Microsoft Windows 11 yaanza kupokea mifumo ya applications za android

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Kampuni ya microsoft ambayo inatengeneza mifumo windows imeamua kuboresha mfumo mpya windows 11.

Windows 11 iliachiwa tarehe 24 june 2021.

Mabadiliko haya inaonyesha kuwa imekubali kuendana na kasi ambayo jirani yake google kujikita sana uboreshaji wa watengeneza programu za android.

Sasa windows 11 ni rasmi itakuwa na app ambazo zinatoka mfumo wa Android.

IMG_7401.jpg

Mabadiliko ya windows tena yanaweza kuleta ushindani mkubwa kwenye soko la teknolojia
IMG_7402.jpg

Ongera microsoft
 
View attachment 1835714

Mabadiliko ya windows tena yanaweza kuleta ushindani mkubwa kwenye soko la teknolojia
View attachment 1835717

Ongera microsoft
Noma sana, mimi nimegundua kuingia class na kibomu bwege..
 
Hakika teknolojia inakuja kwa kasi. Pia, ni jambo zuri kwani huwa kuna kausumbufu sana kwenye matumizi ya android apps katika OS ya Windows hapo awali. Ilikuwa hadi utumie third-party.

Kikubwa pia, waiboreshe Windows defender kuhakikisha usalama wa os yao.
 
Taarifa nzuri zaidi zaidi ni ile ya kua ile flagship yao ya 950xl mnyama wameamua kuipa update ya window 22-11 yaan , hapa unaweza kuamua kusaka mtumba au hata kumvua mtu ufaidi zile mambo za kupin na mengine
 
But bora watoe toleo jipya kwa sababu ya specifications ya hio phone kwa apps za sasa siju kama zitaendana
 
Kampuni ya microsoft ambayo inatengeneza mifumo windows imeamua kuboresha mfumo mpya windows 11.

Windows 11 iliachiwa tarehe 24 june 2021.

Mabadiliko haya inaonyesha kuwa imekubali kuendana na kasi ambayo jirani yake google kujikita sana uboreshaji wa watengeneza programu za android.

Sasa windows 11 ni rasmi itakuwa na app ambazo zinatoka mfumo wa Android.

View attachment 1835714

Mabadiliko ya windows tena yanaweza kuleta ushindani mkubwa kwenye soko la teknolojia
View attachment 1835717

Ongera microsoft
wanawake wanachelewesha sana maendeleo hii c baada ya mzee kuachana na maza
 
Bado haija julikana kama ni aina zote za apps ambazo zita support.. kama apk zitakuwa zinaweza kuwa sideload.. au lah.. ukweli hata microsoft wenyewe wajaweka hii wazi.. labda Chief-Mkwawa anaweza kutuambia maana ameshajaribu dev preview.
 
Don't waste your time... It has a lot of bugs..better to wait for a stable version.... But here is a link. www. Getintopc. com. Find out more free softwares
 
Bado haija julikana kama ni aina zote za apps ambazo zita support.. kama apk zitakuwa zinaweza kuwa sideload.. au lah.. ukweli hata microsoft wenyewe wajaweka hii wazi.. labda Chief-Mkwawa anaweza kutuambia maana ameshajaribu dev preview.
hakuna android support so far, ila utaweza kusideload apk hili msft amesha confirm.
 
Back
Top Bottom