Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
Uchumi wa kidijitali unachangia kwa kasi ukuaji wa ajira na kipato duniani, huku matumizi ya mtandao yakiongeza fursa za biashara mtandaoni (World Bank Digital Economy Report, 2021).
Swali la kujiuliza si tena:
“Ni mali gani ninamiliki leo?”
Bali:
“Ni digital asset gani ninajenga leo ambayo...
Msemaji wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mashambulizi ya jana waliyofanya na kuwatia hasara mayahudi ni madogo kuliko yale wanayoweza kuyafanya kwa kutumia silaha mpya ambazo wanatengeneza wenyewe.
Msemaji huyo amesema katika mashumbulizi mapya ya Israel wao wamefanikiwa kuzuia sehemu...
Land Cruiser Prado TX
Price 19,300,000/- millions Tshs with full document and insurance cover note!
~Engine 3RZ Petrol
~Automatic Drive
~Low mileage
~Engine cc 2600
~New tyres✅
#0718 578 433
📍Iko dar es salaam posta
Baada ya makambi ya jeshi la Israel kushambuliwa wananchi wote wametakiwa kukaa karibu na mahandaki yao kuhofia maroketi zaidi.
Hali hiyo imetokea kwenye maeneo kadhaa ya Israel hasa kaskazini baada ya Hizbullah kurusha aina mpya ya maroketi ambayo yana ufanisi zaidi katika kupiga eneo lengwa...
Iran ambayo ni mfadhili mkubwa wa magaidi ya waislamu, bila aibu yaanza kulalamika kwa kichapo kilichotembezwa na Israel kwa magaidi ya hezbollah....
=============================
Iran, an ally and sponsor of Hezbollah, on Wednesday accused Israel of “mass murder” over the previous day’s attack...
Wanawake ambao ni wafanyabiashara wa nguo za mitumba wamegundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu kwa watu wa kupato cha chini.
Wanawake hao wamekuwa wakienda Dampo/jalalani kutafuta nguo zilizotupwa na zilizoletwa na magari ya taka na hivyo kuchukua nguo hizo kwa kununua...
Israel wanaendelea kukagua kila aina ya silaha iliyoshushwa...
Kadiri silaha zao Iran zilivyopigwa chini ndivyo walipata hasira na kujaribisha aina mpya silaha za siri walizokua wameficha, na zenyewe zilishushwa, hii ni aibu sana kwa Iran na wavaa dera wote wanaoshabikia ugaidi wa dini...
Huko Sierra Leone Serikali imetangaza Matumizi ya Dawa za Kulevya Kuwa Dharura ya Kitaifa huku Rais Julius Maada Bio akitangaza Mapambano dhidi ya Mihadarati aina ya 'Kush'
Kush inatajwa kuwa na uraibu sawa na Bangi na tramadol na imekuwa ikitumiwa zaidi na Vijana wasio na ajira wakikabiliana...
Wakuu , heshima mbele.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kiukweli TANESCO hili shirika unaweza kudhani pengine tukibadili viongozi wa juu ndio inaweza kuwa mwisho wa matatizo ila pengine naona labda tuanzie kwenye "grassroots"
Ipo hivi, baada ya kufanya ombi la umeme kupitia mfumo surveryor...
Vita dhidi ya dawa za kulevya inazidi kuwa mbichi.
Hivi sasa watumiaji wa ulevi huo, wamekuja na mbinu nyingine ya kutumia dawa za kutibu binadamu kama mbadala wa dawa za kulevya.
Mbinu hiyo ni matumizi ya dawa aina ya methamphetamine’ ambayo kwa sasa inatumika kwa kasi na kuanza kuwa tishio...
Wataalamu kutoka Taasisi a Utafiti na Tiba (KEMRI) wamesema aina ngeni ya Mbu wa Anophelesi Stephensi kutoka Asia Kusini amebainika kuwepo kwenye makazi ya Watu katika Kaunti ya Marsabit.
Kwa mujibu wa Data za Hospitali zimeonesha ongezeko la Wagonjwa wa Malaria ingawa sio msimu wa Magonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.