apple

An apple is a sweet, edible fruit produced by an apple tree (Malus domestica). Apple trees are cultivated worldwide and are the most widely grown species in the genus Malus. The tree originated in Central Asia, where its wild ancestor, Malus sieversii, is still found today. Apples have been grown for thousands of years in Asia and Europe and were brought to North America by European colonists. Apples have religious and mythological significance in many cultures, including Norse, Greek and European Christian tradition.
Apple trees are large if grown from seed. Generally, apple cultivars are propagated by grafting onto rootstocks, which control the size of the resulting tree. There are more than 7,500 known cultivars of apples, resulting in a range of desired characteristics. Different cultivars are bred for various tastes and use, including cooking, eating raw and cider production. Trees and fruit are prone to a number of fungal, bacterial and pest problems, which can be controlled by a number of organic and non-organic means. In 2010, the fruit's genome was sequenced as part of research on disease control and selective breeding in apple production.
Worldwide production of apples in 2017 was 83.1 million tonnes, with China accounting for half of the total.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shamba ekari 113 linauzwa Mufindi, linafaa kwa mazao mbalimbali

    Habari wakuu, "Ukitaka mali utaipata shambani" Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Iringa, hususani wilaya ya Mufindi ni injini ya horticulture inayokua kwa kasi sana Nyanda za Juu Kusini. Kuwa sehemu ya wawekezaji wa eneo hili la kimkakati. Kwa anayehitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha...
  2. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐—บ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—น๐—ผ๐—ฐ๐—ธ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐—ณ๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ ๐—œ๐—— ๐Ÿ‘ค

    Kuna changamoto mpya inawakumba watumiaji wa iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, na imeanza kuonekana siku chache baada ya simu kuanza kufika kwa watumiaji. ๐Ÿ˜ณ Baadhi ya watumiaji wameripoti kwamba wana potumia Face ID na Face ID ikishindwa kuthibitisha uso, simu inaweza Simu Kuganda kabisa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Apple watch series na bei zake

    APPLE WATCH ๏ฃฟ SERIES 10 46MM โ€“ 1,130,000/= 42MM โ€“ 1,060,000/= SERIES 9 41MM โ€“ 910,000/= 45MM โ€“ 980,000/= SERIES 8 41MM โ€“ 750,000/= 45MM โ€“ 810,000/= SERIES 7 41MM โ€“ 680,000/= 45MM โ€“ 730,000/= SERIES 5 40MM โ€“ 480,000/= 44MM โ€“ 530,000/= SERIES 4 40MM โ€“ 450,000/= 44MM โ€“ 500,000/= SERIES SE2 40MM โ€“...
  4. JamiiForums Tanzania Apple imezindua iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max

    Apple imezindua iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, huku bei zikianzia $1,199, sawa na takribani TSh milioni 3.18, wakati toleo la Pro Max likianzia $1,299, sawa na takribani TSh milioni 3.44 kwa viwango vya sasa vya ubadilishaji. Simu hizo zimekuja na chip mpya ya A20 Pro, iliyotengenezwa kwa...
  5. JamiiForums Tanzania 9 September 2026: Apple wazindua simu tatu, iPhone Duo, iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na accessories nyingine!

    Leo Tarehe 9 September, CEO mpya wa Apple John Ternus (amemreplace Tim Cook alieachia madaraka mwanzoni mwa huu mwezi), amezindua products mbalimbali za Apple kwenye event yao waliyoiita "Surprise and Shine"! Event hiyo iliofanyika kwenye Steve Job's Theater, Apple Park California, USA, usikute...
  6. JamiiForums Tanzania Apple washakinukisha huko na iPhone 18, lindeni migongo yenu.

    Mie sina mengi ila nawasihi nyinyi mabinti na vijana wa mjini msio na kazi za maana lakini mnataka kumiliki iphone kila toleo jipya "Lindeni migongo yenu" mgongo ni kiungo muhimu sana
  7. JamiiForums Tanzania Apple yatambulisha iPhone 18 Pro. Mambo tisa yatakushangaza zaidi

    Apple yatambulisha iPhone 18 Pro. Apple imesema iPhone 18 Pro na Pro Max mpya zina mfumo bora zaidi wa kamera, maisha marefu zaidi ya betri na utendaji wenye nguvu zaidi kuwahi kutolewa kwenye iPhone. Apple inasemekana imeandaa maboresho makubwa kwenye iPhone 18 Pro, huku baadhi ya mabadiliko...
  8. JamiiForums Tanzania ๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ก๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฒ

    ๐ŸŽ Apple kufanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia kwa watumiaji wa iphone ulimwenguni ๐Ÿ‘Š. Apple kuja na feature mpya ambayo itaweza kuruhusu iPhone mbili kutumia namba moja ya simu kupitia Mfumo wa eSIM. ๐Ÿคฏ๐Ÿ“ฒ๐Ÿ“ฒ Maana yake? Unaweza kuwa na iPhone yako ya kawaida na nyingine ya ziada, huku...
  9. JamiiForums Tanzania ๐Ÿ”“๐Ÿ”ฅ ๐— ๐—ช๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข ๐—ช๐—” ๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—ญ๐—œ? ๐—ถ๐—ข๐—ฆ ๐Ÿฎ๐Ÿฒ ๐—ฆ๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—œ๐—ป๐—ฎ ๐—๐—ฎ๐—ถ๐—น๐—ฏ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐—ธ!

    ๐ŸŽ Apple alisema โ€œiOS 26 ni salama kabisaโ€ฆโ€ ๐Ÿ˜ haitaweza kuwa na jailbreak ๐Ÿ‘€ ๐Ÿ˜ˆJailbreak community: โ€œHold my iPhone!โ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ Hatimaye developer maarufu ulimwenguni Lars Froder anayejulikana kama opa334 ametoa Mfumo ambao unaweza kuondoa vizuizi kwa watumiaji wa iphone. Dopamine 3.0 imeleta jailbreak...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kupata verification code ya Apple

    Wakuu, nina tatizo la kupata verification code kutoka Apple, vipi kwa waliokumbana na changamoto hii wamefanyaje? Nimekwama .
  11. JamiiForums Tanzania Apple Wametangaza iOS 27 na Apple Intelligence (AI). Wametaja na List ya Simu zitakazo-support!

    Jana kwenye WWDC 2026 Apple wamezindua iOS 27, macOS 27 Golden Gate, iPadOS 27, na watchOS 27. iOS 27 itakua supported na simu zote kuanzia iPhone 11 kuja juu. iPadOS 27 itakubali kwenye iPad Mini (6th gen) pamoja na Mini yenye A17 Pro kuja juu. macOS 27 kuanzia Macbook โ€œnyingiโ€ za 2020...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi sijui Hesabu au Mabeberu Wana Hela? Apple Pekee ina Thamani Sawa na Bajeti ya Tanzania ya Miaka 200?

    Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe! Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea. Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion. Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple...
  13. JamiiForums Tanzania Vita ya Google na Apple nani Mshindi?

    Kama unafikiria Google tunaweza kutumia mfumo wa Liquid Glass kuendana na iPhone kwenye vifaa vyetu sahau kabisa ๐Ÿ‘‹. Hii ndo kauli mpya ya ametoa Bwana Sameer Samat Rais wa Google kwenye masuala yote ya Ecosystem ya Android. Aliweza kutoa kauli hiyo baada Uvumi kusambaa kuwa Google wataweza...
  14. JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

    Wanaukumbi. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill Baada ya hapo wataanza kuwalipua. IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia...
  15. JamiiForums Tanzania Apple Pencil 2GEN for sale

    ๐Ÿ“Œ Apple Pencil 2 Gen โ€“ Inafaa kwa iPad Pro ๐Ÿ“Œ iPad zinazounga mkono Apple Pencil 2: โ€ข iPad mini (6th generation) โ€ข iPad Air (4th gen & 5th gen) โ€ข iPad Pro 11-inchi (1st, 2nd, 3rd, 4th gen) โ€ข iPad Pro 12.9-inchi (3rd, 4th, 5th, 6th gen) Bei ๐Ÿ’ฒ Tsh 35,000/= ๐Ÿ“ž 0712350159 ๐Ÿšฉ Arusha Town
  16. JamiiForums Tanzania Android inauza simu mara 4 zaidi kuliko Apple kila mwaka, lakini Apple inaongoza kwa mapato

    Mwaka 2025, Android ilisafirisha simu 1,000,000,000 huku iPhone ikisafirisha 240,000,000, hivyo kwa idadi ya vifaa Android iko ligi tofauti kabisa. Hata hivyo, bei ya wastani ya iPhone ni dola 1,060 sawa na Tsh. 2.756 Milioni, ikilinganishwa na dola 370 sawa na Tsh 962,000 kwa simu za Android...
  17. JamiiForums Tanzania Walichoshindwa Apple kutoka kwenye simu za Android

    Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini ๐Ÿ™‚. Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi kuzifunga apps zote alizozifungia kwa wakati mmoja kutokana na Mfumo wa iOS ulioundwa kuweza kudhibiti...
  18. JamiiForums Tanzania Vita ya Android na iPhone imefikia tamati sasa

    Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone. Kupitia blogu ya Google, Android waliweza kutambulisha njia mpya Rahisi ya kuweza kutumia QuickShare Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Apple wamezindua socks kwaajili ya iPhone yako kwa Tsh 560,000/= tu!

    Yap! Hujakosea kusoma. Socks kwa Laki 5 na Elfu 60 tu ($230), hapo ni US bado usafiri, kodi na faida ya muuzaji. Apple wamezidua phone pocket aka iPhone socks kwaajili ya kubebea iPhone yako yoyote kuanzia mpya 17 series kurudi nyuma. Kwa kushirikiana na designer wa Japan, Issey Miyake...
  20. JamiiForums Tanzania Apple event Septemba 9, Imewekaa Viwango vipya katika vifaa vyake

    Apple event ya Septemba 9 imetoa muelekeo mpya wa kimkakati wa kampuni hiyo katika kuimarisha utawala wake wa soko la vifaa vya elektroniki. Badala ya tu kutangaza bidhaa mpya, Apple imeonyesha jinsi inavyoendelea kuunganisha bidhaa zake na kuwa mfumo mmoja wa kipekee, huku ikiboresha utendaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ