Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care).
"Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu...