ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ajali husababishwa na uzembe na ujinga wa kibinadamu. Hakuna Mungu, Shetani au uchawi unaosababisha ajali

    Waafrika hasa watanzania hawatii wala kuzingatia sheria za barabarani halafu wakishapata ajali au ajali ikishatokea wanaanza kupayuka na kutoa maoni kama wehu, Mungu tunusuru! Allah tuokoe! Yesu tusaidie! Wakati Dereva anakanyaga mafuta kisawasawa, speed kibati, mwendo wa ngiri mkia juu, kasi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kama Mkurugenzi na dereva wa TANESCO wamekufa, Polisi wamejuaje ajali ilisababishwa na dereva kumkwepa mwendesha baiskeli?

    Siku zote nimesema Polisi wa Tanzania mara nyingi sana wanatoa statement za uongo na za kutunga wao wenyewe kutokana na matakwa yao, ambayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa pia. Hii inafanya wasiaminike kabisa kwa lolote wanalowaeleza wananchi, kwa mfano kunapokuwa na taarifa za mauaji ya polisi...
  3. JamiiForums Tanzania Penguine wasababisha ajali ya Helcopter

    Helikopta Yateremka Kwa Ajali Ya Kushangaza Chini ya siku chache zilizopita, Idara ya Uchunguzi wa Ajali na Matukio ya Afrika Kusini ilitoa ripoti kuhusu tukio la ajabu. Safari ya kawaida ya uchunguzi wa angani iligeuka na kuwa ajali ya kutisha baada ya pengwini, ndio, pengwini wa kweli...
  4. JamiiForums Tanzania Ajali zinamaliza Raia: Ninamshauri, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuwahamisha Kamanda wa Polisi wa Mikoa ya Geita, Mbeya, na Kilimanjaro

    Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, tumeshuhudia ajali nyingi na kubwa nchini ambazo zimeleta madhara makubwa, ikiwemo mauaji na watu wengi kupata vilema vya kudumu. Hali hii ni ya kutisha na inahitaji hatua thabiti kuchukuliwa ili kuokoa maisha na kuhakikisha usalama wa raia. Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Kilwa road

    gari kubwa lililobeba mbolea limehama njia na kuingia upande wa pili. Eneo la Mbagala . Wawili wahofiwa kupoteza maisha wakiwa kwenye bajaji
  6. JamiiForums Tanzania Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same

    Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same. Ajali ya kwanza ilitokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Njoro na kuhusisha basi la Kampuni ya Osaka lililokuwa likielekea Dar es Salaam, ambapo ilisababisha kifo...
  7. JamiiForums Tanzania Umasikini umekithiri mpaka trafiki anachota mafuta kwenye gari lililopata ajali

    Tazama jinsi lori la mafuta lilivyopata ajali Igunga mkoani Tabora kisha bila woga wananchi wakaanza kuchota mafuta. Na miongoni mwao yupo trafiki naye akichota mafuta kwenye gari lililopata ajali
  8. JamiiForums Tanzania Dar: Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi ajali ilitokea daraja la Tanzanite, watoa wito kwa madereva kuwa makini wakati wa huu wa mvua

    TAARIFA KWA UMMA Tarehe 28/03/2025 majira ya saa 7:45 mchana, karibu na daraja la Tanzanite, wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imetokea ajali iliyohusisha magari matatu kugongana na kusababisha majeruhi wawili na uharibifu wa magari. Ajali hiyo imetokea baada ya dereva wa gari lenye usajili namba...
  9. JamiiForums Tanzania Magari kadhaa yapata ajali daraja la Tanzanite - Dar es Salaam

    Ajali tanzanite bridge Dar es salaam
  10. JamiiForums Tanzania Ajali ya Kibaha eneo la Kongowe imekata mawasiliano Morogoro road

    Kama Una mpango wa kutumia Morogoro Road kwenda Chalinze na kuendelea ama Tanga Moshi na kuendelea tafadhali tumia Bagamoyo road maana Morogoro road imefungwa.. Magari yamejaa barabara zote mbili.. Old Morogoro rd na New Morogoro rd.. Ilikuwa ni ajali ya alfajiri pale maeneo ya Kongowe pale Howo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ajali ya OCD Chanika imenisikitisha ingawa upo ujumbe maalum wa kumuenzi naomba mkuu wa trafiki Tanzania aupokee

    Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana! Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili! Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika kutekeleza sheria! Miongoni mwa manabii walioitwa na mungu ni pamoja na 1. Baadhi ya watumishi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Safari za usiku za ma bus ni kama zimepunguza ajali

    Tokea safari za usiku zishamiri naona kwa sasa ajali zimepungua.unadhani ni kwanini?
  13. JamiiForums Tanzania Jana nimepita daraja la wami nimekiri maono ya Hayati Magufuli na ajali za mara kwa mara pale darajani!

    Mwamba amekwenda lakini maono yake yatabaki vizazi kwa vizazi... vitahadithiana aliwahi pita mwamba katika nchi hii aliyeweza kufanya mambo makubwa kwa muda mchache aliyokalia kiti cha ikulu...wazalendo wa kweli,wanaCCM..machozi yawawabubujika kuondokewa na mwana maono alikuwa gumzo ulimwengu...
  14. JamiiForums Tanzania Askari afa kwenye ajali ya gari njia ya Chanika. Alikuwa kwenye gari dogo lagongwa na daladala

    Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu) Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na gari ndogo ambayo ilikuwa imepaki pembeni ya barabara na ambalo ndani yake alikuwemo askari mwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Ajali mbaya imetokea Mombasa, Ukonga Lori la Mkaa lagonga IST kwa nyuma, Watu wahofiwa kufariki

    Wakuu Ajali mbaya imetokea asubuhi ya leo katika eneo la Mombasa, Ukonga, ambapo lori la mkaa kama unavyoona kwenye picha limegonga gari dogo aina ya IST kwa nyuma. Dereva wa gari aina ya IST aliposikia honi hizo na kuona lori likija kwa kasi, alijaribu kujinusuru kwa kuongeza mwendo, lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Apata ajali akisafiri na UNGO

    Mwanamke mmoja amekutwa akiwa mtupu katika ofisi za TANESCO manispaa ya songea mkoani Ruvuma, mwanamke huyo inadaiwa alikua akisafiri kwa UNGO akitokea mkoani Mtwara na akielekea Nyasa lakin hakufanikiwa na mwishowe kuanguka katika ofisi izo za TANESCO majira ya saa9 usiku. Duuh kumbe haya...
  17. JamiiForums Tanzania Pamba Jiji yapata ajali

    Basi la wachezaji wa Pamba Jiji FC limepata ajali katika eneo la Bahi mkoani Dodoma majira ya saa 11 alfajiri wakati kikosi hicho kikiwa safarini kutoka Bukoba kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Kombe la CRDB Federation dhidi ya Kiluvya United Machi 11, 2025. Taarifa iliyotolewa...
  18. JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Morogoro usiku wa kuamkia Machi 4

    MOROGORO: WATU watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto baada ya magari mawili ya mizigo ,moja likiwa limebeba shehena ya mafuta yaliyotambuliwa kuwa ni dizeli kugongana uso kwa uso wakati yakipishana kwenye tuta la kupunguza mwendokasi eneo la Nane Nane, Manispaa ya Morogoro kwenye barabara kuu...
  19. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mahundi awatembelea majeruhi wa ajali Mbeya, apongeza huduma za Hospitali

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amewatembelea majeruhi wa ajali iliyohusisha basi la CRN na Gari la miundombinu ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya iliyosababisha vifo vya watu wanne na majeruhi watano. Miongoni mwa majeruhi waliotembelewa...
  20. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Chalinze haina Mpinzani kwenye ajali za Barabarani. Ni eneo hatarishi sana kwa Maisha. Mamlaka zichukue hatua.

    Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu wanapaswa kuwa makini. Check hii ni ya leo leo Bwilingu nadhani na ufinyu wa barabara unachangia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…