Ahadi is an Iranian surname. Notable people with the surname include:
Ahadi (The Lion King), a character from the fictive world of The Lion King
Mina Ahadi, Iranian Communist political activist
Reza Ahadi, Iranian footballer
Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
Mwaka jana, Serikali ya Tanzania ilitangaza mpango wa kujenga barabara ya Usagara – Mwanza Mjini (KM 25) kwa kiwango cha njia nne (dual carriageway) ili kupunguza msongamano na ajali zinazoendelea katika lango kuu la kuingia Jiji la Mwanza
Lakini leo, zaidi ya mwaka mmoja baadaye, wananchi...
JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MWEZI MEI 2025?
Habari,
Kwa masikitiko makubwa napenda...
Anonymous
Thread
afya
ahadiahadi hewa
fedha
hewa
muundo
mwaka
mwaka wa fedha
ofisi ya rais utumishi
sekta
sekta ya afya
tanna
tnmc
utekelezaji
utumishi
wizara ya afya
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amezitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria kufanya uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kama watu wote waliokamatwa katika matukio ya Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru, kama...
Habari za asubuhi
Katika hali ya kushangaza halmashauri karibu zote Tanzania zinataka kuchafua jitihada kubwa za Mh Rais Dr Samia Hassan Suluhu alizoweka kwa kutoa ajira takribani 12,000 kama ahadi yake ya siku 100 alivoitoa na kwa asilimia 100 kaitekeleza.
Kipembepembe kinakuja kwa hawa...
Mwezi Julai 2025 ndipo ahadi ya Serikali kuwalipa mafao wastaafu wa jeshi waliopigana vita ya kagera.
Taratibu za kuwakusanya wazee hao zolifanyika uku wakitoka sehemu mbali mbali za nchi na kukusanyika mahali walipo pewa taarifa kukutana ili wapate mwongozo.. wakapewa mwongozo wakafungua...
Kauli ya Serikali kwamba “goli la mama lipo… safari hii tutavunja rekodi” imeamsha mjadala mzito miongoni mwa wadau wa soka nchini. Wakati fainali za AFCON zikikaribia Desemba 21, 2025, matumaini yanapandishwa juu kupitia kauli tamu, zawadi nono na misafara ya wajumbe. Lakini swali la msingi...
Wadau naomba ushauri. Msiba wa mama yetu mwaka jana July na hadi muda wameshindwa kutimiza ahadi zao zote walizokuwa wameahidi kwangu na uwezo wanao. Ahadi wakitoa wao wenyewe baada ya maziko tena mbele ya Mjomba nduguye marehemu mama kunisaidia mimi ndugu yao kumbe ni bure
Nimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana.
Yaliyotokea ni mabaya sana ila Ameshajirekesha maana ndo mara yake ya kwanza so hakujua namna nzuri ya...
Miaka nenda miaka rudi kila mgombea akiwa ananadi sera zake wanatumia tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana iliw achaguliwe. Lakini viongozi hawahawa tukishawapeleka bungeni ndo wanaorudi na kusema "Vijana mjiajiri serikali haiwezi kuajiri kila mtu."
Wananchi tunaposikiliza tunatakiwa kuuliza...
Akizungumza leo Septemba 15, 2025 Kutoka Kijiwe cha Kivulini, Mikocheni – Hanifa Mgonela, Mwanachama wa chama cha CUF anaweka wazi namna ambavyo suala la ajira Tanzania limekuwa fumbo lililokosa majawabu.
Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri?
Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine.
Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli...
Wito wangu kwa viongozi wa maeneo mbalimbali, na hasa viongozi wa matawi na mashina, kuhakikisha kila mtu kwenye eneo lake ametoka kwenda kupiga kura. Tukifanya hivyo, tutasema ahadi tunazozitoa zote zitafanya kazi. Tukilala majumbani, wengine wakatoa watu wao kwenda kupiga kura, ahadi zetu...
Wanasiasa wamekua wakitoa ahadi ya mambo ambayo wanapaswa kufanya kwakuwa wanakusanya kodi, sasa Je, ni ahadi zipi ambazo unajua kabisa ni kama mama anamwambia mwanaye baba yule anaendesha ndege anaelekea Ulaya, zile za utotoni?
Mgombea Ubunge Moshi- Nitafufua viwanda vyote vilivyofilisiwa na...
Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa tusubiri. Mpaka lini?
Ni muda sasa tuanzishe sheria mpya – sheria ya kuwalazimisha wagombea kutekeleza...
Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme.
Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa na wazungu wanne wakipata vinywaji. Mara umeme ulipokatika walisikika wakisema, " welcome to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.