amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma azichapa na ‘mwekezaji’

    GT, Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?. =========== WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi ya amani, serikali isikilize kilio cha haki kwa raia wake. watu wakichoka kukemea mitandaoni kitachofuata ni vikundi vya "TIT FOR TAT"

    Tunakoelekea sasa tunaweza kuja kushuhudia Tanzania ambayo hatujawahi kuvidhania kabisa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tusidanganywe na wale wasionufaika na amani yetu

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amewataka wananchi kutovunja amani ya nchi kwa kushawishiwa na watu ambao wapo nje ya nchi kwani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tunaojali Utulivu wa nafsi, uliwahi kuacha kitu gani kiende uwe na peace of mind ?

    NIliwahi kuwa na shida ya ajira nikaenda kiwandani nikafurahia kuambiwa ajira zipo bila rushwa lakini nilipoanza kazi siku ya kwanza tulipelekwa godown, ule mziki wa kubeba viroba si wa kitoto, mimi na rafiki yangu tuliacha viatu na hela, pesa tulikuwa tunaihitaji ila sio kwa mazingira yale...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CCM ni chama pekee kinachohubiri amani

    "Chama kinachohubiiri amani nyinyi ni mashaidi ni chama cha mapinduzi peke yake, tukija hapa tutasema dumisheni umoja, upendo na mshikamano, tukija hapa tutasema lindeni amani ya nchi yetu, tukija hapa tutasema tusipoteze tunu ya amani yetu, huwezi kusikia tukiongea vinginevyo. Chama hiki...
  6. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku na Wazee Wakizungumza Juu ya Haki, Umoja na Amani Kwa Watanzania Muda Huu

    https://www.youtube.com/live/C6io6iky7I0
  7. R

    JamiiForums Tanzania Faris Buruhani: Bila amani na utulivu hakuna kuoa wala kuolewa

    Wakuu mpoooo!!!! Huyu inatakiwa VAR imulike bongo lake labda kuna chenga chenga 😂 😂 😂 Wanaovuruga amani ni hao wanaong'ang'ania madaraka kiuhalifu ------------- Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amewataka wananchi wa mkoa huo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilianza kuvunjwa, je ni amani au haki ?

    Serikali, wengi wa wana CCM na baadhi ya watu,, wamesimamia upande mmoja tu. Kutuambia tudumishe amani., amani, amani na hawana neno jingine angalau la tofauti. Wapinzani, wanaharakati, na wadau baadhi, wamesema wanahitaji amani inayoambatana na haki. Angalau wao, wanaona mambo yote mawili...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna amani kwenye mauwaji na utekaji unaoendelea acheni tabia za kimalaya mnao dai nchi ina amani nawaonya

    Hakuna amani kwenye mauwaji na utekaji unaoendelea acheni tabia za kimalaya mnao dai nchi ina amani nawaonya. Aidha wauwaji na watekaji lazima wawajibishwe kwa matendo yao wameuwa watu wengi sana makusudi kisha wanatengeza vikundi vya watu wenye tabia za kimalaya kuja kutuambia nchi ina amani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Sijali kuhusu tuzo ya amani Nobel, najali kuokoa maisha, nimesitisha vita nchi zilizokuwa na mgogoro

    "Sijali kuhusu tuzo ya amani ya nobel peace prize, ni mwananmke tu mzuri aliyejali kwamba nastahili kupewa tuzo hiyo na nashukuru kwa hilo. Mtu yeyote anayefikiri Norway haina mamlaka juu ya tuzo ya Nobel peace prize anajidanganya, Sijali kuhusu Norway wala jambo hilo, najali kuokoa maisha na...
  11. JamiiForums Tanzania Haki na amani: Mifano inayotolewa haifanani na hali halisi

    Wanajamvi; nimeamka nikaona niseme kidogo. Kumekuwa na matukio mawili ambayo yamekuwa yakielezwa kama kigezo cha taswira njema kwa yaliyotokea nchini mwetu wakati na baada ya uchaguzi. Matukio hayo mawili ni fainali za AFCON25 na uchaguzi wa Uganda. 1. Katika fainali za AFCON, watu humu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku awaita wazee kujadili amani, haki na maendeleo

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Foundation) imeandaa mkutano wa mazungumzo kuhusu amani, umoja, haki na maendeleo ya watu, mkutano unaotarajiwa kufanyika Alhamisi ya Januari 22 mwaka huu (2026) Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Januari 19.2025...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Senegal wametukumbusha umuhimu wa haki dhidi ya amani.

    Siku zote haki imekuwa ikitajwa kuwa inatafutwa, inapiganiwa. Huwezi kuletewa kwenye sahani. Kitendo cha kupinga dhulma, hatimae kikaleta maridhiano. Na mechi ikaendelea. Wameacha funzo kubwa hasa katika medani za siasa, maalum kwa Tanzania ambao tunapiga kelele za amani bila kujali haki...
  14. JamiiForums Tanzania Nina ugomvi mkubwa na dada Yangu..nitumie njia Gani kuleta amani?

    Niligombana na dada Yangu miaka ya 2018..kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoto wangu kwa wakati ule na weekness zake. Sasa ni miaka Mingi imepita hatuongea hata nikijaribu kumtafuta napokea matusi TU ya nguoni.. Mama hana la kusema kwasababu ameshasema sana juu ya hili lakini naona ni...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wametakiwa waheshimu na kulinda amani. Lakini viongozi walioko madarakani wao wanavunja katiba na sheria haki za kibinadamu.

    Amani imetafsiliwa na viongozi walioko madarakani ni. ▪︎ kutokuwepo kwa migomo au maandamano ya kupinga ama kukataa jambo lolote. Iwe kwa watumishi wafanyakazi,wafanya biashara na wakulima. ▪︎ kutokuwepo kwa mawazo au fikra huru tofauti wala kuhoji kosoaji jambo lolote. ▪︎ kutokuwepo kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Siri ya Waislamu kuwa na Amani kuliko watu wengine hapa duniani

    My people, Kwa Nini Waislamu Huishi Kwa Amani: Imani ya Kuamini Mtoa Riziki ni Allah na Kadari Iliyokwisha Andikwa Moja ya nguzo kuu zinazowatofautisha Waislamu katika mtazamo wa maisha ni amani ya ndani wanayoilea mioyoni mwao. Amani hii haiji kwa bahati, wala haitokani na wingi wa mali au...
  17. JamiiForums Tanzania Uislamu na Amani, asema mtoto wa Hamas

  18. R

    JamiiForums Tanzania Nobel yamkatalia Maria Corino Machado wa Venezuela kumkabidhi Trump tuzo yake ya amani (Nobel peace prize)

    Nobel Institute ya Norway imesema kuwa Tuzo ya Amani ya Nobel haiwezi kuhamishwa, kugawiwa wala kufutwa, hii ni baada ya mshindi wa tuzo hizo wa mwaka 2025 ambaye ni kiongozi wa upinzani nchini Venezuela, María Corina Machado, kusema huenda akamkabidhi Rais wa Marekani Donald Trump tuzo yake ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Anatafuta AMANI , refuge kwenye michezo

    Nasikia walikuwa Ikulu jana wanamichezo. Anakusanya 'hooligans" because these so called michezo eg football are rooted in hooliganism ( refer to football hooliganism ). Anawagawia bibahasha vya laana
  20. JamiiForums Tanzania Kushinda mamlaka ya nchi hizi 6 ni kuishindia amani ya dunia kwa ongezeko hadi la asilimia 85.

    1: Uturuki 🇹🇷 2: China 🇨🇳 3: Russia 🇷🇺 4: Iran 🇮🇷 5: Qatar 🇶🇦 6: Pakistan 🇵🇰 Hawa ndio baba wa syndicates za ugaidi, kupandikiza madikteta katika nchi masikini, uundaji wa vikundi vya kuharibu amani katika nchi, kuchonganisha jamii ili wajichukulie rasilimali na mambo mengine mengi ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…