Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Boniface Jacob (Boni Yai) muda mfupi uliopita leo, Jumamosi Novemba 08.2025 amekamatwa na Jeshi la Polisi Goba, jijini Dar es Salaam akiwa njiani kwenda kuripoti kituoni
Wakili Hekima...
AMANI Golugwa, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) bara, amekamatwa na jeshi la polisi, akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. ikumbukwe kuwa jeshi la polisi hapo jana lilitangaza msako wa kuwatafuta viongozi wa chama hicho.
Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa...
Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025)
Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025.
Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kuzuia matukio ya kihalifu Jijini. Kwa ujumla usalama umeimarishwa kwa kiwango cha juu. Tarehe 11 Septemba, 2025 maeneo ya Kariakoo Ilala alikamatwa mtuhumiwa Peter Mahende Mkazi wa Ilemela Mwanza kwa tuhuma za...
TAARIFA KWA UMMMA
"Tunaitaka Jeshi la Polisi liache kutumika kisiasa"
Tumepokea taarifa, ya kukamatwa usiku mkubwa kwa Katibu wetu wa Jimbo la Kiwani Ndugu. Saleh Ali Masoud na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba na anashikiliwa katika kituo cha Polisi Madungu.
ACT Wazalendo, tunalalamika...
Mwanamke mmoja anayedhaniwa kuwa ni msukule amekamatwa mkoani Arusha, ndani ya duka la dada mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe
Mwanamke huyo alikutwa akiiba vitu mbalimbali, ikiwemo viatu na nguo, kitendo kilichowashangaza wateja na majirani waliokuwa karibu na eneo hilo
Mashuhuda wa...
Vikosi vya usalama vya Israel vilifanya operesheni sahihi katikati mwa Hebron, kumkamata gaidi anayesakwa ndani ya tawi la benki. Wakiwa wamejigeuza kama wateja, wapiganaji waliofichwa kutoka Kitengo cha Duvdevan waliingia ndani kabla hajafyatua risasi.
Mshukiwa, aliyehusika na shambulio la...
Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu wa mwendesha mashtaka maalum anayeongoza uchunguzi huo.
Soma pia: Mke wa Rais wa zamani Korea...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa.
Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
Mhariri mashuhuri wa gazeti la Zimbabwe Independent, Faith Zaba, amekamatwa na kuzuiliwa jijini Harare siku ya Jumatano kwa kuchapisha makala ya kejeli inayomkosoa Rais Emmerson Mnangagwa, hatua ambayo imekosolewa vikali na makundi ya wanahabari na watetezi wa haki za binadamu kuwa ni shambulio...
Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa.
Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi...
Maafisa Polisi wamemkamata Askari anayefahamika James Mukhwana kwa kuhusika na mauaji ya cha mwalimu na mwanablogu, Albert Omondi Ojwang aliyefariki akiwa kizuizini baada ya kushikiliwa kwa kuchapisha taarifa za uongo
Kwa mujibu wa ripoti ya Polisi imesema kuwa Askari James wa Kituo cha Polisi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva Yahaya Bakari Idd (43) mkazi wa Gongo la Mboto Mkoa wa Dar es salaam baada kusababisha ajali iliyotokea Juni 5, 2025 katika eneo la Mataa ya Tumbaku kata ya Mafisa Manispaa ya Morogoro.
Taarifa ya leo Juni 6, 2025 iliyotolewa na Kamanda wa...
Nimeafatilia hili sekeseke la watumishi wetu wa umma wakijumuishwa na wakuu wa mikoa kununua viwanja huko Arusha kwa billions of shillings nikakumbua mwezi uliopita Governor wa Kenya (Kiambu County) Kimani Wamatangi, alikamatwa na kamisheni ya kupambana na rushwa ya Kenya na kukutwa na Ksh...
Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa...
Mamlaka nchini Burkina Faso zinamshikilia mwanachama wa asasi ya kiraia kwa kosa la kukosoa utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore.
Katika taarifa yake ya Aprili 4, 2025, asasi hiyo iitwayo Patriotic Front ilikiri kukamatwa kwa naibu katibu mkuu wake, Romuald Yaro, wakati akiwa katika...
Maafisa wa forodha nchini India wamemkamata mwanamke mmoja raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 43 kwa kosa la kusafirisha kilo 1.7 za kokeini zenye thamani ya kati ya Ksh225 milioni na Ksh300 milioni.
Kwa mujibu wa The Indian Express, mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la Emily Rodha...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata mwalimu mkame Living Mwaisumo mwenye umri wa Miaka 30 kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari zombo wilayani Kilosa Mkoani Morogoro.
Akizingumza na waandishi wa habari kamanda Jeshi la Polisi Mkoa wa morogoro...
Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano ya risasi huko Kivu kusini, eneo la Kaziba.
Mpaka sasa,anaendelea na matibabu akiwa mikononi mwa M23.
Ofisi ya Rais wa Ufilipino imeripoti kukamatwa kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Rodrigo Duterte, baada ya kupokea ombi kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Duterte alikamatwa Jumanne katika Uwanja wa Ndege wa Manila alipowasili kutoka Hong Kong, kwa mujibu wa serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.