app

A mobile application, also referred to as a mobile app or simply an app, is a computer program or software application designed to run on a mobile device such as a phone, tablet, or watch. Apps were originally intended for productivity assistance such as email, calendar, and contact databases, but the public demand for apps caused rapid expansion into other areas such as mobile games, factory automation, GPS and location-based services, order-tracking, and ticket purchases, so that there are now millions of apps available. Apps are generally downloaded from application distribution platforms which are operated by the owner of the mobile operating system, such as the App Store (iOS) or Google Play Store. Some apps are free, and others have a price, with the profit being split between the application's creator and the distribution platform. Mobile applications often stand in contrast to desktop applications which are designed to run on desktop computers, and web applications which run in mobile web browsers rather than directly on the mobile device.
In 2009, technology columnist David Pogue stated that smartphones could be nicknamed "app phones" to distinguish them from earlier less-sophisticated smartphones. The term "app", short for "software application", has since become very popular; in 2010, it was listed as "Word of the Year" by the American Dialect Society.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji Beta Testers kwa hii App

    Hello bosses... Kama kichwa kinavyosema naomba watu wanaofanya jogging au mazoezi ya kutembea kunisaidia kutest hii app. Ni very simple kutumia, app inapima steps ulizotembea au kukimbia, inacalculate distance pia inakupa avg speed yako. Nahitaji testers wa aina tofauti tofauti ili nijue kama...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotaka kuanzisha Mobile App au Startup Company

    Tech sasa hivi ndio industry yenye pesa Duniani kuliko industry yoyote, zamani visima vya mafuta ndio ilikuwa habari ila kwa sasa tech ndio kisima cha mafuta na DATA ndio mafuta, ukitaka kufanikiwa miliki DATA the way unavyozidi kuwa na DATA nyingi na ndio utajiri wako unaongezeka makampuni kama...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Azam TV vipi huko, hii App mpya ya Yanga SC haijaathiri mkataba wenu?

    App ilikuwepo miaka 4 naona imefufuliwa , vipi huko wajameni haijaathiri mkataba wenu wazee wa azam tv? si mlipewa exclusive kurusha mambo yao au inakuwaje? Poleni sana ni suala la muda hata you tube account yao wataifanya active tena, palepale mliposhindwana na simba jamaa wakajifanya wapole...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga yatambulisha App na Tovuti mpya

    Klabu ya Young Africans SC imezindua App kwaajili ya kutoa taarifa zake ikiwemo, historia, habari za michezo, matukio na takwimu za mambo mbalimbali kuhusu Yanga. Uzinduzi huo umefanyika leo katika Hotel ya Serena, Dar es salaam ukiongozwa na Rais wa Klabu hiyo Eng. Hersi Said
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji (Investor) wa App yangu ya Online Casino

    Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ninatamani na ninapambana sana kuwa mjasiriamali upande wa mtandaoni (online au e-entrepreneur). Miaka kadhaa iliyopita nilipata idea ya App ya Online casino (ambayo ni tofauti na online casino zilizoeleka kwa kila kitu),ila kwasababu idea kama idea haitoshi...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji flutter App Developer

    Habari wanajamvi, Natafuta Flutter App developer wa kutengeneza 1. Main App 2. Partners app 3. Admin panel Hzo app mbili (moja ni kwa ajili ya users, yapili ni kwa ajili ya Partners , kama Uber na uber ya madereva) Design za App zote ziko tayari, Ni kuandika code TU. Maelezo mengine...
  7. JamiiForums Tanzania WEB APP TO MySQL

    Habarini. nawezaje ku connect web application na mysql database ili user anapo input taarifa zake mfano za registration ziende moja kwa moja mpaka kwenye database. hapa tayari nimecreate web app na database via mysql ila nimeshndwa namna ya kuziconnect. naombeni msaada. natanguliza shukrani.
  8. JamiiForums Tanzania Gazeti App

    Kama wewe ni mmoja wa watu amao unataka kupata habari kwa wakati na kwa haraka basi app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusoma habari mbalimbali za hapa Tanzania kutoka kwenye vyanzo bora hapa Tanzania. Pamoja na kuwa unawaza kuwa hitaji app nyingine ya habari kwenye simu yako lakini hebu nipe...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Instagram App haifunguki

    Nimepata changamoto App ya Instagram haifunguki. 1.Nimejaribu kuingia kwenye settings na kuclear cache still ni vilevile. 2.Nikatoa App na kuinstall tena bado vilevile. 3.Nikazima simu na kuiwasha bado ni vilevile. 4.Nikajaribu kuinstall old version ya nyuma still bado haifunguki. Mwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania NBS Mmeshindwaje kutengeneza app yenu ya sensa? Kwa nini mnatumia app ya CSEntry ya USA?

    CSEntry ni app inayomilikiwa na US census bureau . Haimake sense NBS kutumia app hiyo hiyo kwa ajili ya kuhesabu sensa ya Watanzania. Kwa Dunia ya sasa, Data is everything. Kuwaruhusu wamarekani wajue data zetu za msingi kabisa inamaanisha wao watatuamulia kila kitu. NBS mlishindwaje kujiandaa...
  11. JamiiForums Tanzania Maoni: AzamTVMax Web App

    Ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la JMT, Mimi nikiwa mdau wa huduma za AzamTV kuna jambo ambalo ningependa kushauri kuhusu huduma ya ku stream channel za AzamTV kupitia web app. Najua management ya AzamTV wanajua changamoto ya huduma ya internet hapa kwetu na pia najua kua wanajua...
  12. M

    JamiiForums Tanzania TCRA Wafungie API za malipo ya Selcom kwenye app ya Mange Kimambi

    Tunawapongeza TCRA kwa kuifungia app ya Mange Kimambi, kwa TZ mpaka uwe na VPN ndo unaipata. Lakini Hilo halitoshi kwani Bado anaendelea kuwachangisha Watanzania kupitia Selcom. Yaan watu wanalipia upumbavu na ikiukwaji wa maadili kwenye app yake. TCRA tunajua mna uwezo wa kumwambia Selcom...
  13. JamiiForums Tanzania Staki Kuamini App ya Mwananchi Yanga Inamilikiwa na Yanga

    Hivi majuzi Manara alikuwa amekuwa akipromote App moja inaitwa Mwnanchi App Yanga kana kwana kwamba ni App rasmi ya Yanga. Binafsi hii hii haiina hadhi ya kuwa official apps inayomilikiwa Club Kubwa na Kongwe hapa barani Africa Yanga ni Club Kubwa na Kogwe lazima Mambo yake, Miundo mbinu...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu refund App ya HESLB

    Nimeomba kurudishiwa kiasi cha pesa ambacho loan board walikata kimakosa, nimefuata hatua zote, baada ya kuconferm nimegundua account namba nimeikosea na hakuna option ya kuedit, Nimejaribu kupiga namba zao hazipatikani, nimejaribu ku click kwenye ile option ya online help lakini pia...
  15. JamiiForums Tanzania Hii App ya NaPA ya postcode imekosewa sana

    Serikali inapswa kuwa makini sana kama ndio wanasimamia hii App. Hayo majina ya mito yamekosewa sana. Huo mto uliopewa jina la Karanga sio jina lake halisi na sio mkubwa. Mto unaoitwa karanga ni huo nilioweka alama x na huo ulioko kwenye mshale unaitwa Nsoo.
  16. JamiiForums Tanzania Napenda kujua app ipi nzuri ya kudowload video hatamkama mtandao uko weak!

    Waungwana hebu mnijuze app ya kudowload video youtube kwenye pc hatakama mtandao uliosetiwa hauna nguvu....
  17. JamiiForums Tanzania Audio Tunatumia Shazam Kuutambua Wimbo, Vipi kwa Video Ambayo Huijui Unatumia App Gani?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia. Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...? NAWASILISHA.
  18. JamiiForums Tanzania Ujue umuhimu wa kusasisha (Update) simu au Apps zilizopo kwenye simu yako

    Salaam Wakuu, Kusasisha simu ni hali ya kukubali/ kuruhusu mabadiliko ya mfumo wa simu au App iliyo katika simu au kifaa cha kijidijalikwenda katika mfumo mpya. Mabadiliko haya yanaweza kufanyika kwenye vifaa vingine vya kidijitali iliwamo Computer Smart TV na android TV. Mada hii itajikita...
  19. JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutengeneza Android App bure

    Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike...
  20. JamiiForums Tanzania Nitumie App gani wakati wa kupiga picha?

    Wakuu nitumie App gani inayoweza kutoa background ya picha wakati wa kupiga picha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…