ali hassan mwinyi

Ali Hassan Mwinyi (born 8 May 1925 in Kivure, Pwani Region, Tanzania) is a Tanzanian politician who served as the second President of the United Republic of Tanzania from 1985 to 1995. Previous posts include Interior Minister and Vice President. He also was chairman of the ruling party, the Chama Cha Mapinduzi (CCM) from 1990 to 1996.During Mwinyi's terms Tanzania took the first steps to reverse the socialist policies of Julius Nyerere. He relaxed import restrictions and encouraged private enterprise. It was during his second term that multi-party politics were introduced under pressure from foreign donors. Often referred to as Mzee Rukhsa ("Everything goes"), he pushed for liberalization of morals, beliefs, values (without breaking the law) and the economy. Many argue that during Mwinyi's tenure the country was in transition from the failed socialist orientation of Julius Nyerere that brought its economy to its knees. It was during Mwinyi's administration that Tanzania made some of the crucial decisions towards the liberalization of its economy that paved the way for short-term economic growth.

View More On Wikipedia.org
  1. PAYE

    TFF yaufungia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora kutumika kwenye michezo ya ligi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu. TFF imeziagiza timu zinazotumia uwanja huo kutumia uwanja mwingine kama kanuni zinavyoelekeza. Hata...
  2. The Father of All

    Natabiri kuwa mwendazake Ali Hassan Mwinyi na Samia Suluhu Hassan watakuwa wazanzibari wa kwanza na mwisho kutawala Tanzania

    Kwa wanaojua kilichotokea baada ya Mzee Benjamin Mkapa kumaliza ngwe yake, watakubaliana nami, kuwa, kwa mazoea, mrithi wake alipaswa kutoka Visiwani. Hata hivyo, haikuwa. Why? Jibu ni rahisi kuwa wanamtandao hawakutaka nafasi yao ichukuliwe na mwingine. Baada ya Kikwete, wanamtandao...
  3. W

    TANZIA Abbas Mwinyi Mtoto wa mstaafu Marehemu Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Mtoto wa mstaafu Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Abbas Mwinyi ambae ni Kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi Leo Septemba 25 amefariki Dunia akiwa Hospitali ya Lumumba Mjini Unguja. Abbas Mwinyi ni Mtoto wa Mstaafu Marehemu Mzee Mwinyi ambae kabla ya...
  4. Waufukweni

    GE2025 Wajumbe wampitisha kwa kishindo Asma Ali Hassan Mwinyi

    Asma Ali Hassan Mwinyi ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Ubunge Jimbo la Welezo Zanzibar. Ushindi huo unampa nafasi kubwa ya kupeperusha bendera ya CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao.
  5. Frank Wanjiru

    Club ya KMC yapeleka match yao dhidi ya Simba Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora

    KMC imepeleka match yao ya mkondo wa pili zidi ya Simba utakaochezwa tarehe 11 May kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora.
  6. Holoholo-Baba Kijacho

    Full Time: Tabora United 0-3 Yanga | NBC PL | Ally Hassan Mwinyi stadiam | April 2, 2025

    Karibu katika mikiki ya NBC PL ambapo leo majira ya saa 10kamili jioni pale katika dimba la kumbukumbu ya Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ally Hassain Mwinyi,wenyeji Tabora United watawakaribisha vigogo na vinara wa ligi Yanga kuzisaka alama tatu muhimu. Ikumbukwe...
  7. MwananchiOG

    Aliyeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kufunguliwa anapaswa kuchunguzwa. Uwanja bado haufai

    Nimeshangaa sana kuona Mamlaka zinazosimamia viwanja kuruhusu uwanja huu kutumika kwa michezo ya Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika. Baada ya kutazama mchezo wa Tabora utd inashangaza kuona uwanja huu ukitumika kwa michezo rasmi. Uwanja hiu ulifungiwa wiki kadhaa zilizopita, Swali la kujiuliza...
  8. Waufukweni

    TFF yaufungulia Uwanja wa Tabora United (Ali Hassan Mwinyi) kwa michezo ya Ligi baada ya Marekebisho

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanya marekebisho yaliyokidhi vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu. Soma: Baada ya mechi ya Tabora na Yanga kukaribia TFF waufungia Uwanja waAlly...
  9. Mkalukungone Mwamba

    CCM Tabora yaamua kuboresha uwanja wa Ali Hassan Mwinyi baada ya kufungiwa na TFF

    Siku moja baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, kuufungia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora, kutumika katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukosa vigezo na kanuni za mpira wa miguu, wamiliki wa uwanja huo ambao ni Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Tabora wameanza kuufanyia...
  10. Newcastle1234

    Eneo linauzwa Ali Hassan Mwinyi Road

    2240 SQM Title deed: 99 Years Alongside Ali Hassan Mwinyi Road Topographical map available for serious buyers Property is unique for Apartments, Business complex, Hotel. Asking price: $2 Million (negotiable) Call/WhatsApp 0788893364
  11. Area 56

    FT: Tabora Utd 0-3 Simba SC | NBC PL | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02 February 2025

    Ubaya Ubwela. Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi? Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga...
  12. Tembosa

    FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. MCHEZO: Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League Mwenyeji : Tabora United Mgeni : Simba Sc Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora Muda : Saa 10 Jioni. VIKOSI VYA LEO Game On 3' Tabora 0-0 Simba 6' Simba wanapata kona, inapigwa kona na Kibu, haileti madhara yoyote kwa nyuki 12'...
  13. Tembosa

    FT: NBC Premier League | Tabora United 2-1 Azam FC | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 13.12.2024

    HT Tabora 1 - 0 Azam. Mlioko hewani leteni updates!! FT Tabora United 2 - 1 Azam
  14. R

    Mzee Warioba angefaa kuwa Rais baada tu ya Mzee Mwinyi: ingesaidia kuandaa viongozi

    Kuna namna tulikosea katika mchakato wakuandaa viongozi. Wakina Mzee Warioba walipoamua kujiweka kando baada ya mwalimu kung'atuka ilikuwa kosa kubwa sana. Nchi haikuhitaji urais wa majaribio tena bali ilitakiwa inapata viongozi kwa merits. Kinachoendelea sasa hivi toka amalize muda wake mzee...
  15. C

    Wakati wa Utawala wa Ali Hassan Mwinyi, ameshawahi kutekwa au kuuwawa mtu?

    Jamani sina mengi sana nimemkumbuka Rais wangu Ally Hassan Mwinyi, Mungu amjalie pepo ya filidausi, kweli sisi sote ni mashahidi wake na amani iwe juu yake mpaka siku ya kufufuliwa kwake
  16. T

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%. Baada ya matokeo hayo...
  17. Ojuolegbha

    Ratiba ya Kisomo cha Dua ya Arubaini ya Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Tatu

    Ratiba ya Kisomo cha Dua ya Arubaini ya Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Tatu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili. 📅 7 Aprili, 2024. 📍 Ikulu Zanzibar.
  18. Pfizer

    Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Hassan Mwinyi, apongeza ripoti ya Finscope kwa kuakisi sekta ya fedha

    ● Asema upatikanaji wa huduma jumuishi za fedha Zanzibar sasa zimekua kwa zaidi ya asilimia 80. Zanzibar Jumatano Machi 27, 2024: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Ripoti ya FinScope Tanzania 2023 kwa upande wa Zanzibar, ambayo...
  19. Mohamed Said

    Hadithi ya Ali Wawili: Ali Hassan Mwinyi na Ally Kleist Sykes

    HADITHI YA ALI WAWILI: ALI HASSAN MWINYI NA ALLY KLEIST SYKES Majina yao yamefanana mtu na somo yake ila kila mmoja analiandika jina lake vingine. Mimi na Hamza Aziz tulikuwa na Majlis yetu nje ya nyumba yake kwenye kibanda cha makuti pwani kikitazama Bahari ya Hindi. Hapa palikuwa na upepo...
  20. Mohamed Said

    Historia ya Ali Hassan Mwinyi kama Rais haiko wazi

    HISTORIA YA UONGOZI YA ALI HASSAN MWINYI KAMA RAIS HAIKO WAZI UTANGULIZI Makala hii nimeiandika baada ya kuulizwa maswali baada ya kufanya kipindi cha Maisha ya Rais Ali Hassan Mwinyi na Afrika TV2. Najaribu hapo chini kujieleza. Katika kipindi hiki cha televisheni yapo mengi katika maisha...
Back
Top Bottom