ajira

  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Munisi: Bwawa La Nyerere ni Injini ya Ajira kwa Taifa Zima

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Munisi, amesema kukamilika kwa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ni fursa kubwa ya kiuchumi itakayogusa maisha ya Watanzania wote, wakiwemo wakazi wa mijini na vijijini. Dkt. Munisi...
  2. JamiiForums Tanzania Kupata mtoto ni rahisi kuliko kupata ajira

    ANAANDIKA BICHWA KOMWE πŸ‘Œ Katika hii jamhuri yetu, na hata kwingine kokote nje ya Tanganyika, ni ukweli ulio wazi kwamba, kupata mtoto ni rahisi sana kuliko kupata ajira ya Tamisemi. Watu wengi hudhani kwamba kupata mtoto inahitaji mikito mingi au kujitutumua na pampu nyingi, LA HASHA...
  3. JamiiForums Tanzania Mama punk ya Israeli yamewekeza dola bilioni 3.2 huko Texas na kutengeneza ajira zaidi ya 4,200

    Seneta Ted Cruz anasema makampuni ya Israeli yamewekeza dola bilioni 3.2 huko Texas na kuunda ajira zaidi ya 4,200. Data ya Texas inathibitisha takwimu hizo zinahusu miradi 34 kuanzia 2015-2024. Mnamo 2026, uhusiano unazidi kuimarika kupitia usalama wa mtandao, ulinzi, mradi uliopendekezwa wa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ajira za higher diploma kweli serikalini

    Wakubwa nataka kujua higher diploma huwekwa kundi lipi wakati wa kuomba ajira serikalini?
  5. JamiiForums Tanzania Akili Mnemba (AI) yatikisa Ajira: Kazi gani ziko Hatarini?

    Kampuni zinazojihusisha na nyanja ya akili mnemba (AI) hutoa madai mapana kuhusu uwezo wa zana zao kuchukua nafasi ya nguvu kazi ya binadamu. Baadhi ya kazi zitaendeshwa kikamilifu na mifumo ya kiotomatiki, huku nyingine zikibadilishwa na kuboreshwa kwa kutumia akili mnemba. Viongozi wa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwenye swala la ajira ukweli niseme ameupiga mwingi.

    Wakuu Mimi siyo mtu wa siasa na Sina chama .ukweli niseme Kila mtu na mapungufu yake lakini tukiacha siasa pembeni, huyu mama kwenye swala la ajira kaupiga mwingi sana yan kaajiri watu wengi sana tokea nchi inapata uhuru haijawahi tokea.
  7. JamiiForums Tanzania πŸŽ“πŸ”₯ NAFASI ZA AJIRA: LECTURER & ASSISTANT LECTURER – MOROGORO

    Una taaluma ya kufundisha katika elimu ya juu? Kuna nafasi mpya za Lecturer na Assistant Lecturer zilizotangazwa Morogoro. Hii ni fursa nzuri kwa wataalamu wanaotaka kuendeleza taaluma yao katika ufundishaji, research, publications na consultancy. πŸ‘¨β€πŸ« LECTURER Majukumu makuu ni pamoja na: βœ…...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kurudosha email au username ajira portal

    1. Wapigie utumishi au fika kwenye ofisi zao 2.Jaribu kureset password kwa email unayoikumbuka kwa kuiedit 3.hii ya tatu ni mwisho na wengi hamuijui lakini ukitaka nikwambie tuwasiliane personally kwasababu siyo wote mtaitumia vizuri.Naandika ivi kwasababu kuna watu wenye biashara zao huwa...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta qualifications ajira portal

    KWENYE mfumo kwa upande wa elimu ya chuo NK hasa kuna sehemu imeandkwa REQUEST REMOVAL use it kama uliweka qualifications wrongly
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mgawanyo wa Vyuo usio na usawa unalenga kuminya baadhi ya mikoa au kanda na kurahisishia wengine kuingia kwenye taasisi, idara, n.k?

    Serikali ya Tanzania si ya Majimbo, kila taasisi ipo kitaifa, hakuna taasisi za majimbo Watumishi wa Serikali wanaweza kufanya kazi katika mkoa wowote nchini, bila kujali wanatoka mkoa gani. Kwa mantiki hiyo, fursa za kupata elimu inayowawezesha kuingia kwenye ajira za Serikali zinapaswa pia...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wengi Tanzania wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa na elimu?

    Wadau kwema? Vijana wengi wanamaliza vyuo na kupata vyeti, lakini bado wanakaa muda mrefu bila ajira. Wengine wanaishia kufanya kazi ambazo hazihusiani kabisa na taaluma walizosoma mfano boda boda n.k Kwa maoni yako, tatizo kubwa ni ukosefu wa ajira, mfumo wa elimu, ukosefu wa ujuzi wa vitendo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Halmashauri ya Kakonko wameambiwa wataliwa fedha nusu ya walizosaini

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Content Creator jamiiclub: Ajira Mpya Katika Dunia ya Kidijitali

    Habari wakuu, Ninaamini kuwa Content Creator ni aina mpya ya ajira katika dunia ya kidijitali, na inaweza kuwa fursa muhimu kwa vijana kujiajiri na kujenga vyanzo vyao vya kipato. Kwa sasa, mitandao ya kijamii imewezesha watu kushiriki mawazo, maarifa, vipaji na ubunifu wao kwa hadhira kubwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Ajira Portal imeondoa option ya kufuta vyeti vyenye makosa?

    Ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu mfumo wa Ajira Portal. Kwenye mfumo huo, kuna cheti nilichoweka lakini kina makosa, na ninahitaji kukifuta ili niweke taarifa sahihi. Hata hivyo, nimegundua kuwa hakuna tena option ya kufuta cheti kilichowekwa kimakosa. Naomba kufahamu sababu ya kuondolewa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania AJIRA TANZANIA: Nini hasa chanzo cha ukosefu wa ajira hapa Nchini ?

    Habari wana jf , Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira . Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira? Kwa mfano...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba serikali ianzishe programu wenye degrees hawajapata ajira warudi shule kwa degree ya pili,na wapewe mikopo kama kawaida

    Kuna vijana wengi mitaani wanasubiri ajira lakini hakuna ajira ,ili waendelee kusubiri lazma tutafute utaratibu wa kuwakopesha kwa degree ya pili hii itaondoa vijana tegemezi kwenye familia zetu,maama hawana KAZI ya kufanya wanakula ugari tu
  17. JamiiForums Tanzania Fursa za ajira kwa wahitimu wa taaluma za mafuta na gesi Tanzania

    πŸ“’ FURSA ZA AJIRA KWA WAHITIMU WA TAALUMA ZA MAFUTA NA GESI TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ EQUINOR GRADUATE PROGRAMME 2027 – NORWAY πŸ‡³πŸ‡΄ Equinor inapokea maombi ya kujiunga na programu yake ya wahitimu ya miaka miwili. Programu hii inatoa uzoefu wa kazi, mafunzo ya kitaalamu, ushauri kutoka kwa wataalamu pamoja na...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen Z hawana madhara kwenye Taifa lolote lile, wanachotaka ni ajira na mitaji, vilevile hawapendi uongo

    Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
  19. JamiiForums Tanzania NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

    Wasukuma tunasema; MWAMPA(mwamba) huyu hapa.!!! Maashiiine!!!πŸ˜… Kwa vile mwanangu anarusha sana mateke leo huko tumboni hence moyo kunienda mbio nitaandika kwa kifupi sana ujumbe huu ambao roho wa bwana AMENIHUIA kuufikisha kwenu wanawake wenzangu wa jamii forums. Ladies and gentlewomen, I...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Staafisha watumishi wenye miaka 45 na zaidi,halafu anzisha ajira za mikataba ya miaka mitano mitano!

    Comrade!ikitokea hatma imekudondokea na hatmae ukawa mkuu wa kiti kikubwa katika nchi hii!Hili nalo lipatie ufumbuzi kama ninavyoandika sasa! Kumbuka nchi yetu Haina tatizo la ajira Bali sera mbovu za ajira ndio zimetufikisha tulipo,unawezaje kumuajiri mtumishi ajira ya maisha !?wakati Kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…