amani na utulivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Victoria Shembilu: Wananchi tuzeni, kulinda na kuimarisha amani na utulivu katika maeneo yao

    Wananchi wa Kijiji cha Minazi Mikinda, Kata ya Ruvu Stesheni, Wilaya ya Kipolisi Mlandizi, Mkoa wa Pwani wamekumbushwa kutunza, kulinda na kuimarisha amani na utulivu katika maeneo yao. Akizungumza na wananchi kijijini hapo, Oktoba 21, 2025 Kaimu Mkuu wa Polisi Jamii, Wilaya ya Kipolisi...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Mchunguzi: Wananchi dumisheni umoja, amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea siku ya kupiga kura

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Almachius Mchunguzi, ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Tanga kuendelea kudumisha umoja, amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea siku ya kupiga kura. Ametoa wito huo leo tarehe 21 Oktoba 2025 kupitia kipindi maalum...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wameanza kutembelea hadi makanisa kuwataka wananchi kutunza AmanI na Utulivu Nchini

    Wameona haitoshi kuzungumza huko mtaa wameamua waamie hadi makanisani kupelekea ujumbe wao. ==================== Mkaguzi wa Polisi Daniel Nyolobi ambaye ni Mkaguzi Kata wa Kirua Wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro ametembelea makanisa na kuzungumza nafasi ya kila Mtu katika kutunza AMANI na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Hassan Kabeke: Yeyote atakayetaka kuvuruga amani na utulivu wa nchi hii teremsha Malaika wako wamchukue wampoteze

    Ila Sheikh amejua kushusha na kupangilia dua na kuzingatia maslahi, amesahau tu kusema watekaji na mafisadi nao wachukuliwe na Shetani waende motoni 😂 😂 😂 ------------- Sehemu ya dua kutoka kwa Sheikh Hassan Kabeke wakati wa mkutano wa Kampeni za Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)...
  5. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Taarifa hii imetolewa na CHADEMA ikisisitiza Amani na utulivu nchini

    Naona kama CHADEMA wameenza kutusaliti Gen Z Yaani watu tunajua tupo pamoja Oktoba 29, 2025 kupambania G Wagon na Royce alafu wanaleta tena siasa za CCM Wakuu ebu iangalieni hii kabla sijachanganya mambo
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kenani Kihongosi: Vijana tulinde Amani na Utulivu, tusishawishiwe kuingia kwenye Vurugu na Fujo

    Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka Vijana kulinda Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025 na kujiepusha na kuingia kwenye Vurugu na Fujo akidai kuwa Amani yetu ndiyo Maendeleo yetu.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tudumishe amani na utulivu. Uchaguzi siyo vita, ni tendo la kidemokrasia

    “Tunakwenda kwenye Uchaguzi Mkuu. Nawaomba sana ndugu zangu, twende tudumishe amani na utulivu. Uchaguzi siyo vita, ni tendo la kidemokrasia – watu kwenda kwenye utaratibu uliowekwa, kuweka kura zetu, kurudi nyumbani na kutulia ili nchi ibaki salama. Si kila mara kushika silaha kunaleta suluhu...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Alshabab, walikua wanauza tani 30 ya makaa ya mawe kwa laki mbili, kule kwenye Amani na utulivu tani 30 ulikua elfu thelathini.

    Kweli dunia hadaa Jamaa walikomaa miaka Ile wakiwa vitani wakawa wanauza kwa laki mbili tani 30 makaa ya mawe. Kule mahala wao walikua tani 30 wanauza kwa elfu thelathini au ambaye anapajua kule walishabadilisha au bado
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mutungi: Mkafanye kampeni za kistaarabu, mtaambiwa uchaguzi haupo, msikate tamaa

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na mshikamano wa kitaifa. Kwa hali ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ili Mwanaume afanikiwe Kifedha, amani na utulivu lazima aoe

    Wakuu, Kuna kikao huku tuambizane mlioko kwenye ndoa kama haya ni kweli tuchangamkie fursa ya ndoa bachelors tupate chochote kitu
  12. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Dira ya 2050: Rostam Azizi asisitiza umuhimu wa amani na utulivu kuwa ndiyo msingi wa maendeleo

    Team Kanukuu mambo mengi Amani ya nchi Usalama wa nchi Kuwekeza ktk raslimali watu Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini Utulivu wa kisiasa Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje Kasema...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Watanzania tudumishe amani na utulivu kuelekea Uchaguzi mkuu Oktoba

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla ametoa rai kwa Watanzania kudumisha amani na utulivu iliyopo kwa sasa ili nchi iweze kuwa na maendeleo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kati ya watawala na watawaliwa, nani anafaidi na kuvuruga 'amani na utulivu?

    Matukio ya kuteka, kupoteza, kuua, na sasa kushambulia wasiokubaliana na serikali vimeanza kuzoeleka nchini. Hali ni mbaya. Mbali na ufisadi uliogeuka donda ndugu, jinai ya kuangamiza, kutisha, kunyamazisha, na kudhulumu wasiokubali kugeuzwa au kujigeuza chawa imeongezeka. Vitisho vya...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania John Heche nakushauri chunga kinywa chako, acha kuitishia mamlaka

    Henche Makamu Mwenyekiti Chadema nakushauri chunga kinywa chako. elewa kuwa hakuna aliye juu ya sheria. wewe, mini wala huyo Lissu hawezi kuwa juu ya sheria. "Sheria ni msumeno". Elewa kuwa Lissu wewe au genge lenu lote sio wa muhimu kuzidi TAIFA. Rais anawajibika kusimamia utawala wa Sheria...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wa Dini Wanapaswa Kuishukuru Na kuiombea CCM kwa kudumisha Amani na Utulivu na wao kupata nafasi ya kuhubiri neno la Mungu kwa uhuru

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna jambo ambalo viongozi wetu wa Dini na Watumishi Wa Mungu wanapaswa kumshukuru Mungu ni Juu ya Uwepo wa CCM madarakani wakati wote wa Uhai wa Taifa letu. Kwa sababu hiki ni chama ambacho kimefanya juhudi kubwa za kuhakikisha amani ,usalama na utulivu...
  17. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Akilimali: Tudumishe amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Sheikh Rashid Akilimali, Sheikh wa Mkoa wa Rukwa, amewahimiza wananchi kudumisha amani na utulivu wakati taifa linaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Ametoa pongezi kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kuunganisha Watanzania bila kujali tofauti za kidini, kikabila au...
  18. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Waislam, Ramadan/Ramadhan Imekaribia , Kisiwe Kikwazo Kwa Dini Nyingine Hasa Masuala Ya Ulaji Na Mfumo Wa Maisha .

    Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga. . Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini, Serikali wasisitiza amani na utulivu

    Watanzania wametakiwa kulinda, kutunza amani na utulivu hasa kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika mwakani. Viongozi wa dini ya Kiislamu wametoa rai hiyo kwenye kongamano na dua maalumu ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan iliyoandaliwa na mbunge wa...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la amani na utulivu Tanzania ni uimara wa CCM

    Uimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania. CCM ndicho chama kilichobeba hatma, matumaini na mustakabali mwema, wa uhakika na salama wa umoja, amani na utulivu wa waTanzania...
Back
Top Bottom