ambulance

An ambulance is a medically equipped vehicle which transports patients to treatment facilities, such as hospitals. Typically, out-of-hospital medical care is provided to the patient.
Ambulances are used to respond to medical emergencies by emergency medical services. For this purpose, they are generally equipped with flashing warning lights and sirens. They can rapidly transport paramedics and other first responders to the scene, carry equipment for administering emergency care and transport patients to hospital or other definitive care. Most ambulances use a design based on vans or pick-up trucks. Others take the form of motorcycles, cars, buses, aircraft and boats.
Generally, vehicles count as an ambulance if they can transport patients. However, it varies by jurisdiction as to whether a non-emergency patient transport vehicle (also called an ambulette) is counted as an ambulance. These vehicles are not usually (although there are exceptions) equipped with life-support equipment, and are usually crewed by staff with fewer qualifications than the crew of emergency ambulances. Conversely, EMS agencies may also have emergency response vehicles that cannot transport patients. These are known by names such as nontransporting EMS vehicles, fly-cars or response vehicles.
The term ambulance comes from the Latin word "ambulare" as meaning "to walk or move about" which is a reference to early medical care where patients were moved by lifting or wheeling. The word originally meant a moving hospital, which follows an army in its movements. Ambulances (Ambulancias in Spanish) were first used for emergency transport in 1487 by the Spanish forces during the siege of Málaga by the Catholic Monarchs against the Emirate of Granada. During the American Civil War vehicles for conveying the wounded off the field of battle were called ambulance wagons. Field hospitals were still called ambulances during the Franco-Prussian War of 1870 and in the Serbo-Turkish war of 1876 even though the wagons were first referred to as ambulances about 1854 during the Crimean War.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Tsh. Bilioni 500 zinatengwa kwa Mwaka kwa ‘package’ ya magari ya Viongozi wakati Ambulance ni chache nchini

    FIDELIS Mutakyamilwa bado ana uchungu wa kuona mama yake akifariki kwa kuwa alikosa huduma ya gari la wagonjwa wa dharura kumfikisha hospitali. Mama mzazi wa kijana huyo mwenye umri wa miaka 43, akiwa mfanyabiashara wa vinyago, eneo la Mwenge, Dar es Salaam, anasimulia kuwa miaka mitano...
  2. Watu wanne watuhumiwa kuiba Ambulance Musoma

    Gyntomcine popote ulipo jitokeze uwasemehe wakurya walio Ina ambulance huko musoma mara --- Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne kwa tuhuma za wizi wa gari la kubebea wagongwa (Ambulance) la Hospitali ya Manispaa ya Musoma. Taarifa ya tukio hilo ilitolewa na...
  3. Mjadala huru: Zipi hisia zako unapoona ambulance?

    Unawaza nini? Unakumbuka nini? Je unakuogopesha? Je inakuumiza? Je inakuogopesha? Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments Karibuni kwa mjadala https://www.jamiiforums.com/threads/ambulance-zetu-na-wahudumu-wa-chumba-cha-mahututi.1728818/
  4. S

    PostGE2025 PICHA: Hii ndio Ambulance mpya ya Mbunge Sara Msafiri aliyoikabidhi kituo cha Afya Mziha, Yeye amshukuru sana Rais Samia

    MBUNGE SARA MSAFIRI AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA MZIHA Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mheshimiwa Sara Msafiri, amekabidhi rasmi gari la wagonjwa (ambulance) kwa Kituo cha Afya Mziha, huku akitoa maagizo mazito kwa uongozi wa kituo hicho kuhakikisha gari hilo linatumika kikamilifu kwa lengo la...
  5. R

    Madereva watano wa Ambulance wakamatwa kwa kusafirisha abiria

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubebea wagonjwa kwa tuhuma za kubeba abiria kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Alex Mkama, amesema madereva hao waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Kagera wamekamatwa kufuatia...
  6. Car4Sale Nusu VELLFIRE Nusu Ambulance Iko Sokoni

    N E W A R R I V A L Bei/Price TSH 26.8M Call +255 747 999 927 TOYOTA VELLFIRE Year: 2010 Engine: 2,360Cc Mileage: 73,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Rear Spoiler 100% Duty Paid Free Registration Swap Deals Allowed
  7. Ambulance kuanza kutengenezwa Tanga

    Serikali mkoani Tanga imesema imeshaanza mchakato wa kufanyiakazi ahadi za Rais Samia Suluhu Hassani alizotoa wakati wa kampeni zake mkoani humo,ikiwemo ya kusaidia vijana ajira,na kujiendeleza kiuchumi na biashara Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt Batilda Buriani amesema hayo wakati akiongea...
  8. Ambulance yenye mgonjwa ikisimamishwa na askari ili kupisha msafara wa kiongozi

    Video ya mdau imeonyesha ambulance yenye mgonjwa ikisimamishwa na askari ili kupisha msafara wa kiongozi. Serikali inayohubiri “kazi na utu” leo imejionyesha wazi haina utu wala huruma kwa wagonjwa na jamii. Kiongozi anapewa kipaumbele kuliko maisha ya raia anayepigania pumzi yake — huu ni...
  9. J

    Rais Samia anunua ambulance mpya 700 tofauti na ambulance 540 za tangu uhuru

    Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia. Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni...
  10. Hospitali ya Amana yatoa majibu kuhusu hoja ya Mwananchi aliyedai kuna changamoto ya Huduma ya Ambulance Hospitalini hapo

    Hospitali ya Amana imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwananchi aliyeandika kupitia JamiiForums.com kuhusu changamoto ya Huduma ya Ambulance ambapo alisema zipo mbili lakini Dereva ni mmoja na hivyo kusababisha huduma za kuhamisha Wagonjwa kuwa katika kasi ndogo, pia akadai kauli za baadhi ya Watoa...
  11. KERO Responded Huduma ya Ambulance iboreshwe Hospitali ya Amana, kuna changamoto kubwa

    Nina malalamiko yangu kuhusu Hospitali ya Amana iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam huduma za pale zina huzunisha sana, tulimpeleka ndugu yetu alipata ajali ya Pikipiki, Jumatatu Juni 23, 2025 walikaa nae pale takribani siku nzima akapimwa kipimo cha CT Scan baada ya hapo mida ya Saa 10 Jioni...
  12. H

    DOKEZO TO wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Rukwa anatoza mafuta lita 120 kwa ambulance kwenda Mbeya Zonal Hospital

    TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo serikalini.
  13. Iringa: Watu saba wafariki kwa ajali iliyohusisha ambulance na toyo, wengine 15 wajeruhiwa

    Watu saba wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa katika ajali ya gari la kubeba wagonjwa (ambulance) kugongana na toyo katika eneo la Luganga, lililopo katika Halmashauri ya Mji Mafinga, Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa. Akizungumza baada ya kutembelea majeruhi wa ajali hiyo leo Jumamosi...
  14. Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) Yagawa Ambulance 4 na Viti 50 kwa Wenye Ulemavu

    MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION (MIF) YAGAWA AMBULANCE 4 NA VITI 50 KWA WENYE ULEMAVU Siku ya tarehe 27 Januari 2025, kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake...
  15. Ushauri kwa TEMESA hasa kunapokuwa na ambulance kivuko cha Mv Kazi

    Kila mara tunajribu kuwaambia kwa vile panton ni moja kipind hiki, nyakati za dharula msiwe mnajaza magari line tatu. Hii itasaidia vipi? Itasaidia abiria kuingia kwa haraka na kuondoka haraka kuliko magari yakiziba full matokeo yake watu wanaingia kwa kupenya. Leo ambulance maskini mgonjwa...
  16. B

    Kubeba majeruhi kwenye gari za wazi (Pickup) badala ya gari za wagonjwa (ambulance) kwenye tukio la kuanguka ghorofa K/Koo ni sahihi?

    Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance Sasa najiuliza Kariakoo...
  17. T

    Hamas wanatumia ambulance kusafirisha majeruhi wao

    Dereva mmoja wa ambulance ameweka wazi ya kwamba wamechoshwa na tabia ya wapiganaji wa Hamas kutumia Magari ya ambulance kusafirisha silaha na majeruhi wao. Kwamba Hamas hujificha au kutumia ambulance kwenye kipindi Cha vita. Kauli hii imetolewa na dereva wa ambulance ndani ya Gaza.
  18. U

    Jeshi la Israel lawaonya wafanyakazi huduma za afya Lebanon kusini waache kutumia ambulance kwani hutumiwa na magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Tahadhari kwa wanaotumia magari ya kubebea wagonjwa almaarufu ambulance kumbe hutumiwa na magaidi ya Hezbollah! #Times of Israel In a separate post, Adraee reiterates an earlier call for health workers and medical teams in southern Lebanon to avoid using ambulances...
  19. M

    Magari ya Wagonjwa bila kuchangia hupati huduma

    Tuanaweza vipi kuafford? Unaambia utoe lita 180 ili mgonjwa wako afike hospitali ya rufaa? Hili la kwenye matenga ulichomoa kwa kug'aka huko Tunduru. Lakini ukweli ni kuwa hili ni tatizo sugu. Magari ya Wagonjwa bila kuchangia hupati huduma. Sijui labda kwa unakaa mjini Dar. Ila mimi najua...
  20. Waziri Ummy : Wagonjwa wasitozwe gharama za posho ya dereva wala muuguzi ambao usindikiza mgonjwa na ambulance

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekemea na kuwaonya viongozi wa Hospitali nchini ambazo zina magari ya kubebea wagonjwa (ambulance) wenye tabia ya kutoza wagonjwa au ndugu zao malipo ya posho ya dereva pamoja na mtaalamu ambaye uhusika katika safari. Amesema kwamba ni marufuku kwa hospitali zote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…