amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania VIDEO: Faida mojawapo inayopatikana kutokana na maandamano

  2. JamiiForums Tanzania Wosia wa Baba wa Taifa. RIP Baba wa Taifa Tanzania, Mwalimu Nyerere

  3. JamiiForums Tanzania Maisha ya Ulaya Ni Magumu sana...............

  4. JamiiForums Tanzania Ninajipongeza leo siku kuu yangu ya kuzaliwa, HAPPY BIRTHDAY TO ME

    Today is My Happy Birthday nina jipongeza mwenyewe siku yangu ya kuzaliwa Ninawakaribisha Marafiki zangu wote karibuni tusherehekee sikukuu yangu ya kuzaliwa. Karibuni nyote. . ...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwili wa Joshua Mollel umewasili nchini Tanzania

    Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel aliyeuawa na Hamas kuwasili leo kutoka Israel Maelezo ya picha,Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel ukiagwa nchini Israel kabla ya kurudishwa Tanzania, aliuawa na Hamas katika shambulizi la oktoba 7. Mwili wa Joshua Loitu Mollel, raia wa Tanzania mwenye umri wa...
  7. JamiiForums Tanzania Picha Yangu ya Leo Baada ya Uchaguzi Mkuu Wa Tanzania

    Mchora vibonzo wetu =AZVodGy-7VfJFtYauXKiSJ4maIdCuy7mr4LBz2CewgRmTb8mD-KjNErSe4fMel81EGoMLYz5XAhtECJrdgA7jKf4TzdM0j_lf9YPzUuDneRtYd8jX-B19kXtRtoMED5O8d7RMSVBZMO0U0ZrsnwtNo9AZfsGjFrBu2-IbzEJAqQQkByqtI6ddpaHt1ZUtD6i3Kv-PvrekjAlm3qFHcUdK1Y&__tn_=-]K*F']Said Michael 'Wakudata' anatupia jicho...
  8. JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 200 nchini Tanzania wameshtakiwa kwa kosa la uhaini siku chache baada ya maandamano ya uchaguzi ambapo upinzani unasema

    Zaidi ya watu 200 nchini Tanzania wameshtakiwa kwa kosa la uhaini siku chache baada ya maandamano ya uchaguzi ambapo upinzani unasema mamia ya watu waliuawa. Haya ni kwa mujibu wa wakili mmoja Peter Kibatala na vyanzo vya mahakama vilivyoliarifu shirika la habari la AFP. Hapo jana, Kibatala...
  9. JamiiForums Tanzania THRDC NA TLS Walani Mauwaji Na Ukandamizaji huko Tanzania

    Muungano wa Shirika la Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, wamelaani vitendo vya mauaji na ukandamizaji wa raia wasio na hatia vilivyoshuhudiwa wakati wa maandamano ya uchaguzi. Katika taarifa ya pamoja, mashirika hayo yamevitaka vyombo vya...
  10. JamiiForums Tanzania Moja ya hotuba ambayo iligusa moyo wangu nakubadili kila kitu kwenye moyo wangu kuhusu siasa Pumzika JPM

  11. JamiiForums Tanzania Vurugu za uchaguzi Tanzania: Waandamanaji wakaidi amri ya Mkuu wa Majeshi

    Chanzo cha picha,Reuters Maelezo ya picha,Rais Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani mwaka 2021 baada ya kifo cha mtangulizi wake na huu ni uchaguzi wake wa kwanza wa kugombea urais. 31 Oktoba 2025 Waandamanaji wameingia mitaani nchini Tanzania kwa siku ya tatu mfululizo, kukaidi amri...
  12. JamiiForums Tanzania KHRC, Global Rights Group Confront Samia Suluhu as Post-Election Violence Rock Tanzania

    Tear gas fills the air as police confront protesters in Tanzania, October 29, 2025. Kenyan and international human rights organisations have issued a joint set of demands to President Samia Suluhu Hassan’s government, calling for an immediate end to what they described as escalating...
  13. JamiiForums Tanzania Dunia imeisha! Stori ya mwanamke aliyetokea nchi ya Torenza ambayo haipo duniani

    Who is the Torenza Passport woman and why is the JFK Airport video going viral? Explained. A viral video showing a woman at JFK presenting a passport from the nonexistent country ‘Torenza’ has sparked theories of AI-generated misinformation. A bizarre video from John F Kennedy International...
  14. JamiiForums Tanzania Dah Wanaume hii ni Dhambi Kabisa MunaMcheat Mpaka Bubu?

  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Kibati Kikipasuka, sisi tuko nao, ninayezungumza ni Amirijeshi mkuu, Tokeni mkapige Kura Oktoba 29, 2025

    "Tumedhamiria kufanya kazi. Tumefanya kazi mmeiona na tunajiamini kwamba tutaweza kufanya tena kazi kipindi cha pili cha awamu ya sita, kazi ya kuonekana kwamaana hiyo niombe mtuchague Chama Cha Mapinduzi “Na hapa niseme ndugu zangu ili niwatoe hofu, kuna watu wanatishatisha ili kuwafanya watu...
  16. JamiiForums Tanzania Majangaa Makubwa hayaa Mfanyakazi wa Kike aka (Dada) Mwenye Asili ya Ki-Tanzania ameuwa familia yote ya boss wake nchini Oman kwa kuwatilia sumu

  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali ya Tanzania imeongeza ukandamizaji wa kisiasa, jambo linalozusha wasiwasi mkubwa kuhusu iwapo uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29

    Serikali ya Tanzania imeongeza ukandamizaji wa kisiasa, jambo linalozusha wasiwasi mkubwa kuhusu iwapo uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu utakuwa huru na wa haki, Human Rights Watch imesema leo. Mamlaka zimekandamiza Matangazo ya Mchana: Upinzani wa kisiasa na wakosoaji wa...
  18. JamiiForums Tanzania Netanyahu: Tunakwenda Kutimiza ahadi yetu kwamba hakutakuwa na Taifa la Palestina eneo hili ni letu

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, siku ya Alhamisi alisema kuwa "hakutakuwa na taifa la Palestina." Alitoa kauli hiyo wakati wa ziara yake katika makazi ya Maale Adumim yaliyoko katika Ukanda wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. Netanyahu alisaini rasmi hati ya kuidhinisha ujenzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Moja ya hotuba ambayo iligusa moyo wangu nakubadili kila kitu kwenye moyo wangu kuhusu siasa. Pumzika Hayati JPM

  20. JamiiForums Tanzania Usiku Mwema Marafiki Zangu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…