Imetoka List ya Wasanii wenye Ushawishi mkubwa Barani Africa, Diamond ametokea pia kwenye List hiyo na Mbaya Zaidi amejisifu kwamba Bila yeye bendera ya Tanzania haitapepea tena kimataifa iwapo hasa atafariki.
Inachekesha Sana, Diamond ameshajikuta kwamba bila yeye mambo hayaendi, huu ni uongo...