amos makalla

Amos Gabriel Makalla (born 16 September 1971) is a Tanzanian CCM politician and has been a Member of Parliament for Mvomero constituency since 2010. As of 2013, he was the Deputy Minister of Information, Youth, Culture, and Sports.Makalla received his Masters of Business Administration degree from Mzumbe University.
As of 2018, Makalla was Regional Commissioner for Mbeya.

View More On Wikipedia.org
  1. PAYE

    Arusha: RC Makalla aunda kamati 7 za maandalizi ya AFCON 2027

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla Jumanne Februari 04, 2026 ametangazwa kuundwa kwa Kamati Saba Maalumu kwaajili ya maandalizi ya Michuano ya Mpira wa Miguu kwa Mataifa ya Afrika, AFCON 2027. Mbele ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Wenyeviti wa Halmashauri, Makatibu Tawala...
  2. Just Pray

    PostGE2025 Amos Makalla: Hatutotaka tena vurugu za Oktoba 29, zitokee Tena Arusha

    "Hatutotaka tena vurugu hizo za tarehe 29, zitokee Tena katika mkoa wetu wa Arusha. Tumejipanga, tutahakikisha tunawalinnda watanzania, tunawalinda wananchi, tunawalinda watalii" Amos Makalla, mkuu wa mkoa wa Arusha akizungumza mbele ya waziri mkuu Mwigulu Nchemba leo Novemba 30, 2025
  3. Just Pray

    PostGE2025 Amos Makalla: Oktoba 29 hakukuwa na maandamano, kulikuwa na vurugu

    Wameendelea kushupaza shingo, Mbele ya Waziri mkuu Mwigulu Nchemba, Mkuu wa mkoa wa Arusha Amos Makalla anasema kile kilichotokea tarehe 29 haikuwa maandamano bali vurugu. "Katika taarifa yangu niliyokukabidhi, nimeeleza athari za vurugu za tarehe 29, katika taarifa yangu kuanzia page ya kwanza...
  4. Mafyangula

    Amos Makalla: NDC karibu Arusha, nawahakikishia usalama

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, amewakaribisha wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na maafisa mbalimbali kutoka nchi 16 za Afrika na nje ya Afrika walioko kwenye ziara ya mafunzo ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC). Makalla amewahakikishia usalama na utulivu kwa muda wote wa siku...
  5. Influenza

    GE2025 RC wa Arusha, Amos Makalla: Nimepiga kura! Utaratibu ni mzuri, hakutakuwa na foleni. Mje mpige kura

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, amepiga kura leo Oktoba 29, 2025, katika kituo cha AICC Hospital jijini Arusha na kupongeza maandalizi ya uchaguzi, akisema utaratibu ni mzuri na usalama umehakikishwa katika vituo vyote vya kupigia kura mkoani humo. “Nimepiga kura. Nawaasa wananchi...
  6. U

    TAARIFA MUHIMU: Mkuu Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie,

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali...
  7. McLaren

    GE2025 Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa

    Wakuu, Hayawi hayawi sasa yamekuwa CPA Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa. Ajenda bado haijajulikana ila pengine anatangaza majina ya walioteuliwa rasmi kwenye mchakato wa wagombea wa CCM Kaa karibu na uzi huu kujua nini kitajiri
  8. L

    GE2025 CCM Kupitia CPA Amos Makalla Kulitetemesha Taifa kwa kuzungumza Mambo Mazito Siku Ya Kesho. Nchi inakwenda Kusimama

    Ndugu zangu Watanzania, Kama ulikuwa umepanga siku ya kesho kusafiri au kwenda kutembelea majirani au kwenda kuzurura au kwenda matembezini . Basi ni bora ukaghairi kufanya mambo hayo yoote na kubakia ukiwa umetulia tu mbele ya Tv yako binafsi au ya jirani yako. Kwa sababu siku ya kesho CCM...
  9. L

    GE2025 CCM kupitia Amos Makalla Kuisimamisha Nchi Saa Tatu Na Nusu Usiku Huu. Jitahidini Kuwahi sehemu yoyote ile yenye Tv

    Ndugu zangu Watanzania, Nashindwa niseme nini,nashindwa niwaambie nini maana Taifa limesimama na wananchi wametulia huku macho na masikio yakiwa mkoani Dodoma . Sasa Mwamba Mwenyewe mwenezi wa CCM Taifa Mheshimiwa sana CPA Amos Makalla anakwenda kuisimamisha nchi muda wa saa tatu usiku...
  10. Mto wa mbu

    Ni aibu ya Mwaka Kwa Amos Makalla

    Nyie Mungu ni mwema sana. Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema. Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya kimataifa kuwa Chadema wamegawanyika. Malipo ni hapa hapa duniani. Sasa kimewalamba, wamevurugana...
  11. Fbn

    Bwana Amos Makalla nakushauri nyota yako sio nzuri kwenye vyeo sasa inawaka moto CCM kamaulivyokuwa RC na masoko

    Hata kama sio mtu wa mambo ya nyota sana ila kwenye familia nazo utumia kuangalia nyota za watu kuwa nyota hii ni nuksi au bahati. Kwa huyu bwana sijui nyota yake ni moto sasa CCM imewaka moto ndani sasa.
  12. R

    Amos Makalla atoa kauli Kuhusu barua ya kujiudhuru Humprey Polepole

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema ameiona barua ya Balozi wa Cuba, Humphrey Polepole mtandaoni na kwamba yeye mwenyewe ndio mwenye kuthibitisha uhalali wake Makalla ameyasema hayo leo Julai 13,2025 Jijini Dodoma baada ya kuulizwa kuhusu...
  13. Waufukweni

    GE2025 Makalla: Waliochukua fomu Ubunge na Udiwani kuchujwa kuanzia tarehe 4 Julai,2025

    Amos Makala katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema kwa waliochukua fomu za kugombea Ubunge na Udiwani kuchujwa kuanzia tarehe 4 Julai,2025
  14. Mto wa mbu

    PreGE2025 Makala wagombea CCM kuanza kuchukua fomu tarehe 28 June, kwahiyo CCM Zanzibar wametengwa?

    Amos Makala gwiji la siasa na mbobezi wa magonjwa ya M- pox na Ebola amesema wagombea wa CCM wataanza kuchukua fomu tarehe 28 June baada ya raisi kulivunja bunge. Uku kwetu Zanzibar Raisi Mwinyi atalivunja Baraza la wawakilishi August 13. Kwa maana iyo uchaguzi ndani ya CCM Zanzibar utaanza...
  15. Carlos The Jackal

    Makala akaja na kuzuia Uchaguzi Kwa M-POX/Ebola , Wasira kaja na Anayesema NRNE ni Gaidi. LISSU akapewa Uhaini na Dola !Tuna generation ya Ajabu!

    CCM Haina Tena Vijana wenye Akili , Haina kabisa !! Ndio sababu utaona kuanzia CCM kwenyewe Hadi kwenye Dola, ni kama vile Hawa watu wote wamesoma Darasa Moja na Mwalimu wao ni Mmoja na Uwezo wao wa kiakili ni Mmoja. Unaweza jiuliza, Hivi kwanini wanawaza Mambo makubwa makubwa na mazito...
  16. McLaren

    PreGE2025 Amos Makalla: Wapenzi wa Simba na Yanga msiwaunge mkono CHADEMA

    Wakuu, Hivi Makalla hana mtu wa kumshauri? Sasa ndo kauli gani hizi? Yaani huyu ilibidi kipindi kile alichosema kwamba CHADEMA wataleta Mpox na Ebola alitakiwa kupewa kitengo kingine asiwe msemaji wa CCM Inasikitisha sana kuona CCM ina msemaji kama huyu
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Amos Makalla: Hata ungepost Mamilioni ya post 'No Reform, No Election' haisadii, Uchaguzi uko pale pale

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa, hivyo hata watu wakichapisha (kupost) na kutuma ‘No Reform No Election’ haisaidii. Makalla ameeleza...
  18. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Amos Makalla asema siri ya CCM kushinda uchaguzi kila mwaka ni kwakuwa wanakwenda na wakati, hawatulii kama jiwe

    Wanabodi https://www.youtube.com/live/_ZEl6lsHc4c?si=osZPZ2LFfZc6ACe3 Naangalia TBC live mubashara, Katibu Mwenezi wa CCM, CPA Amos Makala, ametoa siri ya ushindi wa Chama cha Mapinduzi, CCM kushinda kwenye chaguzi mbalimbali na kuendelea kuishika Ikulu yetu mwaka hadi mwaka, sababu ni moja...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Amos Makalla: 'No Reforms No Election' yapigwa na CHADEMA, vyama vingine na Watanzania nao hawaitaki

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema madai ya kwamba kauli ya "No Reforms, No Election" imepingwa na watawala si ya kweli, kwa kuwa kauli hiyo ilianza kupingwa ndani ya CHADEMA yenyewe kupitia kundi la G-55, kabla haijakataliwa na vyama vingine 17 vya...
  20. Just Pray

    PreGE2025 Amos Makalla: Wananchi wa Buchosa msimhukumu mbunge wenu kisa ubovu wa barabara

    Wakuu, Kwakweli hatutakiwi kuwachekea na kuwaonea huruma hawa wabunge, wasiotimiza tunachohitaji wananchi, wanataka tusiwahukumu, ili tuendelee kuteseka huku wao wanateleza na matumbo yao. ==== Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, CPA Amos Makalla, amewataka wananchi wa Buchosa...
Back
Top Bottom