asali

Sohan asali (Persian: سوهان عسلی‎, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alivyosababisha nichelewe usaili wa mrija wa asali

    Ndugu wanaJF Jumamosi (01/10/2022) nilileta uzi jukwaani nikiomba kwa aliyetangulia kubarikiwa pesa, aniwezeshe nauli niende kwenye usaili kule kwenye makao makuu ya nchi (kibiashara na Ikulu). Wadau wawili waliniwezesha kiasi cha Tshs 25,000/=. Baada ya wezesho hilo, nikawa na pungufu ya...
  2. JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA wengi hatupendi namna Mbowe alivyolamba asali ila hatuna namna maana hatuna maamuzi

    Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora. Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini. Mbowe amecollude na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Niwezeshe niende kwenye ulambaji wa asali

    Habari mwana jamvi. Nimeitwa kwenye interview (Ardhi University) kama inavyoonyesha hapo chini. Nimepeleza kiasi shilingi za kitanzania takribani 90,000/= ili niweze kufika mahali pa usaili (kutoka Geita). Kwa yeyote atakayehitaji kunishika mkono katika hili niwezeshe kupitia M - PESA namba...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja wasipewe Asali

    Asali ni mojawapo ya vyakula vinayofahamika kuwa na sifa ya kubeba vimela vya masalia ya bakteria wanaoitwa Clostridium botulinum. Bakteria hawa ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja kwa kuwa mfumo wao wa kinga za mwili hasa kwenye utumbo huwa bado ni dhaifu. Wanaweza kukaa humo...
  5. JamiiForums Tanzania Jumamosi iliyopita kuna Timu Moja ilikuwa inaendeleza kile ilichokizoea na nyingine imeonjeshwa Asali kabla ya Kulambishwa Chungu

    Huenda mwisho wa Kufurahi kwa hiyo Timu na Mashabiki wao ukawa ni Weekend ijayo ( hii ya sasa ) na baada ya hapo Kununa (kwa Kufurumushwa kabisa Michuanoni ) Kukaanza ama kutokea Sudan au Ethiopia.
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama unataka kulamba asali bila wasiwasi soma degree ya manunuzi

    Habari! Waswahili wanasema kama huwezi kuwapiga basi ungana nao ili nawe uanze kuwapiga maadui ambao awali mlikuwa marafiki. Uza hata mashamba, achana na kufanya vitu visivyoleta tija. Ukiingia serikalini umeula, yaani ni mwendo wa kula asali tu. Box la peni serikalini linauzwa mpaka elfu 50...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Walamba asali wanapoufurahia "ujinga" wetu

    Huu hapa ni ukweli ulio mchungu, hasa kwa aubebaye mzigo huu: Kwa hakika kwa mlamba asali, chawa au kibaraka wao, maisha si ndiyo haya sasa? Inafahamika kusikia kwenu ni kule kwa kenge. Tuendelee kuwaambia nini cha zaidi basi? "Waliojinadi kuwa Serikali Sikivu wamethibika kuwa Viziwi" Heko...
  8. JamiiForums Tanzania Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Ukimya umekuwa mkubwa kwa wanaharakati na wanasiasa ,ukimya ambao unashtusha na kutia hofu kubwa. Leo hii yupo wapi Zitto Kabwe tuliyemzoea kukosoa serikali kwa hoja zenye mashiko, yupo wapi Freeman mbowe na tindu lissu wasemaji hodari wa kuwasemea wanachi pale Mambo serikalini yanapoenda...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ruto ana funzo kwetu dhidi ya walamba asali

    Walamba asali wamejisahau. Wamedhani sisi tunayo furaha mno wao na familia zao wakiendelea kujimilikisha nchi na kujineemesha. Tozo hizi wanazo turundikia sisi, zina ridhaa gani nasi? Ruto na jamii ya Wakenya iliyochoka mno na madhila kama ya kwetu, ilisimama imara vilivyo kuwakataa walamba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kulamba Asali, Mbowe alaani utitiri wa magari, msafara wa Rais hauendani na kubana matumizi

    Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Mwigulu Nchemba auchuna. Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais ======= Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya serikali ya kubana matumizi. Amesema...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mbowe na Chadema mlifanya siasa za Kuboa na hayati JPM? Siasa za kujenga ni kulamba asali?

    Nashindwa kuelewa kauli za Mbowe. Mbowe amelamba asali amekuwa kama bubu. Siasa za kujenga ndio siasa gani sasa? Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbowe-tulikubaliana-na-rais-samia-kufanya-siasa-za-kujenga-nchi-3912844
  12. JamiiForums Tanzania Kadu Bee Honey wauzaji wa asali bora na mbichi

    Kadu Bee Honey wauzaji wa asali bora na mbichi kutoka Singida, tupo Dar es salaam, delivery tunafanya popote ndani na nje ya nchi. Karibuni sana. +255657844098.
  13. JamiiForums Tanzania Mchanganyiko uliosagwa wa Tangawizi, Kitunguu Saumu, Mdalasini, Limao na Asali vinaweza kutumika kwa muda gani bila kuharibika?

    Wazee ujumbe unajitosheleza nisiwakamue ubongo wenu. Nimetengeneza huo mchanganyiko nataka nikate mafuta tumboni huku nafanya mazoezi ya viungo kwani uzito wangu ni kg 100, hadi visigino vinauma Nimechanganya huo mchanyanyiko lita 1 na nusu natakiwa uji huo kijiko kimoja asubuhi, mchana na...
  14. JamiiForums Tanzania Afisa Elimu mkoa wa Tabora usitumie mtihani ya (dhihaki) Mock kulamba asali!

    Mkuu Pole KWA majukumu Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha! Kuna kasoro nyingi kama hizi;- 1.Mitihani ilichapiwa kule Mwanza matokeo yake ikachelewa kufika mashuleni KWA...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tuseme hata maaskofu nao wanalamba asali?

    Nakumbuka awamu ya tano lilikuwa likifanyika jambo lililogusa watu wengi mapadri, mashehe na maaskofu walijitokeza kulaani, leo wapo wapi?wamejificha wapi ingali bado tunawahitaji? Leo kila kona watumishi wa Umma wanalalamika juu ya ongezeko la mishahara lakini wapo kimya, nini kimewakumbuka...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Teknolojia na Jeshi katika zama za nyuki wasio na asali

    "Mwanajeshi wa kweli anapambana sio kwa sababu anachukia kilichopo mbele yake, Ila ni kwa sababu anapenda kilichopo nyuma yake". UTANGULIZI. Natumai tu wazima na wenye shida na matatizo Mwenyezimungu awape sahali. Nimeanza na msemo maarufu wa kijeshi unolenga kutoa maana ya ni nani mwanajeshi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaendelea kuwalambisha asali

    Sifa ya asali ni utamu, Ila katika Serikali ya Rais Samia Suluhu ni faida wanazopata wananchi kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita. Katika moja ya hotuba zake Rais Samia alisema moja ya mipango ya Serikali ni kuendelea kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha utalii wa...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa; matrillion ya pesa yanayokusanywa kwenye kodi ya ‘Fuel marking’ yanaenda serikalini au kuna mtu anabugia asali?

    Wakati najaribu kutafuta ‘uchawi’ unaotumika kufanya bei ya mafuta ambayo gharama zake zote hadi kuyafikisha bandarini Dar es Salaam ni 1,116/= kuuzwa kwa bei inayofika hadi 3,500/= baadhi ya mikoa (tofauti ya 2,500/= kwa lita), nilikutana na ‘kodi’ inaitwa ‘Fuel marking’ Katika kujaribu...
  19. JamiiForums Tanzania Mwinyijuma Othman, Mwanamageuzi aliyepigania uwepo wa vyama vingi anayeishi kwa kuokota makopo na hataki kuongelea siasa

    Alipambana kwa kila namna ili mfumo wa vyama vingi uwepo nchini 👇 -- Ukikutana naye mitaa ya Mwananyamala wilayani Kinondoni au pembezoni mwa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi hutajihangaisha kumfuatilia. Begani hubeba mfuko wa chupa za plastiki au wakati mwingine kuni, sawa na wale watu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya apata dhamana

    Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya amepata dhamana usiku huu. Twaha amedhaminiwa na watu wawili, Jeshi la Polisi limemtaka kuripoti Julai 08, 2022.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…