Karibu kwenye jukwaa! Karibu wana JF na wanaGT.
Nitambue mchango mkubwa wa Bw. Mello kama sikosei katika jukwaa hili.
Leo nitaomba kwa pamoja tudiscuss suala la kuacha alama!
Somo ni pana sana kwasababu linahusu usalama na utambuzi, pia limejikita moja kwa moja kwenye CRIMINOLOGY NA FORENSIC...