ajira

  1. JamiiForums Tanzania Ajira Portal – 5 Farming and Livestock Vacancies Available.

    Ajira Portal – 5 Farming and Livestock Vacancies Available. Several new academic and technical vacancies have been announced in Tanzania’s livestock and fisheries training institutions, presenting excellent opportunities for educators and technical specialists. Livestock Training Agency...
  2. JamiiForums Tanzania Ajira Portal – Engineering and Construction Vacancies

    New job vacancies have been announced in Tanzania's maritime and technical education sectors, offering exciting opportunities for qualified professionals. The Tanzania Fisheries Corporation (TAFICO) is seeking candidates for two key engineering positions: Engineer II - Marine and Engineer II -...
  3. JamiiForums Tanzania Ajira Portal & Other Jobs Board Assessment.

    Job Vacancies Assessment – Top 5 Regions with Most Frequently Posted Jobs Nikiwa kama Jobs Board Webmaster (Namanage Job sites zaidi ya 3 za ajira, Ajira Portal, Kazi Portal, na Ajira Point), I have observed patterns and frequency of job vacancies kulingana na mikoa. He is what I found out ...
  4. JamiiForums Tanzania Kuitwa Kwenye USAILI Utumishi Ajira Portal, PSRS May 2025

    Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on behalf of various government institutions would like to inform all job applicants who applied for a job that the interview is expected to be conducted as indicated in the PDF attached and finally assign job centers to the applicants jobs that...
  5. JamiiForums Tanzania New 20+ Job Vacancies From Ajira Portal May 2025

    Are you ready to make a meaningful impact in Tanzania’s education, fisheries, livestock, and municipal sectors? The Dar es Salaam University College of Education (DUCE), Handeni Town Council, Fisheries Education and Training Agency (FETA), Tanzania Fisheries Corporation (TAFICO), and Livestock...
  6. JamiiForums Tanzania Fursa za ajira Medium Gold Mining Company

    On behalf of a Medium Gold Mining Company in Geita region, we have the following openings: 1. Accountant (1) Must be a graduate in Finance with at least 7 years experience. CPA is an added advantage 2. Fitter Mechanics (2) Must have trades certificate with experiences in a gold plant 3...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau
  8. P

    JamiiForums Tanzania Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau
  9. JamiiForums Tanzania Ajira Tume Huru ya Uchaguzi ni kweli au utapeli?

    Salamu naomba wajuvi wa mambo mtusaidie hili kuna jumbe zina sambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na link ya ajira za tume huru ya uchaguzi nimejaribu kuingia kwenye link tajwa ila naona kama inakuwa na utaratibu ambao sio wa kawaida kwani kuna sehemu inasema share to your contacts...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge kwanini muwabane JWTZ kwenye ajira huku TISS wakiwa hawafuati kanuni na sheria za ajira

    Sioni sababu ya kuwabana JWTZ kwenye suala la ajira huku TISS mkiwaacha wafanye vile wanavyojitakia au TISS ni kubwa kuliko JWTZ? Hawa TISS hawajawahi tangaza ajira zao bali wanachukuana wenyewe na vijana wa CCM hii kwenu imekaa sawa?
  11. JamiiForums Tanzania DOWUTA yaitaka Serikali kulinda ajira na Haki za Wafanyakazi Wazawa kwenye uwekezaji wa Bandari na Kampuni ya Adani

    Wakuu! Katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka huu, viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji na Huduma za Bandari Tanzania (DOWUTA), kupitia tawi lake la TEAGTL, walijitokeza kwa nguvu kupaza sauti kuhusu mustakabali wa wafanyakazi wazawa...
  12. JamiiForums Tanzania Suluhisho la ukosefu wa Ajira Tanzania: Tuwape Wahitimu wote hii kitu "Graduate Card"

    Habari Tanzania ! Naomba kuweka wazo langu hapa jukwaani. Nawaomba taasisi za Elimu ya kati na juu kupitia Wizara ya Elimu mkaja na hii huduma kwa hawa vijana wanaohitimu chuo hususani ngazi ya kati na juu ( Diploma & Degree holders) tuwapatie kadi maalumu kwaajili ya kupata kibali cha ajira...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi 50+ tumeondolewa katika ajira ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) kwa uonevu, Mamlaka za juu zitusaidie

    Mimi ni mfanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kimsingi tuliingia hapo kipindi cha Ukaguzi wa ICAO Mwaka 2023, kutokana na idadi ndogo ya Wafanyakazi wa TAA, Taasisi iliona ni Muhimu kuajili watu ili kuongeza nguvu katika vitengo mbalimbali ikiwepo security. Tuliitwa Vijana...
  14. JamiiForums Tanzania Zingatia kijana unayeanza kazi leo! (Mwajiriwa Serikalini na taasisi binafsi)

    Nilipoanza kazi miaka 20 iliyopita (Katika Taasisi moja ya serikali jiji Dar), ushauri mkubwa niliopewa na wale niliowakuta kazini ni kujenga nyumba. Walisema ukifanya kazi baada ya miaka 20 walau ukiwa umejenga nyumba hata 3 hadi nne hapa Dar za kupangisha utakuwa umetoboa. Nikasema naam, baada...
  15. JamiiForums Tanzania Nimekosa ajira za TRA, wenye fursa mahali pengine anisaidie

    Habari wana JF, Bado napambana na ajira (kujiajiri bado sio suala jepesi). Nilifanya mtihani wa TRA lakini bahati mbaya sikufuzu. Nina Shahada ya Sheria. Bado sijakamalisha Post graduate diploma ya Law School. Nimeshafanya kazi za kujitolea mahakamani na kwa mawakili. Pia nimefanya kazi za...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Ulazima Gani kwa Waombaji Ajira JWTZ Kulazimishwa Kupeleka Maombi Yao kwa Mkono Makao Makuu Dodoma

    Hivi majuzi tumeshuhudia msemaji wa Jeshi akitangaza nafasi za kuandikisha vijana Jeshini pamoja na sifa na vitu vyengine kuhusiana na maombi hayo. Pamoja na hayo ameelezea utaratibu kwa waombaji wa nafasi hizo,bila kuanisha utaratibu wa kutuma maombi hayo kwenda Makao makuu ya jeshi Dododma...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

    Habarini, Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider: 1) Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wengi wa miaka 19-23 wana prefer ku-date na age mate wenzao...
  18. JamiiForums Tanzania Ajira 31,148 zimezalishwa kwenye miradi ya umeme

    AJIRA 31,148 ZIMEZALISHWA KWENYE MIRADI YA UMEME Utekelezaji wa miradi ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme imezalisha ajira 31,148. Kwenye ajira Hizo wapo wanawake (4,915), wanaume (26,179) na walemavu (54). Kati ya ajira hizo, miradi ya uzalishaji iliajiri watu 4,018...
  19. JamiiForums Tanzania Wenye ajira za ujira mdogo wanaishi maisha magumu/ kuteseka zaidi kuliko wasioajiriwa kabisa

    Ukishakua una ajira, haijalishi unalipwa kiasi gani, jamii inategemea unapata hela, hivyo, kuna kuandamwa na ndugu jamaa na marafiki. kwa upande wasio na ajira, wao jamii haitegemei makubwa kutokwa kwao, ingawa wanaweza kua wanapata hela kubwa zaidi ya waioajiriwa. Sasa fikiria, mtumish...
  20. JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…