aga khan

Aga Khan (Persian: آقاخان‎, Arabic: آغا خان‎; also transliterated as Aqa Khan and Agha Khan) is a title held by the Imām of the Nizari Ismāʿīli Shias. Since 1957, the holder of the title has been the 49th Imām, Prince Shah Karim al-Husseini, Aga Khan IV (b. 1936). All Aga Khans claim descent from Muhammad, last prophet of Islam.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Hospitali Ya Rufaa Ya Kanda Mbeya Na Hospitali Ya Aga Khan Tanzania Za Saini Makubaliano Ya Kushirikiana Kutoa Huduma Za Afya Kwa Kwa Wananchi

    Ikiwa ni jitihada za kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa Kushirikiana na hospitali ya Aga Khan Tanzania zimesaini makubaliano ya kushirikiana katika utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi. Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Mkurugenzi...
  2. S

    Tetesi: Siri imefichuka. Inadaiwa Mchengerwa kaazima mashine za X-Rays toka hospitali binafsi (X) na kuzipeleka Mwananyamala

    Mchengerwa ni mhuni, hakuna aliyechezea mashine. Baada ya kelele nyingi wameenda kuazima mashine za ziada za hospitali moja binafsi hapa jijini (jina linahifadhiwa wasije kutekwa). Mchengerwa anaficha aibu kwa kujifanya anapiga mkwara wasaliti. Subirini muone kama kuna mtu yeyote ataadhibiwa...
  3. Jamii Opportunities

    Human Resource Officer at Aga Khan Health Services August 2025

    HUMAN RESOURCE OFFICER – (1 POSITION) REPORTING TO THE MANAGER, HUMAN RESOURCE POSITION SUMMARY The role will primarily focus on fostering a positive work environment by maintaining effective employee-employer relationships, ensuring compliance with labor laws, AKHST’s policies and culture...
  4. M

    Hayati Mkapa: Nilimwambia Aga Khan njoo anzisha magazeti mengi, ya serikali na IPP hayatoshi

  5. A

    KERO Aga Khan Dodoma wana huduma mbovu, Madaktari hawaonekani

    Uongozi wa Aga Khan Dodoma, angalieni huduma mnazozitoa. Watu wanapangiwa madaktari, ila hawako ofisini, wagonjwa mpaka walalamike ndio muwape Daktari mwingine. Hapo ni baada ya kukaa muda mrefu. Mtu anafika saa tatu asubuhi mpaka saa moja hajapata huduma. Yani huduma hazieleweki. Mjirekebishe.
  6. BigTall

    Baba aitaka Hospitali ya Aga Khan imlipe fidia ya Tsh. Bilioni 1.2 baada ya mtoto wake kukatwa mguu

    https://www.youtube.com/watch?feature=shared&v=5DrxCZ8iVZs Mwanaume anayefahamika kwa jina Ally Mkii, Mkazi wa Msongola Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, ameishtaki Hospitali ya Aga Khan iliyopo Jijini Dar es Salaam imlipe fidia ya kiasi cha Shilingi Bilioni 1.2 kutokana na madai yake...
  7. Waufukweni

    Prince Rahim Aga Khan V atangazwa rasmi kuwa Imam wa 50 wa Waismailia

    Prince Rahim Al-Hussaini, anayejulikana pia kama Prince Rahim Aga Khan, ametangazwa rasmi kuwa Imam wa 50 wa Waismailia wa Kishia baada ya kufunguliwa kwa wosia wa baba yake, Prince Karim Aga Khan IV, Jumatano. Tangazo hilo limetolewa na Aga Khan Development Network (AKDN). Uteuzi wake...
  8. Kichuguu

    TANZIA Aga Khan Afariki dunia akiwa na Miaka 88

    Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88. Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa huduma za afya na elimu. Shule za Tambaza (Dar), Mkendo (Musoma), Mzizima (Tanga) ni baadhi ya shule...
  9. milele amina

    Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
  10. Jamii Opportunities

    Senior Instructor/Assistant Professor, Urology at Aga Khan University

    Senior Instructor/Assistant Professor, Urology Entity - Aga Khan Health Services Location - Tanzania Introduction Aga Khan University, a private, self-governing international university chartered in Pakistan in 1983, is a role model for academic, research and service programmes in health and...
  11. Jumanne Mwita

    Aga Khan kuachana na NHIF watu wanapiga kelele ila Serikali kufuta Bima ya Toto Afya Kadi hawaoni tatizo

    Katika mitandao ya kijamii kuna hili la The Aga Khan Hospital linatajwa ila watu wanasahau mapema sana. Tukumbushane kidogo tarehe Machi 13, 2023 kutokea Dodoma, tulipata ujumbe huu kupitia vyombo vya habari ukisema. "MABORESHO KATIKA UTARATIBU WA USAJILI WA WATOTO KUPITIA MPANGO WA TOTO AFYA...
  12. Political Jurist

    Aga Khan mmekosa utu na kuweka mbele maslahi kuliko huduma kwa wananchi

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na taarifa iliyozua gumzo ambayo inahusu Hospitali ya Aga Khan kuiiomba NHIF isitishe mkataba wake wa utoaji wa huduma kwa sababu za kiuendeshaji. Ilinistua na nikalazimika kwenda mbali zaidi ili kujua sababu ya suala hilo. Hakika niliumia sana kuona...
  13. G

    DOKEZO Gharama mpya ambazo Aga Khan wanataka walipwe kwa wateja wa NHIF ni kuhujumu nchi. Haikubaliki

    Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha...
  14. Roving Journalist

    NHIF yasema huduma zitaendelea kutolewa Hospitali ya Aga Khan hadi itakapotangazwa tofauti

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unawajulisha wanachama wake na wananchi kuwa huduma za matibabu katika hospitali ya Aga Khan zitaendelea kutolewa kama kawaida hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo. Hatua hii ni inatokana na Serikali kupitia Wizara ha Afya kuendelea na mazungumzo na...
  15. Roving Journalist

    APHFTA: Tumesikitishwa na Aga Khan kusitisha huduma ya NHIF, Taasisi nyingi za Afya zinaweza kusitisha pia

    Wiki iliyopita Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam inayomilikiwa na Taasisi ya Aga Khan ilitangaza kusitisha mkataba kati yake na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika Vituo 11 kati ya 24 vinavyomilikiwa na Taasisi hiyo Nchini ikiwemo Hospitali ya Aga Khan Dar kwa sababu ya changamoto za...
  16. MDAU TZ

    DOKEZO Hospitali ya Aga Khan yadaiwa kufunga baadhi ya Vituo vyake Tanzania, Mamia wadaiwa kupoteza Ajira

    Kuna ya taarifa za kufungwa kwa baadhi ya vituo vya kutolea huduma ya afya vilivyopo chini ya Taasisi ya Aga Khan, Tanzania kwa sababu za changamoto za kiuendeshashaji. Fununu hizo zinaeleza kuwa Taarifa zimetokana na mkutano uliofanyika na mtendendaji mkuu wa Taasisi hiyo nchini, kupitia...
  17. MDAU TZ

    NHIF yasitisha Mkataba na Vituo vya Hospitali ya Aga Khan

    HUZUNI KUBWA. --- YAH: TAARIFA KUHUSU KUSITISHA HUDUMA KWA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VYA AGA KHAN Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu 2. Mfuko husajili vituo vya kutolea huduma za afya kuwawezesha wanufaika wake kupata huduma hizo nchi nzima. Hadi sasa Mfuko umesajili jumla ya vituo...
  18. Jamii Opportunities

    Chair, Family Medicine Tanzania at Aga Khan University

    Introduction The Aga Khan University is a pioneering institution of higher education whose mission is to improve the quality of life in the developing world and beyond, through world-class teaching, research, and healthcare delivery. AKU educates students for local and global leadership from...
  19. Jamii Opportunities

    Project Assistant at Aga Khan Foundation June, 2024

    The position The Project Assistant is part of the core implementation team for the Tuinuke Pamoja project which aims to improve gender equality in Dodoma region. Tuinuke Pamoja is an ambitious initiative of Aga Khan Foundation and TGNP supported by the Irish Embassy Tanzania. The project is...
  20. Jamii Opportunities

    Office Assistant at Aga Khan Foundation June, 2024

    The position Office Assistant will be responsible for day-to-day Office Administration activities of Tuinuke Pamoja Project, including office cleanliness, store management, front office operation and office logistics Duties and Responsibilities Office Premises Cleaning Utilize AKF’s...
Back
Top Bottom