ajira

  1. JamiiForums Tanzania Hivi Weledi wa Jeshi Polisi Tanzania uko wapi? Umoja wa Waalimu wasokua na Ajira, sio Kikundi Cha Uhalifu Wala wavunja Amani

    Yaan Kwa vile mlizoea chama cha walimu ambao kimsingi viongozi wake ni mapandikizi, Vijana wamewashtua, mnaanza kuhaha, kutafuta suluhisho Kwa Vijana ,nyie mnawapa majina mabaya ,wahalifu, wavunja Amani ,Magaidi . Khaaa?? This is a shame !!. Mambo mengine ni kujidhalilisha kupita kiasi. Yaan...
  2. JamiiForums Tanzania Chama cha walimu wasio na ajira (NETO) kiongeze wigo hadi kuwa Chama cha vijana wasio na ajira (NEYO)

    Ushauri Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO) Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth Organization (NEYO) Karibuni kwa maoni =================== Tayari kuna chama kimeanzishwa kinaitwa...
  3. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali imuachie huru Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira, Joseph Kaheza

  4. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira sio walimu pekee

    Miaka ya 2010 nikamaliza degree yangu ya pili baada ya ile ya awali kutonipa manufaa. Kwa kuwa nilisoma nikiwa na cheki namba haikunipa shida kuhamia wizara nyingine kama mtaalam wa nilichokwenda kusomea. Idadi ya wahutimu vijana ni kubwa mno, na sio walimu ni kada nyingine kabisa. Wakati huu...
  5. JamiiForums Tanzania Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Habari wakuu poleni na majukumu Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa na Jeshi la zimamoto inashindikana, Maana hata log in / sign up inagoma kufunguka, sasa sijui ni...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Sekretarit ya ajira ni muda gani utakiwa kusubiriwa kwa usaili baada ya kutuma maombi ya kazi kisheria?

    Kiualisia sekretarit ya ajira kufikia hatua ya kutangaza nafasi za ajira ina maana kuna uitaji.Sasa inakuwaje nafasi itangazwe toka mwaka jana(2024) mwezi 8 mpaka mwezi huu wa pili mwaka 2025 hakuna mrejesho wowote? Kama hakuna sheria kwa swala hili basi hakuna uaminifu tena kwa sekretarit ya...
  7. JamiiForums Tanzania Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

    Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis. Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand. Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Portal ya Ajira za Zimamoto inasumbua

    Habari ya asubuhi wanabodi kijana wangu anahangaika kuomba ajira katika jeshi la zimamoto na uokoaji ila cha ajabu portal yao inasumbua inakataa taarifa inaandika processing tu kwa aliefanukiwa kuomba ajira izo online alifanyaje fanyaje??
  9. JamiiForums Tanzania Simbachawene awataka viongozi wa walimu wasiokuwa na ajira NETO kufika ofinini Dodoma kwa mazungumzo

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, amewaita ofisini kwake Dodoma kwa mazungumzo viongozi wa vijana waliojitambulisha kwenye andiko lao kuwa ni “Non Employed Teachers Organisation (NETO)” wenye umoja wao kupitia mitandao ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye nguvu amkaa! mwenye weledi changamka wewe!

    Mwenye nguvu amkaa! mwenye weledi changamka wewe!... shida nini? . Tunataka nchi isonge mbele, tunataka tufanane na mataifa makubwa ya Ulaya , tuwe na miundombinu ya kisasa kama viwanja bora vya ndege, barabara nyingi za kupunguza msonganano, Vituo bora vya afya na nambo mengi ya kileo...
  11. JamiiForums Tanzania Ajira hakuna ila kazi zipo nyingi sana vijana tutumie akili

    Ety watu wanaunda umoja wa waalimu wasio na ajira(NETO) Hivi kazi zote hizi kitaa wewe una shahada unashindwa kufanya mpaka ulalamike?? Ajira hakuna ila kazi ni nyingi tumieni akili
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

    https://www.youtube.com/live/0EcQvO6owwc?si=C3wENbOFWYVOz-Cp "Umoja wa Waalimu Wasio na Ajira (NETO) ulianza na Wanachama (wajumbe) 15 kupitia makundi ya WhatsApp. Tulianzisha NETO kwasababu ya sintofahamu ya ajira iliyopo kwa wahitimu kuanzia mwaka 2015 mpaka 2023." "Masuala ya usaili...
  14. JamiiForums Tanzania Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

    Heshima sana wanajamvi. TRA wametangaza ajira mpya 1,574. Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao. Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa...
  15. JamiiForums Tanzania RC Makonda Ahimiza Uwekezaji wa Viwanda Arusha, Kuongeza Fursa za Ajira kwa Vijana

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Februari 17, 2025 amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) akihimiza suala la Ujenzi wa viwanda na ufufuaji wa Viwanda vilivyokufa Mkoani Arusha kama sehemu ya Mkakati wa kukuza dhamira njema ya...
  16. JamiiForums Tanzania UFUGAJI NI AJIRA

    🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓 AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ 📠☎️ 0781647066 WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi Ajira Portal Ilivonipotezea kipenzi changu!!

    Wagonga ulimbo tunapitia mengi sana maisha yanakuchapa, mapenzi yanakupiga za uso, familia inakutenga, marafiki wanakukimbia. Katika harakati zangu za ugonga ulimbo baada ya kugraduate mimi na kipenzi changu "Fauzia" jina la uficho (comouflage)tulikuwa na mipango mingi sana. Siku zote...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta akaunti ya Ajira Portal

    Hivi ukitaka kuifuta account yako au profile yako kwa Ajira Portal unafanyaje? Kwa sababu nimejaribu kila kitu wap. Nisaidieni.
  19. JamiiForums Tanzania JAMANI HIZI AJIRA ZA TRA NA WALIOSOMA BAED ANAWEZA KUOMBA?

    Kwema wakuu, kama mada inavojieleza alie liona tangazo anakaribishwa alete mawazo
  20. JamiiForums Tanzania Nashauri tanzania iingie mkataba wa haraka na congo vijana wa Kitanzania wapate ajira ya haraka

    Ninawaza kwa Sauti ya chini sana nikiwa nakunywa taratibu kiburudisho kisicholewesha. Ni hivi vijana wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto au matamanio ya kujiunga na jeshi la JW na hivyo kupelekea wengine kushindwa vigezo vya kujiunga na jeshi hilo na wengine kudondokea kwenye mikono ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…