app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu ni app gani inatumika kuedit au kuweka maneno KWENYE picha kama haya

    Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kama una App ya Tigopesa au huna Fanya hivi

    habari wadau , kama unayo app ya Tigopesa cha kufanya update na pia kwa wewe ambae hauna nenda play store download jisajiri kula maisha wanatoa GB 1 masaa 24 nadhani zitakusaidia kukusukuma,
  3. JamiiForums Tanzania Hizi App za mikopo online ni mkombozi wa wanyonge au nyonya damu?

    Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura. Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa sasa meseji inasema niwaambie walipe. Wao wanasema mimi niliwekwa kama mdhamini lakini baada ya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna app ya NBC tanzania premier league, yenye all the stats, news, livescore ?? au watu awaoni opportunities

    i have been looking for an app in app store. with all the league stats, news and players, including clips any leads? au hatuna wasomi? maana TFF NA KALIA NI vichwa maji this i know. this could be done in less than a week. & be launched before next season. for trials #note : kama...
  5. JamiiForums Tanzania App za bure zinaingizaje hela?

    Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela? Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
  6. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Taasisi zinazotoa mikopo zitunze faragha za wateja wao

    Napenda kulalamikia makampuni ya mikopo madogomadogo na assasi zisizo za kiserikali, kurekebisha kauli zao na misimamo yao, Mtu anapoomba mkopo nikwamba anahitaji mkopo ule ajikimu na matatizo aliyonayo, lakini badala yake wao hu (upload users devices data) mfano Phonebooks na meseji kisha mteja...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Mapambano dhidi ya taarifa chonganishi "Misinformation" zinazotokana na programu za akili bandia “generative artificiai intellegence (Gen AI)"

    Tusipo jiandaa mapema, Watanzania wanaweza wakatumbukia kwenye dimbwi kubwa la migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa matukio yenye uhusiano na magonjwa ya akili. Hii ni kutokana na madhara yatakayosababishwa na program za Akili Bandia zenye uwezo wa kutengeneza...
  8. JamiiForums Tanzania Napata shida sana kutumia hii app mpya ya JF.

    Haya maboreho kwenye hii app ya jamiiforums.com kwangu naona ni kero sana kuitumia. Kwanini hawa kubaki na muonekano ule ule wa zamani ulikuwa unampa mtu urahisi wa kutumia. Hii ya sasa hakuna tofauti kati ya anaetumia app na Web. Kioo kimeminywa, hebu angalia kama hiii picha hapa chini...
  9. JamiiForums Tanzania Kama ilivyo Alibaba China ni app gani naweza kuitumia kununua vitu Dubai

    Wakuu kama Mada tajwa hapo juu inavojieleza, wakati napitia Facebook Marketplace nimegundua kuna bidhaa zina bei ya chini sana Dubai. Mfano: Hiyo tecno 106, ina 12k China alibaba, ina 25k up to 35k Bongo lakini kilichonivutia zaidi ni ina AUED 1 , sawa na Tsh.700 yaani 0.7k Dubai. Facebook...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada App ya kutafsiri lugha kwenye Video au Audio

    Jambo wanajamii. Tafadhali anayejua app ya kutafsiri lugha, nimekutana na kitu kizuri sana usiku huu Youtube, sitapenda kinipite. Thank you in advance.
  11. JamiiForums Tanzania Msaada simu yangu inagoma kuinstall App nilizo download kwenye Google Chrome na nilizo rusha kwa njia ya Xender

    Nimeluhusu sehemu zote zihusianazo na security & install unknown apps. kila nikijaribu ku install inaandika hivi 👇 Msaada plz.
  12. JamiiForums Tanzania Msaada hii ni app gani?

    Wakuu naomba kufahamishwa hii app inaitwaje? Ni app kwaajili ya habari za michezo au ni kwaajili ya kununua tiketi pekee?
  13. JamiiForums Tanzania Ni nani au kampuni gani iliyotengeneza App ya Cheka Plus? Ya wale jamaa wa Cheka Tu?

    Kwema bandugu? Hata sina maneno mengi kwenye hili... Kama title inanyojieleza naomba kufahamishwa ni nani au akina nani? Waliotengeneza App ya Cheka Plus? Natanguliza shukurani.
  14. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuzuia app ya bank kutokuwa na access kwenye contact zangu?

    Wandugu Salama Hivi nawezaje kuzuia kuzuia app ya bank wasiweze ku access contact na calendar kwenye simu yangu Mfano ukidownload app ya crdb kunasehemu inataka Ile app iweze kuwa na access ya contact, calendar and picture Sijajua why ina recommend hivyo but what if sitaki wapate hiyo access...
  15. JamiiForums Tanzania Kama unatumia Apps hizi kwenye kifaa chako cha Android, ziondoe haraka. Ni hatari! | Xamalicious, a new dangerous Android 'copycat app'

    Wakati watumiaji wa Android walipoambiwa kuchungza vifaa vyao kwa programu (Apllications) zenye hatari kubwa ya kuwa na Wadudu (Malware) wa "SpyLoan" wasio salama, tishio jipya lilijitokeza kwa jina la "Xamalicious," mlango wa nyuma uligundulika hivi karibuni katika programu kadhaa kwenye Google...
  16. JamiiForums Tanzania App nzuri ya kuscan kutoka picha kuwa pdf

    Wakuu nahitaji Application ambayo ni easy kutumia inayoweza kupadili Image/picture kuwa pdf tena kwa kuunganisha kabisa
  17. JamiiForums Tanzania Nimepata ujumbe kutoka kwa YoWhatsapp ikinitaka nitumie official WhatsApp

    Wakuu heshima kwenu. Niende kwenye mada husika. Nimepata ujumbe kutoka kwa YoWhatsapp ikinitaka nitumie Official Whatsapp. Nawezaje ku-link messages za YoWhatsapp na Whatsapp ya kawaida, coz wakiipiga ban natumai msg zote zitafutika na kuanza upya. Sasa nawezaje ku-solve hili suala aidha...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kabla hujakopa ama kukopeshwa na app za mitandaoni elewa yafuatayo

    Wanajamvi kufuatia mkopo aliyokopa mdogo wangu kwenye APP za mitandaoni nami kujikuta muathiriwa kwa kuwa namba yangu imo kwenye simu yake, hivo basi natamani mfaham yafuatayo:- Application Date 13/02/2024 Due Date 19/02/2024 Platfoam Fee 45500TZS Amount...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kesi yangu na app za mikopo

    Kama nilivoahidi kuwa leo Jumatatu tarehe 26/02/2024 naanza mchakato wa kuwashitaki hawa watu. Nimeanzia TCRA ambako nimepeleka malalamiko yangu, Majibu ya TCRA ni kwamba wao hawahusiki kwa sababu hasimamii watu bali wabasimamia makampuni ya mawasiliano. Hii kidogo imeshitua hivo ikabidi niende...
  20. H

    JamiiForums Tanzania TCRA mmeamua kuuza utu wetu kwa wahuni wa App za mikopo mtandaoni

    Ndugu wanajamvi, Asalaam Aleikhum. Kama kichwa cha habari kilivo hapo juu nimejikuta na kuwa mhanga wa hawa matepeli wa APP za mitandaoni. Iko hivi kuna mtu ambaye ninafahamiana naye ama ni mtu wangu wa karibu ktk familia, kwa utashi wake binfasi alikopa kwa hawa jamaa, alikopa lini na kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…