Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha.
Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa...
Wakuu mpoooo!!!!
Huyu inatakiwa VAR imulike bongo lake labda kuna chenga chenga 😂 😂 😂
Wanaovuruga amani ni hao wanaong'ang'ania madaraka kiuhalifu
-------------
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amewataka wananchi wa mkoa huo...
Na. M. M. Mwanakijiji
Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
Ndugu Zangu Watanzania,
Wakristo Mbalimbali Wamekesha na kushinda Makanisani Wakimuombea Heri Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo waumini hao ambao wanasherehekea Sikukuu ya Chrismas Ikiwa Ni kumbukumbu ya kUzaliwa Kwa Yesu kristo.
Ambapo wengi wameonyesha...
Assalam aleykum jami'ya,
Tumsifu Yesu kristo.
Dunia nzima kila kiumbe kinahitaji Uhuru, Amani na utulivu.
Lakini kubwa zaidi tuangazie Uhuru.
Uhuru ni nini?
Kwa definition fupi ni kwamba Uhuru ni hali ya kujiamulia na kupanga mambo yako bila kubughudhiwa au kupangiwa na mtu.
Lakini ni...
Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
Msingi bora wa Amani ni Haki! Kama viongozi mnahubiri amani katika nchi yetu tambueni wananchi wanataka haki kwanza kwenye Taifa ndio Amani iendelee kuwepo.
Lakini mkilazimisha amani tuuuuu, bila Haki mtakuwa kama mbuzi kumpigia gitaaa
==============
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel...
Wakuu
Serikali yahakikishia usalama wa watalii nchini
Wizara ya Maliasili na Utalii imesema hali ya amani na utulivu imerejea nchini, na shughuli zote za kijamii na kiuchumi zinaendelea kama kawaida baada ya vurugu zilizotokea kati ya Oktoba 29 na Novemba 1, 2025.
Imeeleza kuwa huduma za...
Rais Hakainde Hichilema wa Zambia
Baada ya shughuli ya kumuapisha rais mteule Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mgeni kutoka taifa la Zambia mheshimiwa Rais Hakainde Hichilema katika hotuba yake nzito ametoa wito kwa wananchi wa Tanzania kutopeleka malalamiko...
Sasa hivi, ukijikuta kwenye hali ambayo hukutarajiia ujue umesamia. Usitafute suluhu bila kuwa ngangari na ngunguru.
Hilo ndilo wazo la leo. Msikubali kusamia wala kusamiwa.
Viongozi wa dini mbalimbali wilayani Mbulu, mkoani Manyara, wamejitokeza kuliombea Taifa amani na utulivu, kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, huku wakiwataka wananchi kujitokeza kupiga kura.
Soma: Mufti Mkuu awataka Watanzania kuhubiri na kulinda Amani
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Mwaswengu, ambaye ni Polisi Kata ya Songe, Wilaya ya Kilindi, Mkoa wa Tanga, amewataka wananchi wa kata hiyo kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki cha kampeni na kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Wito huo umetolewa Oktoba 24, 2025, wakati Mkaguzi huyo...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud Said, amewataka Watanzania, hususan Wazanzibari, kuacha mihemko na misukumo ya kisiasa inayoweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi.
Soud ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na vyombo vya habari katika ofisi za...
Miongoni mwa kundi lililopewa elimu na jeshi la polisi kipindi hichi cha uchaguzi basi ni bodaboda.
Yani sijuwi wameona kwamba ni rahisi kutumika na wanasiasa au vipi?
=================
Afisa Mnadhimu Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Joswam Kaijanante amewataka...
Wananchi wa Kijiji cha Minazi Mikinda, Kata ya Ruvu Stesheni, Wilaya ya Kipolisi Mlandizi, Mkoa wa Pwani wamekumbushwa kutunza, kulinda na kuimarisha amani na utulivu katika maeneo yao.
Akizungumza na wananchi kijijini hapo, Oktoba 21, 2025 Kaimu Mkuu wa Polisi Jamii, Wilaya ya Kipolisi...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Almachius Mchunguzi, ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Tanga kuendelea kudumisha umoja, amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea siku ya kupiga kura.
Ametoa wito huo leo tarehe 21 Oktoba 2025 kupitia kipindi maalum...
Wameona haitoshi kuzungumza huko mtaa wameamua waamie hadi makanisani kupelekea ujumbe wao.
====================
Mkaguzi wa Polisi Daniel Nyolobi ambaye ni Mkaguzi Kata wa Kirua Wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro ametembelea makanisa na kuzungumza nafasi ya kila Mtu katika kutunza AMANI na...
Ila Sheikh amejua kushusha na kupangilia dua na kuzingatia maslahi, amesahau tu kusema watekaji na mafisadi nao wachukuliwe na Shetani waende motoni 😂 😂 😂
-------------
Sehemu ya dua kutoka kwa Sheikh Hassan Kabeke wakati wa mkutano wa Kampeni za Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)...
Naona kama CHADEMA wameenza kutusaliti Gen Z
Yaani watu tunajua tupo pamoja Oktoba 29, 2025 kupambania G Wagon na Royce alafu wanaleta tena siasa za CCM
Wakuu ebu iangalieni hii kabla sijachanganya mambo
Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka Vijana kulinda Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025 na kujiepusha na kuingia kwenye Vurugu na Fujo akidai kuwa Amani yetu ndiyo Maendeleo yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.