arusha

  1. JamiiForums Tanzania Mkakati wa Makamu wa Rais Deo dhidi ya Vijana naufanqnisha na mbwembwe za Makonda wakati yupo Arusha- hakunaga tija

    Strategies ya bwana Deo kuhusu interns kwenye corporate entities za serikali eti ndio mpango wa serikali kuwapa vijana uzoefu wa kuajirika serikalini ! Hii ni reactive strategies isiyokuwa na sustainability yoyote ahead ! Kama mpaka leo bado tunawaza kuongeza wig kwa vijana kuajiriwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mmuya ashiriki kikao kazi cha wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu Arusha

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameshiriki hafla ya ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), jijini Arusha. Hafla ya ufunguzi...
  3. JamiiForums Tanzania Ghorofa zuri linauzwa Arushaa

    Ghorofa inauzwa B.2.7ml lip0 mjini Arusha Centre . Zipo floor 6 bado linafanya biashara . Nipm kama unahitaji
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatuelewi nauli rasmi ya usafiri wa umma Arusha - Moshi ni sh ngapi? LATRA toeni ufafanuzi

    Baadhi ya wasafiri wanaotumia usafiri wa umma katika njia ya Arusha – Moshi – Arusha tumekuwa tukikumbana na changamoto kuhusu utofauti wa bei ya nauli inayotozwa na watoa huduma. Katika nyakati mbalimbali, imeonekana kuwa baadhi ya abiria hutozwa nauli tofauti, huku viwango vikibadilika kati...
  5. JamiiForums Tanzania Alex Malasusa linusuru kanisa na kashfa ya madeni ya Arusha Corridor Springs. Haipendezi watu wa Mungu kukimbia madeni.

    Suala la KKKT (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania) na Hoteli ya Corridor Springs jijini Arusha linahusiana na mgogoro wa kifedha na madeni uliotokea katika Dayosisi ya Kaskazini Kati ya KKKT. Muhtasari wa Suala Hilo: Uwekezaji na Ujenzi: Hoteli ya Arusha Corridor Springs Hotel...
  6. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wanne wa wizi watiwa mbaroni kijiji cha Naurei, Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha likishirikiana na wananchi limewakamata vijana wanne wanaotuhumiwa kujihusisha na matendo ya wizi. Watuhumiwa hao walitiwa mbaroni mchana wa leo katika Kijiji cha Naurei, Mkoa wa Arusha, baada ya jaribio lao la kufanya wizi katika duka moja la eneo hilo...
  7. JamiiForums Tanzania Afumaniwa akidaiwa kuwaingilia vijana wawili kinyume na maumbile

    Wanaume watatu wamekutwa katika chumba kimoja eneo la Msasani, Kitongoji cha Oloresho, Kata ya Moivo, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, katika mazingira yaliyoibua mashaka miongoni mwa Wananchi. Mmoja wa Wanaume hao, aliyefahamika kwa jina la Alex Kimario, anayedaiwa kuwa dereva wa bodaboda...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki anahitajika Arusha

    Nipo Arusha kikazi nahitaj rafiki aliyopo Arusha kwa ajili ya kunihost na kuwa mwenyeji wangu na kuenjoy a lil bit,akiwa wa kike itapendeza zaidi.
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo fleva Arusha inaacha vipi kuwakumbuka X-Plastaz na Father Nelly?

    Hii inaonesha ni kwa namna gani binadamu ni wabinafsi na wanapenda kuishi fake life. Unaanza vipi kumpaisha Mr Ebbo na kuwaacha malegend wa masai hip hop walioipeleka bongo fleva ughaibuni?? Ndio maana Mambaz 24 aliamua kuitupa Mike kwenye stage. "NINI DHAMBI KWA MWENYE DHIKI" "USHANTA"...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ukubalike Arusha, deal na Warangi, Wambulu na Wanyaturu; utamaduni wa jiji una influence yao kubwa sana hadi street life

    Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana. Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati. Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa kiasi kikubwa na Warangi, wanyaturu, wanyiramba, wambulu. Makundi yameanza kuwa kama utamaduni na...
  11. JamiiForums Tanzania Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

    Na walizungumza nini kwa mfano? Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana? au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na...
  12. JamiiForums Tanzania Mmoja atupwa jela, wawili waachiliwa kwa Plea Bargain kwa kutengeneza pombe feki Arusha

    Arusha. Mtu mmoja amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na Mahakama ya Wilaya ya Arusha, huku wengine wawili wakiachiliwa huru kwa Plea Bargain baada ya kukutwa na hatia ya kutengeneza na kukutwa na pombe feki pamoja na stempu feki za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Adhabu hizo zimetolewa...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awasili Arusha, kufungua kongamano la wanamipango

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Arusha leo Jumatano, Septemba 16, 2026, ambapo amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Arusha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, pamoja na viongozi wengine wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Arusha kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Kusaga TV: Arusha kila siku wanauwawa madereva bodaboda

    Kumekuwepo na visa na mikasa mbalimbali ya kuuwawa kwa madereva bodaboda huko mkoani Arusha na mara nyingi matukio hayo huripitiwa na Kusaga Tv Kwa siku za karibuni ni kama matukio hayo yanazidi, juzi tu Kusaga TV iliripoti tukio la dereva bodaboda kuuwawa na kutolewa macho huko Olasiti...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Arusha: Binti wa miaka (24) afariki baada ya kupigwa chupa akiwa klabu

    Binti anayefahamika kwa jina la Irene, mwenye umri wa miaka (24), mkazi wa Mtaa wa Lemara, Kata ya Lemara, Jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kujeruhiwa kwa chupa wakati akiwa pamoja na wenzake katika eneo la The HUB. Mama mzazi wa Irene, Mariam Selemani, amesema marafiki wawili wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria wa basi la Nayrah T 103 EGM Arusha to Dar es salaam hatujatendewa haki

    Basi letu limekamatwa Mlandizi kwa kosa la ku-overtake. Tupo kituo cha polisi tangu saa 11 jioni hadi sasa saa 1 usiku, bila kupewa taarifa yoyote kuhusu kinachoendelea. Kwenye basi kuna watoto na wazee ambao wanapata shida. Tunaomba wahusika watusaidie na kutoa taarifa kuhusu hatua...
  17. JamiiForums Tanzania Mnaowekeza Arusha karibu na uwanja wa AFCON wekeni mikakati ya muda mrefu kuendeleza biashara na sio faida ya mwezi mmoja ya AFCON.

    Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha wanawekeza mahoteli wakiitaja sana AFCON kama lengo lao. Ikumbukwe AFCON ni mashindano ya mwezi mmoja tu...
  18. JamiiForums Tanzania WADAU WA UTALII ARUSHA WAPONGEZA JUU YA ONGEZEKO LA MIKUTANO YA KIMATAIFA

    Zaidi ya washiriki 3,000 kutoka mataifa mbalimbali wanahudhuria Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Idadi hii kubwa ya wageni ni kielelezo tosha cha jinsi utalii wa mikutano mkoani humo unavyozidi kushika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Impliedly; RPC Arusha anamaanisha wanaostahili kupigwa ni migambo sio askari wa Polisi

    Kwa tafsiri hii ni kuwa Migambo ndio wanastahili kichapo👇
  20. JamiiForums Tanzania Bodaboda wanauwawa kwa wingi ARUSHA JIJI, Jeshi la Polisi Lipo

    Kila Kukicha Jijini Arusha ,uhalifu unazidi kuongezeka. Kwa Bodaboda, maisha yao uanabadilika Kila baada ya Dakika Kadhaa. Aina ya Mauaji ni ileile Kukatwa Shingo Kutobolewa Macho. Ikimaanisha kua, Wauaji ni wale wale katika Matukio tofautitifauti. Ajabu ni kua, KATAMBI YUKO OFISINI ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…