asilia

Asilia Guillén (1887–1964) was a Nicaraguan folk artist, specializing in embroidery and painting.
Guillén was born in Granada, Nicaragua, into a patrician family. She received an education typical for a young woman of her station, learning embroidery and music among other subjects. She worked in embroidery for much of her artistic life, in line with the tradition of the bordados granadinos produced by the city of her birth. She took up painting at the age of sixty-five; once discovered by poet Enrique Fernández Morales, she took classes with Rodrigo Peñalba, at the time director of the School of Fine Arts in Managua. Early in her career she showed work at the São Paulo Art Biennial. In 1957 she was one of the six artists included in the group exhibition 6 Artists of Nicaragua organized by the Organization of American States; soon thereafter she was taken up by José Gómez-Sicre, who ensured that her work gained exposure in Latin America and further afield. Her paintings were shown at the Mexican Inter-American Bienal and in exhibits in Knokke and Baden-Baden, and in 1962 she exhibited eighteen works in Washington, D.C. in her first solo show; she visited under the auspices of the United States Department of State, and gained further international recognition as a result. Gómez Sicre commissioned another work from her in 1964, titled The Founders of the Americas Meet on the Islands of Lake Granada and designed for inclusion in the Central American and Panama Pavilion at the 1964 World's Fair. For a time Guillén lived at the Solentiname art colony, becoming acquainted with its founder, Ernesto Cardenal.Stylistically, the embroideries Guillén produced at the beginning of her career grew more elaborate as she developed, moving from traditional floral motifs to more complicated landscapes and historical scenes. Her paintings, which depict similar scenes, are known for their intricate detail. She drew much of her inspiration from the history and vistas of her native city. Two of her paintings, both oils on canvas, are owned by the Art Museum of the Americas; they are Rafaela Herrera Defends the Castle from Pirates of 1962 and Heroes and Artists Come to the Pan American Union To Be Consecrated of the same year.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Wakati Dunia ikipambana na soko la mafuta, huu ulikuwa ni wakati wa Tanzania kunufaika na utajiri wa gesi asilia

    Wakati huu ambao vita vinaendelea nchini Iran inayoshambuliwa na Marekani na Israel, kumekuwa na ongezeko la bei za mafuta na huenda ongezeko hilo likaendelea maadam vita bado vinaendelea. Mara tu mashambulizi yalipoanza mwishoni Februari hadi mapema Machi 2026 bei ya mafuta ilipanda kwa...
  2. B

    Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara

    Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara na Mwandishi wa Times Oktoba 18, 2025 Wizara ya Nishati ya tanzania imethibitisha kugunduliwa kwa mashapo makubwa ya gesi asilia katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, vilivyopo mkoani Mtwara, takriban kilomita 500 kusini mwa...
  3. Ugonjwa Wowote? Hii Mchanganyiko Asilia Inaweza Kukusaidia

    Ugonjwa Wowote? Hii Mchanganyiko Asilia Inaweza Kukusaidia Asali na mdalasini ni zawadi kutoka kwa Mungu ambazo zimekuwa zikitumika kwa maelfu ya miaka kutibu maradhi mbalimbali. Mchanganyiko huu wa asili una uwezo wa kupambana na bakteria, kuimarisha kinga ya mwili, na hata kuzuia magonjwa...
  4. Usipuuze Ukwaju – Dawa Asilia Inayofuta Maradhi Kimya Kimya!

    Usipuuze Ukwaju – Dawa Asilia Inayofuta Maradhi Kimya Kimya! 💊 Ukwaju siyo tu kitamu kwenye juisi au mboga… ni hazina ya tiba ya asili iliyothibitishwa na sayansi. Wakati mwingine tunapuuza matunda yaliyo mbele yetu, kumbe ndiyo dawa bora kuliko vidonge tunavyokimbilia. ✅ Faida kuu za ukwaju...
  5. Ntatumia gesi asilia kupowered smelter na refining kwenye mpango wa kukusanya mapato ya usd billion 500+

    Moja ya changamoto ya watu wanaotaka hizi nafasi za uongozi kama Urais ni rahisi kuahidi mambo mengi sana mazuri ila changamoto inakuja kwenye fedha za kuyatimiza hayo mambo mazuri kedekede ni changamoto kubwa sana sababu wengi wanashindwa kuelezea ni kwa namna gani watapata fedha za kufinance...
  6. Kutembea Peku (Barefoot Walking) – Njia ya Kupata Nishati Asilia

    Habari wakuu, Kimsingi, kuna nguvu ya asili inayoumba uwepo wa uhai duniani. Kati ya nguvu nyingi, nishati ya umeme ni moja ya muhimu inayoumba maisha. Jua limekuwa chanzo kikuu cha nishati hii 🌞. Tunapopokea miale yake moja kwa moja, mwili unachochea uzalishaji wa vitamini D, mimea hupata nguvu...
  7. Je, unahitaji Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)

    Je, unahitaji Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)? Yaani: Business Plan for Establishing a CNG Refueling Station Biashara ya kuanzisha kituo cha kujaza gesi asilia (CNG) nchini Tanzania ni fursa kubwa na ya kipekee, hasa kutokana na mabadiliko ya dunia kuelekea...
  8. Hii mikoa ikipiga kura za visasi dhidi ya CCM ya Samia haipati hata asilia 25

    Tanga, kauli ya kifo ni kifo bado inawauma sana. Katavi, imetupwa kushoto kuliko hata Kizimkazi yenye watu 20000 Mwanza, tukio la machi 17 2021 bado linawauma sana. Maana bado hawaamini kama ni mkono wa Mungu Geita, waemkaa kimya ila wanasema walishatengwa kabisa baada ya machi 17 2021...
  9. Nikiwa Rais mabomba ya gesi asilia yatasambazwa nchi nzima

    Kwa nchi kama Tanzania ambao tuna-umeme mdogo sana ambao hautoshi kwa ajili ya viwanda ni vizuri tukatumia gesi asilia ambayo inaweza tumika kama primary source of energy Faida zake ni nyingi sana yatavutia waekezaji kwa kupunguza gharama za uzalishaji viwandani na kupunguza gharama za maisha...
  10. M

    Kwa kipawa changu asilia ninaweza kukata kiu ya muda mrefu ya Watanzania

    I have powers to the extent nikiingia kwenye machimbo yangu huko kwenye ulimwengu uliojificha basi nikija kutoka WATANZANIA watakatika na viu vyao vya muda mrefu (for my powers I can quench the unquenched thirsty of Tanzanians)
  11. Dar: Kapinga azindua Kituo Mama cha Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG), kitajaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amezindua Kituo Mama cha Gesi Asilia iliyoshindiliwa (CNG) ambacho kina uwezo wa kujaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku huku kikifanya kazi kwa muda wa saa 24. Kapinga amezindua kituo hicho tarehe 9 Mei, 2025 jijini Dar es Salaam akimwakilisha...
  12. Nilichojifunza Kwenye Kujiajiri Biashara ya Vipodozi Asilia Miaka 8

    Mwaka 2017 nilipeana rasmi mkono wa kwaheri na mwajiri wangu Simba Technology ,Posta Dar es slaam. Maagano ya ya kirafiki na bashasha kila mmoja akimtakia mwenziye kila la kheri.Hapo nilikuwa nimetumia miaka 3 kudeal na biashara ya sabuni asilia kwa muda wa ziada wa ajira ,iwe usiku,weekend hadi...
  13. Mradi wa Dola Milioni 5.8 kuhifadhi Misitu ya Asilia wazinduliwa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), amezindua mradi wa 'Kuimarisha Ustahimilivu wa Bioanuai ya Misitu ya Mazingira Asilia Tanzania dhidi ya Athari za Mabadiliko ya Tabianchi', wenye thamani ya Dola za Kimarekani 5.8 milioni. Mradi huo umefadhiliwa na Mfuko wa Mazingira...
  14. PreGE2025 G55 ( Chadema Asilia ) Vs Wanaharakati

    Kwa hali inavyoendelea sasa ndani ya Chadema kumeibuka mvutano kati ya Timu Lissu vs Team Mbowe Kwa haraka haraka Team Mbowe walianza kutengwa na kufurushwa makao makuu na wengine wakionywa kutoshiriki hata msiba unaomhusu Freman Mbowe na Injinia wa Mpango Huu ni Mchaga Godi Lema kwa madai...
  15. H

    Dini Asilia za Kiafrika

    Dini asilia za Kiafrika ni kati ya dini za jadi ambazo zinadumu hata leo, ingawa wafuasi wake walipungua mwaka hadi mwaka kulingana na dini zilizotokea Mashariki ya Kati, hasa Ukristo na Uislamu, ambazo zilienea Afrika, bara kubwa lenye jamii na tamaduni nyingi ila kwa sasa Dini za Asili za...
  16. Ubunifu wa meza sehemu ya pili: Mbao asilia.. Ufundi uliotukuka..

  17. Utunzaji wa Ngozi: Changamoto Mbalimbali za Ngozi na Suluhisho Lake kwa kutumia bidhaa za asilia.

    Ngozi zetu zinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazoweza kuathiri afya na muonekano wake. Hapa tutazungumzia baadhi ya matatizo ya ngozi kama ngozi ya magamba, ngozi ya mafuta, ukurutu, ngozi kavu, na kuzeeka kwa ngozi, pamoja na suluhisho la bidhaa za Grace Products zinazoweza kusaidia...
  18. Unafuta Sherehe za Uhuru kuokoa pesa wakati huo huo wale wote walio husika na upigaji report ya CAG mwaka huu umewasamehe kwa asilia 100

    Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga. Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi...
  19. Rodri: "Cristiano Ronaldo hana kipaji asilia. Mtu yoyote anaweza ku-train na kuwa kama yeye"

    Naona huyu jamaa tangu amepata ballon d or uchwara analopoka lopoka tu.
  20. Soko gani naweza pata mafuta ya nazi asilia

    HABARI Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, soko gani nitapata mafuta ya nazi ya asili yale wanayotengeneza kwa kutumia nazi kienyeji?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…