android

  1. JamiiForums Tanzania Samsung One UI ni Version bora kabisa ya Android kuliko versions zozote za Android

    Kama unatumia Samsung siku ukishika simu nyingine za Android unatamani urudi Samsung mapema sana. Nimetumia Oxygen OS ya One Plus, Color OS ya Oppo, MIUI ya Xiaomi na nyinginezo lakini hakuna inayoifikia One UI ya Samsung kwa utamu wa mpangilio wa apps, fluidility, visual impressiveness nk...
  2. JamiiForums Tanzania NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

    siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20 Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
  3. JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba Call Recorder Nzuri Kwa Simu za Android Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Naomba mnijulishe kuhusu Call Recorder nzuri kwa Simu za Android inayoweza ku-rocord simu zote zinazopigwa na kupigiwa ili niweze ku-install kwenye simu yangu na niwe na uwezo wa ku-record kila simu inayoingia na kutoka kwenye simu yangu wakuu. NAWASILISHA.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi nani anatumia RCS kwenye simu za android?

    Najaribu ku enable RCS via google sms kwa ku switch on chat features lakini kila mara inabaki kusema inaverify number. Kuna mtu yeyote amefanikiwa kutumia hii feature?
  5. JamiiForums Tanzania Je, kuna Android App ya kuweza kuboost calling voice?

    wadau kwa yeyote ansyeifahamu Android app ya kuboost caller voice maana saut ya sim yangu infinix ninapoongea na sim napata tabu very low voice, nimejaribu baadhi ya App toka play store hakuna utofaut before na afta installing,,
  6. JamiiForums Tanzania SOFTWARE School Management system with android App and Biometric time attendance for Teachers

    Click Up company limited tumeleta mfumo maalaumu kwa ajili ya kumanage na kutunza kumbukumbu za shule yako. mfumo huu unakuja na biometric device maalumu kwaajili ya kufuatilia attendance ya walimu shuleni. Gharama ya mfumo pamoja na biometric device kwaajili ya attendance ni 700,000 TZS...
  7. JamiiForums Tanzania Android 10 and above

    Nilikuwa napata shida sana napotumia simu za android kabla ya android 10. Ilikuwa kila ikipita miez kama 4 lazima ni restore simu maana inaanza kuwa slow na apps zinaclash clash. Hii ilikuwa tofauti na iphone. Ila toka itoke android 10, nadhani hili tatizo limepungua. Hapa nilikuwa nahesabu...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kunitengenezea App ya android kwaajili ya blog yangu

    kama nilivyozungumza hapo katika kichwa cha chapisho mimi ni mmiliki wa blog ya michezo, nahitaji mtu atakae weza kunitengenezea app ya android ambayo itakuwa ina sehemu ya live score pamoja na sehemu ya kusikilizia radio, blog yangu ni hii www.binruwehy.blogspot.com ipo katika platform ya blogger
  9. JamiiForums Tanzania Android App API

    Habari wadau, Mwishoni mwa 2021, November to December nilitengeneza algorithm ya kubashiri mpira wa miguu. Nilitengeneza console application kwa majaribio, kwa kipindi cha December yote timu nilizo analyse hakuna iliyoenda nje na prediction result, Nimeamua nitengeneze application kabisa lakini...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuopen source code files in android

    Habar wadau Mdogo wenu bado nakimbizana na mambo ya programming huku sasa nataka nirahisishe mambo kuna mda nadownload source code files in my phone naziextract vzr tu sasa kuna mafile yenye source code yanaishia na extensions km vile .c,.c++,.h.lib,.py, .vb nk Nikitaka kuopen haya mafile ili...
  11. R

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE All PDF Reader

    App inakuwezesha kusoma PDF faili na pia ina nyenzo nyingi za PDF za bila malipo ambazo zinafanya kazi bila kutumia intaneti Unaweza kufanya yafuatayo Kupunguza ukubwa wa faili la PDF (Compress PDF) Kungeza namba za Kurasa (Add page numbers) Kuunganisha PDF tofauti na kuwa faili moja la pdf...
  12. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuanzia tarehe 1 November WhatsApp kuacha kutumika kwenye baadhi ya simu za iPhone na Android

    They are doing it again! WhatsApp moja ya mitandao maarufu duniani ya kijamii, kuanzia jumatatu ijayo ya tarehe 1 November itasitisha kutumika kwake kwenye baadhi ya simu za iPhone na zimu za Android. Simu zote za Android zenye toleo la OS 4.0.4 hazitaweza kutumia WhatsApp ikiwa ni pamoja na...
  13. JamiiForums Tanzania Kazi ambazo zimeshindikana ama ulishindwa kuzifanya

    Habari ya mchana, Kwa wana it wote lakini kwa upande wakutengeneza mambo haya Mobile Application Desktop Application Website Kama umewahi kutana na changamoto ya kazi kushindikana kwa vitu hivyo au unayo kazi imeshindikana au umetafuta mtu akufanyie kazi ikashindikana. Basi weka komenti yako...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji Suppliers wa iPhone/ Android Phones hapa Dar

    Refer to the heading wakuu Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja. Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa maduka ya kawaida nauza napata faida kidogo kwa mwenye linkup aniunge naweza anza kwa hata pc 20.
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia zinazotumiwa na wezi wa mitandaoni (cyber criminals) na jinsi ya kuzuia

    Miaka kadhaa nyuma wahalifu wa mitandaoni walilenga sana Computers aina ya desktop na laptops kwani shughuli nyingi za kifedha zilizohusisha internet zilitegemea sana vifaa hivyo. Lakini kwa sasa hivi wamelenga sana watumiaji smartphone na kwa mujibu wa mtandao wa Statista watu zaidi ya Bilion...
  16. JamiiForums Tanzania Microsoft Windows 11 yaanza kupokea mifumo ya applications za android

    Kampuni ya microsoft ambayo inatengeneza mifumo windows imeamua kuboresha mfumo mpya windows 11. Windows 11 iliachiwa tarehe 24 june 2021. Mabadiliko haya inaonyesha kuwa imekubali kuendana na kasi ambayo jirani yake google kujikita sana uboreshaji wa watengeneza programu za android. Sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutoa google FLP kwenye simu ya android Tecno

    Wakuu kwa anaejua maujanja maana nimeingiza email yangu kama mara nyingi inavyofanyika lakini nikifika mwisho inaandika try again hivyo naomba nipewe njia nyingine ili niweze kutoa flp kwenye hii Tecno.
  18. JamiiForums Tanzania Furahini enyi watumiaji wa vivo Y11 kwa sababu Android 11 ni yenu

    Natumai wote mko powa. Hakuna kitu nilikua nasubiri kwa hamu kama maboresho ya toleo la android 9 lililo kwenye simu yangu ya vivo Y11(1906). Hii simu niliipenda na kila kasoro za kwenye masimu mengine huku solution ipo. Simu ambayo imevunja rekodi ya simu zangu zote nilizowahi kutumia kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Huawei kuzindua mfumo wake wa uendeshaji simu janja mbadala wa Android

    Kampuni ya Teknolojia ya China, Huawei inaanzisha mfumo wake mpya wa uendeshaji wa simu za janja (smartphones) unaojulikana kama HarmonyOS baada ya Marekani kuizuia kufanya kazi na kampuni ya Google. Huawei inatarajiwa kuzindua mfumo huo leo kwa baadhi ya vifaa kama simu za janja, vishkwambi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Msaada ku-upgrade Android 7 to Android 8 Tecno

    Habari wakuu. Nina simu ya Tecno POP1 ina Android 7. Naomba muongozo namna ya kwenda Android 8. Natanguliza shukrani za dhati.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…