M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,163 Reaction score 90,485 Jul 8, 2024 #1 Wapi napata two bedroom furnished apartment kwa miezi sita. Nataka kuja dar na begi langu tuu. Budget 800k kwa mwezi
Wapi napata two bedroom furnished apartment kwa miezi sita. Nataka kuja dar na begi langu tuu. Budget 800k kwa mwezi
Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,190 Reaction score 4,269 Jul 9, 2024 #2 Hiyo ni hela ndogo sana, hapo maana yake Kwa siku ni sh 26000/=. Huwez kupata kwa hela hiyo
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,163 Reaction score 90,485 Jul 9, 2024 Thread starter #3 Mtumishi wa Bwana89 said: Hiyo ni hela ndogo sana, hapo maana yake Kwa siku ni sh 26000/=. Huwez kupata kwa hela hiyo Click to expand... Inaanzia ngapi ?
Mtumishi wa Bwana89 said: Hiyo ni hela ndogo sana, hapo maana yake Kwa siku ni sh 26000/=. Huwez kupata kwa hela hiyo Click to expand... Inaanzia ngapi ?