyo wangu unawaza maandamano yenye...
  20. R

    PostGE2025 Askofu Bagonza: Raia wakichochea wanatekwa, wateule na Polisi wakichochea nani awateke? Tumkamate aliyempiga Fr. Kitima ndipo tumhoji Padre

    Kupitia ukurasa wake Mtandao wa Facebook Asofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza amehoji; "Raia wakichochea wanatekwa, wateule na Polisi wakichochea nani awateke? Tumkamate aliyempiga Fr. Kitima ndipo tumhoji Padre"- Amechapisha Askofu Bagonza Ikumbukwe Desemba 5, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…