Rais wa zamani wa Brazil, Jair Bolsonaro, amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kupanga njama ya kupindua serikali halali iliyochaguliwa mwaka 2022.
Uamuzi huo umetolewa na Mahakama Kuu ya Brazil, ambapo jopo la majaji watano lilimkuta na...