asante

  1. N

    JamiiForums Tanzania Lema na Lissu kumbe walipewa hela na Samia wakiwa nje halafu hawana adabu wala ahsante!

    Leo nimemsikia Rais Samia akihutubia wazee ila katoa siri nzito na ambayo nilikuwa naifikiria sana hivyo hivyo . 1. Nakumbuka Samia huyu huyu ndo alienda kumtembea lisu Nairobi kama utu, pia Ubelgiji alimwona na wakaongea kwa kirefu, Kumbe bana alilia lia hana hela ana njaa na aliomba hela...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kweli Mh Samia uliwasamehe Hawa na kuwaruhusu warudi nchini na ukawafutia kesi? Asante mohamedi umetuonesha rangi Yako.

    Muhindi kumzurumu muhaya ni ngumu sana, Ili ni funzo mnielewe Nauliza Mh Raisi Samia watu WALIOKUWA wanauza UNGA nchini akiwemo huyu Mohamed aliyekamatwa na Mzee Magu na kukili kosa na kulipa cash money ya prebegaining dheni akakimbia nchi Ndo unajitapa uliwarejesha nchini? Nani hasiye...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Uteuzi Mkuu 2025 Tumeukwepa, Asante Lissu kwa kutufungua macho, Asanteni pia mliomchagua mwenyekiti

    Haikuwa rahisi kuyakwepa haya maigizo. Asanteni sana.
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo asante kwa kushiriki. Kigoma mjini ni ya Zitto

    Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Natumia yas nampigia mtu wa Airtel hapatikan ila inajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani

    Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

    Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki. Huu ujumbe wa Polepole...
  7. JamiiForums Tanzania "Shukrani ni zaidi ya asante" siri ya mioyo yenye neema na mioyo isiyojua wema

    Kuna zawadi moja ya thamani isiyolipiwa kwa pesa ni neno...... "SHUKRANI" Ni neno dogo lakini lenye uzito mkubwa. Moyo wa shukrani huonyesha tabia ya mtu hata kabla hajazungumza. Nimeandika hii thread baada ya jana kupigiwa simu na mama mmoja akasema mwanangu DR AM 4 REAL Nakushukuru sana...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Thank you RORYA 🙏Wajumbe ♥️

    Hizi ndio Nyakati tulizokua tunasubiri kwa Muda mrefu SIASA za UKANDA,Basii.
  9. JamiiForums Tanzania Asante sana Gambo Arusha tutakukumbuka !

    Asante Gambo , hakika tutakukumbuka Ila ndo hivyo tulitaka utuhudumie Ila haikuwa riziki . Pamoja Sana katika upambanaji wako . Nayafikiria maisha mapya bila vyeo sijui yatakuaje na mke wako ameshaporwa uafisa na sasa anapiga chaki Pole Sana jemedali
  10. JamiiForums Tanzania ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏 (PICHANI NI 3BEDROOMS SIMPLE HOUSE ON 25X13M PLOT)

    ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏 Ningependa kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati Wanajamii Forums kwa sapoti kubwa mliyonipa mwezi huu. Kwa neema ya Mungu na msaada wenu, nimeweza kufanya kazi na wateja wengi waliotoka moja kwa moja kupitia hii forum. 💼🏗️ Naahidi kuendelea kutoa huduma...
  11. JamiiForums Tanzania Asante sana Mungu kwa kutuvusha nusu mwaka

    Ee Mungu nakushukuru umetuvusha nusu mwaka salama. 1. Maadui walikuja ili watuangamize, ukawatawanya! Asante sana Mungu. 2. Magonjwa yalitupata, ukatuponya nayo yote. Nakushukuru Mungu wetu. 3. Umebariki kazi za mikono yetu, tumepata pesa ya kununua mahitaji muhimu. Asante Mungu mkuu. 4...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Asante Rais Trump mapendekezo yaliyotolewa na Marekani Kwa Tanzania ni Kilio na kusaga meno kwa CCM

    Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana . Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa. Maazimio yalikuwa. -Vyama...
  13. JamiiForums Tanzania Wenye Kuangalia Hii Tamthilia Naomba Kujua Jina la Huyu Mama Please

    Salaam/Shalom...! https://youtu.be/aURJp25qtdg?si=0--FAtawwgNmjrnd
  14. JamiiForums Tanzania Maneno matano ya ajabu: TAFADHARI, SANAHANI, AHSANTE, NIWIE RADHI, KARIBU

    Naandika Nikiwa nalenga nyanja ya malezi, Mapenzi, siasa, uchumi na kila nyanja inayohitaji character yako asilia ili kudeliver kile kitu kinapaswa... matharan unapolea watoto heb kuwa vile ulivyo acha kutaka kuwa kama jirani yako. ktk nyanja zote za maisha Watu wengi hugeuka makatiri...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
  16. D

    JamiiForums Tanzania Siipendi Simba lakini naomba wachukue kombe kwa heshima ya taifa na 'ahsante' kwa Huyu Mama Anayeupiga mwingi Michezoni

    Kwakweli wachukue tu Simba Ili jitihada zilizoonyeshwa kwenye michezo na mafanikio mengi yaliyowekwa yaendelee kupata maana. Aisee kwenye michezo umepigwa mwingi mpaka unapwakuka. Hata haters wa mama kimoyomoyo wanakiri. ✓fainali mbili ✓mashindano ya afrika kufanyika hapa ✓viwanja kujengwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Asante kwa Squad nzima ya Simba SC, ila hawa watu wametufikisha nchi ya ahadi

    Mungu ibariki Simba Sc nzima Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana. Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao majina yao inabidi yaandikwe kwa wino mwekundu wa moto..Majina yao yaandikwe sio kwenye kuta za Simba...
  18. JamiiForums Tanzania ASANTE KAMANDA WETU MTIIFU KUTEKELEZA KAZI TULIYOKUTUMA HAWA MAKOLO HAWAENDI POPOTE. IMEISHA IYO.

    Nawasilisha salama zetu za pongezi. Nimemalza.
  19. JamiiForums Tanzania Wakatoliki ni watu Intellectual sana : Asante askofu Pisa, Je ni nani anaevuruga amani?

    Tumsikilize Askofu Pisa, moja ya watu wanaojielewa sana hawa. Élimu humfanya mtu kuwa huru. Mchakato wa kumpata kiongozi wa kikatoliki ni Mchakato wa kielimu zaidi… Tunatambua kuwa DINI zote ni man made, ila dhehebu la Catholic Institution makes more sense. Ni nani anaevunja amani ; anaedai...
  20. JamiiForums Tanzania CHRIST IS KING, ahsante Shomari Kapombe kwa ujumbe wako murua kwenye tisheti yako

    100% JESUS
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…