asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Takwimu zinaonyesha kabla ya Uhuru mwaka 1961 asilimia 80 ya wasomi kwa ngazi ya PhD na Professor walikuwa wachagga

    Kheri ya mwaka mpya WanaJF
  2. PreGE2025 Abdul amefanikiwa kwa asilimia 80 kuipasua chadema

    Abdul aliona mama yake anakosolewa vikali na upinzani ameamua naye kuingia kwenye michezo michafu mbaya Sana zaidi hata ya Hayati Magufuli kuipasua CHADEMA Hadi sasa amefanikiwa kuivuruga chadema vipande viwili. Kwa kutupa shilingia ndani ya chama hiki kikongwe cha upinzani sasa hv viongozi...
  3. Prof Lipumba: Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa

    Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa, kulingana na uwekezaji wa 46% pato la taifa lilipaswa kukuwa kwa nusu yake ambayo ni 23% lakini uchumi umekua kwa wastani wa asilimia 5.7 tu. Kwa miaka minne...
  4. asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli.

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
  5. Asilimia kubwa ya Biashara /uwekezaji wa Watanzania/Wazawa hautupi nafasi ya kuja siku moja kushindana huko Duniani

    Watalawa hawawaambii ukweli huu kwamba Hizi aina ya Idea/wekezaji/biashara zetu wabongo hazitupi nafasi hata kidogo ya kuja kushindana huko Duniani one day yes. Huwezi kuja kushindana Duniani kwa; Kuwekeza kwenye pub kari kari Hoteli Duka la Uchuuzi Guest house Mabasi Car wash na kadhalika...
  6. PreGE2025 Kitendo Cha CCM kupata Asilimia 99% za wizi kilitosha kumstaafisha Mbowe

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe ndio aliyetoa tangazo na agizo la kwamba CHADEMA ikashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Pamoja na madhaifu yaliyokuwepo ila bado alikioeleka chama kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Mwisho wa siku chama kikapata Asilimia 0.78 na CCM kikapata Asilimia 99...
  7. Asilimia kubwa ya WanaCCM wanataka Mbowe abaki Mwenyekiti CHADEMA. Hawamtaki Lissu

    Kwa kweli nimefarijika sana. Mbowe anapendwa sana. Anapendwa hadi na wana CCM. Akina Mshamba na tilalila wanampigia upatu Mbowe abaki Mwenyekiti. Hawamtaki Lissu. Hii inaonesha udugu ambao umeanza wa CCM na CDM kwa namna ambayo ni nzuri kabisa. Yaani ukute siku Simba wanataka Kocha wa Yanga...
  8. Jengo la Wizara ya Ujenzi Lafikia Asilimia 80, Waziri Ulega Aagiza Likamilike kwa Wakati

    JENGO LA WIZARA YA UJENZI LAFIKIA ASILIMIA 80, WAZIRI ULEGA AAGIZA LIKAMILIKE KWA WAKATI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuagiza Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi na Umeme (DTES), Mhandisi, Mwanahamisi Kitogo na Mtendaji Mkuu wa Vikosi vya Ujenzi, Mhandisi, Simeon Machibya kuhakikisha jengo la...
  9. G

    Namtegemea Mungu kwa asilimia kadhaa, nawashangaa watu wanaomtegemea kwa asilimia zote, Ni kwamba wamesahau kazi ya akili na umuhimu wa kufanya kazi ?

    Huwa nashangaa sana nikiona collective thoughts za waafrika hasa mitandao ya kijamii, Utaona mtu kaandika "Mwaka huu utapata milioni 100, andika amen" basi utakuta mpaka komenti elfu 1 watu wanaamini watajaziwa pesa kwenye mito wanayolalia waamke wazikute kama mapera. Wengine hata...
  10. Jinsi ya Kuwezesha Vijana na Wanawake Kupata Mkopo wa Asilimia 10 wa Halmashauri

    Uzi huu ni maalumu kwa Vijana wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10. Ni maalumu pia kwa wanawake wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10. Utaeleza mambo yafuatayo: (1) Utaeleza vitu vinavyo hitajika unapofanya maombi ya mkopo wa asilimia 10 wa halmashauri. (2) Utaeleza jinsi ya...
  11. Rais Assad wa Syria aongeza mshahara wa wanajeshi kwa Asilimia Hamsini 50%

    Baada ya jeshi la Waasi kuchukua mji wa Hama na kuteka Kambi ya kijeshi mjini humo. Rais Bashar Al Assad ametangaza kuongeza mishahara ya jeshi lake kwa Asilimia 50% ili kuongeza morali. Inasemekana jeshi la Syria limeshuka Sana kimorali.
  12. LGE2024 Jaji Warioba: Wapinzani Waliniambia Wangeweza Kupata Ushindi Kwa 25% tu

    Swali. Kama hivi ndivyo,Kwa nini CCM mnakuwa wadogo wa madaraka wakati kiuhalisia Wapinzani hawana uwezo wa kushindana na kushinda? My Take Ni vyema CCM ikajifunza Namibia sio lazima ushinde Kila pointi ndio uhasabiwe umeshinda. Wapinzani wakishinda watangazwe Ili kuepusha chuki na sintofahamu...
  13. A

    DOKEZO Arusha: Vikundi havijapata mkopo wa Halmashauri wa 10% mpaka sasa, hatujui sababu ni nini

    Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya kutuita hiyo tarehe wakati wanajua yakuwa hawana hela Wametuweka kwenye hali ya sintofahamu nyingi...
  14. Wananchi wa Arumeru waishukuru Serikali kwa kusambaziwa majiko ya gesi kwa punguzo la asilimia 50

    Wakuu, Inaonekana mambo ya nishati safi yameendelea kushika kasi hapa nchini Wananchi wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha wameipongeza Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa mradi wa usambazaji na uuzwaji wa majiko ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku ya 50% Wametoa pongezi...
  15. Mbinu mpya ya CCM kuingiza kura fake vituoni ni kutumia Plice na magari yao.

    CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
  16. Wakuu hivi M pawa ukiweka pesa unapata riba asilimia ngapi

    Nataka niweke pesa m pawa be nitapata riba asilimia ngapi Kwa mwaka na je pesa ya riba napata Kila mwezi
  17. Mnaelewa maana ya genocide kweli? Idadi ya wapalestina imekuwa kwa asilimia 2.02% tangu Oktoba 7th mwaka jana

    Wakati madai ya uwongo ya "mauaji ya kimbari" yanazunguka, idadi ya watu wa Gaza iliongezeka kwa watu 43,000 katika wiki chache tu. Mara ooh Israel anaua watoto kila siku, blah blah
  18. Kwahili wanawake kwa asilimia kubwa wanafanana

    Poleni wana jukwaa na mihangaiko ya kutafuta chochote kitu maisha yasonge.. Sina mengi sana ila nina swali kwa wanawake leo hii, hivi ni kitu gani huwasababisha mchelewe location???? Mnaweza kuahidiana mkutane saa 10, ila cha ajabu anaweza kuja saa 12. Ukimuuliza kwanini kachelewa kuja, hana...
  19. Asilimia kubwa ya maisha yetu hapa bongo tunayaishi tukitegemea bahati tu(luck) itokee

    Maana mpaka saivi sijaona kiashiria cha uhakika kwamba .maisha yetu siyo ya kibahati bahati tu . Hamna kitu ambacho tuna uhakika nacho ( kuna vitu wanasemaga uhakika ila na vyenyewe ni bahati tu*
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…