anayopitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. a sinner saved by Christ

    Majaribu makali anayopitia mwanadamu hapa duniani. (hii dunia ina majaribu sana)

    13 Yer 17:5 SUV BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA. Mtumishi wa Mungu mmoja alianzisha huduma yake ya kiroho kanisa katika moja ya vijiji(Ukerewe)..eneo hilo lilikuwa na nguvu za giza kwa kiasi kikubwa...
  2. M

    GE2025 Butiku usipokemea anayopitia Polepole, Umeshiriki kuivunja Tanzania

    Butiku jana ulisema Jeshi lisiingilie Siasa, Ila Hakuna namna kwenye this terror regime. Tulitaka tuvuke huu mkwamo kwa kutunza heshima yenu, ila ameshindwa kuwacontrol hawa wahuni wake na wamekuwa rougue Kama Butiku hutakemea hili, usitushauri kwa litakalokuwa "Gloves are off". We need to...
  3. Samson Ernest

    Mambo Ya Msingi Kufahamu Juu Ya Dhiki/Mateso Anayopitia Mwamini Au Kanisa

    Hakuna anayefurahia mateso, hakuna anayependa kuumia, pamoja na kutokupenda huko tunajikuta tupo ndani ya mateso mengi. Katikati ya mateso tunaweza kupata mtu bora, tunaweza kupata kanisa imara, kwa lugha nyepesi mateso huleta faida. Mateso yanawezaje kuleta faida? Jibu lipo kwenye video hii...
  4. Redpanther

    Unamshauri nini huyu Ndugu kuhusu Changamoto hii anayopitia kwenye Ndoa yake?

    Habari gani mwanajamvivletu pendwa la MMU. Kimsingi MMU ndio Jamvi linalopata engagement ya kitosha ukilinganisha na majukwaa mengine. Hebu twende kwenye maada, Namzungumzia mshikaji wangu, ambaye sio member wa humu ila alinijia kuomba ushauri. Mshikaji anasimulia.... "Kabla ya kumuoa huyu...
  5. Nehemia Kilave

    Una kipi cha kumshauri Tajiri Chui katika magumu anayopitia ?

    Angalia pia https://youtu.be/53MhmoFZAN4?si=xlqIQQBbe9T22_kH
  6. B

    Makonda: Naijua hali anayopitia Tundu Lissu, sio hali nzuri kabisa

    “Naijua hali anayoipitia Tundu Lissu kwenye chama chake cha CHADEMA, sio hali nzuri kabisa, anapambana namna ya kujishikiza mahali na sehemu pekee ya kujishikiza ni kwa makonda. Jambo alilosema Tundu Lissu halina ukweli hata kidogo, tukirudi nyuma wakati tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi...
  7. Teslarati

    Wanawake jifunzeni kuwatunza na kuwaheshimu wafanyakazi wenu wa ndani yasije kuwatokea haya anayopitia mzazi mwenzangu

    Ni dhahiri kuna baadhi ya watu hata ukiwastili vipi au kuwaheshimu vipi au kuwasaidia vipi ipo siku watukufanyia ubaya tu bila sababu ya msingi. Lakini hilo lisiwe ndio chachu ya kuwatendea wengine mabaya, ni bora uwe neutral (mtu wa haki sio mtu wa favors) kuliko kuwa negative. Hii ni kwa...
  8. Gan star

    Changamoto anayopitia Rayvanny, wacha sasa apambane mwenyewe

    Jana niliandika Uzi kumhusu rayvanny, kuanzia support aliyopata Kwa Diamond , behind the scenes ya hyo backup , na nikaunganisha pia Kwa harmonize jinsi ambavyo wote Kwa pamoja mond aliwabeba na kuwatambulisha vyema ...!! Harmonize akaona isiwe tabu ikabd ajikate, njia aliyopitia sio rahsi...
  9. T

    Je, unayajua anayopitia mchungaji wako?

    KAZI YA KUCHOSHA, LAKINI INAONEKANA KAZI YA UVIVU Mchungaji - Hakuna anayejua: Mchungaji anasikia nini, Anachokiona, Siri anazopaswa kuzihifadhi, Majaribu anayokutana nayo, machozi anayomwaga, Huzuni anayovumilia, Upweke anaousimamia, Uchungu anaoupata; Uongo anaoelekezwa na baadhi ya watu...
  10. aise

    Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

    Ni mdogo wangu wa kike, anayoyapitia yananiumiza mimi kama kaka yake. Najiona mwenye hatia ndani ya nafsi. Wazazi wetu walifariki na kutuacha tukiwa wawili, tukiwa wadogo. Mimi kama kaka niliingia mtaani na nikaishi mtaani kama chokolaa, nilishuhudia na kujionea ni namna gani wanadamu walivyo...
Back
Top Bottom