arafat

Mount Arafat (Arabic: جَبَل عَرَفَات, romanized: Jabal ʿArafāt), and by its other Arabic name, Jabal ar-Raḥmah (Arabic: جَبَل ٱلرَّحْمَة, lit. 'mountain of mercy'), is a granodiorite hill about 20 km (12 mi) southeast of Mecca, in the province of the same name in Saudi Arabia. The mountain is approximately 70 m (230 ft) in height, with its highest point sitting at an elevation of 454 metres (1,490 feet).
According to some Islamic traditions, the hill is the place where the Prophet Muhammad stood and delivered the Farewell Sermon, also known as the Khutbat al-Wada', to his Sahabah (Companions) who had accompanied him for the Hajj towards the end of his life. Some Muslims also believe that Mount Arafat is the place where Adam and Eve (Hawa) reunited on Earth after falling from Heaven, believing the mountain to be the place where they were forgiven, hence giving it the name Jabal ar-Rahmah, meaning "Mountain of Mercy". A pillar is erected on top of the mountain to show where this event is believed to have taken place.
The mountain is especially important during the Hajj, with the 9th day of the Islamic month of Dhu al-Hijjah, also known as the Day of 'Arafah after the mountain itself, being the day when Hajj pilgrims leave Mina for Arafat; this day is considered to be the most important day of the Hajj. The khutbah (sermon) is delivered and Zuhr and Asr prayers are prayed together in the valley. The pilgrims spend the whole day on the mountain invoking Allah to forgive their sins.

View More On Wikipedia.org
  1. mcTobby

    Mfahamu Robert Ames. Afisa wa CIA aliyewakutanisha Yitzhak rabin P.M wa Israeli na Yasser Arafat wa palestina

    Ilikuwa ni siku ya jumatatu ya mwezi wa 9 mwaka 1983. Siku ambayo anga lilikuwa angavu na bluu ikimaanisha hali ya joto kiasi ndani ya makao makuu ya nchi ya marekani Washington d.c. Hakika siku na tarehe hii ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na watu wengi na sio tu wamarekani bali...
  2. Just Pray

    Arafat Haji: Wanaweza kusababisha kifo chako na bado wakaja msibani kujiliza

    Ameandika makamu wa rais Yanga SC Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram. “Wanaweza kusababisha kifo chako na bado wakaja msibani kujiliza sana, wanaweza kukusababishia matatizo na wakawa wa kwanza kukupa pole, wanaweza kukwambia tupo pamoja na wakakupa mkono ila pembeni yako wana...
  3. ngara23

    Arafat Haji mtu chuma kweli kweli

    Arafat Haji ndo makamu wa Rais wa Young Africans Arafat Haji ni msomi haswa akiwa mtaalam wa uchumi na Tehama Amepata Masters yake ya IT kutoka Conventry University Arafat ni Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Nina Zanzibar na CEO wa PBZ bank, yaani ulisema connection serikalini au eti TFF...
  4. econonist

    Yasser Arafat alikufa kwa ugonjwa gani?

    Tangu kifo chake mwaka 2004, kuna sintofahamu ni kipi hasa kilimuua Kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Kuna nadharia nyingi juu ya kifo chake, wengine wanadai aliuaawa na wengine wanadai alikufa kifo Cha kawaida. 1. Nadharia ya kwanza: Aliuawa. Wengi kwenye nadharia ya kwanza...
  5. kipara kipya

    Ni dhahiri moto unawaka Yanga. Arafat alitishia kujiudhulu kama Gamond hatoondolewa

    Bundi yupo jangwani Arafat makamu wa raisi alikuwa na msimamo wa kumuachia hersi timu yake na kuwashawizhi baadhi ya wadhamini kujiondoa klabuni hapo. Chanzo nyeti kinasema Hersi alikua anasita kumvunjia mkataba gamondi lakini Arafat alisimama na msimamo wake hakuna kumpa muda tena gamondi timu...
  6. TUKANA UONE

    Engr. Hersi Said & Arafat Haji Kamatieni hapo hapo msiachie hadi watakapotubu

    Kwanza kabisa,Niwape pole umma wa watanzania kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa waziri mkuu Mh Edward Ngoyai Lowasa Pili,niwape Pole wanayanga wenzangu kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa timu yetu ya Yanga ndugu Imani Madega. Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi, Ameen!. Katika...
  7. adriz

    Video ya Mahojiano : Nelson Mandela akiweka wazi msimamo wake kuhusu harakati za Palestine na Yaseer Arafat

    Moja kwa moja..
  8. mcshonde

    Nani alimuua Yasser Arrafat?

    Nani alimuua Yasser Arrafat? Novemba 11, 2004 wapalestina walijikusanya vikundi vikundi kuomboleza kifo cha Mohammed Abdel Rahman Abdel Raouf al-Qudwa al-Husseini, al maarufu Yasser Arafat au kunya Abu Ammar. Huyu mwamba alililiwa machozi ya kweli kutokana na kuwaacha wapalestina katika kipindi...
Back
Top Bottom