apartment

An apartment (American English), or flat (British English, Indian English), is a self-contained housing unit (a type of residential real estate) that occupies only part of a building, generally on a single story. There are many names for these overall buildings, see below. The housing tenure of apartments also varies considerably, from large-scale public housing, to owner occupancy within what is legally a condominium (strata title or commonhold), to tenants renting from a private landlord (see leasehold estate).

View More On Wikipedia.org
  1. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Unaweza kujenga “Apartment” yenye nyumba tano kwa mchanganuo huu

    Habari wakuu. Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo) Tofali za msingi = 2856 (kwa kozi sita) Tofali za Boma = 5015 Bati (za 0.9m X 3m) = 175 pc Nime’attach picha yenye...
  2. Cash Generating Unit

    JamiiForums Tanzania Msaada wa apartment

    Wadau habari zenu, bila poteza muda naomba msaada wa sehemu ambayo nitapata apartment ya kulipia mtu anakaa siku3 tu. Hapa DSM kuna zile apartment mtu anaweza kodi kwa siku kazaa then anasepa. Maeneo yawe mazuri kama Upanga, Masaki, Mikocheni, Mbezi beach nk. Mtu nakuja na family akiwa na mke...
  3. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Apartment Mbezi,Kimara na maeneo jirani

    HYabari wakuu Nahitaji bajeti maeneo hayo :Mbezi,kimara, goba, Malamba mawili Bajeti kwa mwezi: 150,000 hadi 180,000 Piga 0713 039 875
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupanga katika apartment ya NHC

    Nawaza kutafuta na kupanga katika apartment ya NHC iliyo katika standard nzuri ingawa iwe katika gharama za kawaida. Ningependelea iwe wilaya ya Kinondoni. Embu tufahamishane taratibu ni zipi kufanikisha hilo? Na pia kuna watu wanaweza kushare uzoefu wao katika huduma na ubora unaopatikana...
  5. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  6. RealEstate Agent

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata Mashamba kilomita Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10 Mpaka acre 500...
  7. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
Back
Top Bottom