afya

  1. S

    Chachu yangu ni kupata nafasi ya kudumu sekta ya afya ili niendelee kutoa huduma kwa wagonjwa

    Mimi ni kijana ninayejitolea katika moja ya hospital hapa nchini katika kitengo cha mapokezi kwa miaka zaidi ya sita napenda hii kazi ya kuhudumia wagonjwa, changamoto yangu sina uhakika wa ajira kwa hapa nilipo kwa yoyote mwenye mawasiliano hata email ya waziri wa afya tafadhali anisaidie...
  2. A

    KERO Changamoto katika utoaji huduma ofisi za Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Utoaji huduma kwa jamii unatakiwa kuwa rafiki ili kufikia malengo yaliyowekwa kwa manufaa ya TAIFA letu. Mimi kama mchangiaji wa NHIF kuna changamoto nimeziona katika ofisi za NHIF (Chache kama sio zote). 1. Utashi mdogo kwa baadhi ya watoa huduma. Mteja anapohitaji kujisajili/kuendelea na...
  3. B

    Mbunge Kishoa aitaja tena Mkalama Bungeni, ahoji idadi ya watumishi kada ya Afya, Serikali kuipa kipaumbele mwaka huu

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi...
  4. Afya ya akili mara nyingi hupuuzwa, licha ya umuhimu wake katika mafanikio

    Katika ulimwengu wa vijana hasa wa vyuoni, afya ya akili mara nyingi hupuuzwa, licha ya umuhimu wake katika mafanikio ya kitaaluma, ukuaji binafsi, na hali ya maisha kwa ujumla. Makala hii inachunguza changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana na inatoa mikakati ya vitendo vya kukuza na...
  5. Afya ya akili: Ambaka kuku hadi kufa!

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake...
  6. Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

    Hakuna ajuaye atakufa lini, ila kuna life style usipozingatia unajiwahishia mwenyewe kaburini, Tupac nilijua atauliwa tu baafa ya diss track ya Hit them up, Amina Chifupa alijua atakufa baada ya kusema atawataja wauza udaga, Langa, Mangwea walijiwahisha mbele za haki sababu ya udaga, huenda...
  7. Shinyanga: Kituo cha Afya chagundulika kuhifadhi Damu kwenye Majokofu ya nyumbani

    Mkurugenzi wa huduma za afya ustawi wa jamii na lishe Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt.Rashid Mfaume amebaini ukiukwaji wa manunuzi ya vifaa ikiwamo jokofu za kuhifadhia damu katika kituo cha afya Mwalugulu, katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Dkt. Mfaume amebaini hayo...
  8. Maoni yangu kuhusu NHIF kwa wote

    Salaam wana JF, Wakati ndugu zetu waislamu wakisherekea siku kuu ya eid el fitri, natamani tujadiliane kidogo kuhusu swala la Bima yq afya kwa wote. Kiukweli, nachukua fursa hii kuipongeza serikali kwa kuona umuhimu wa kuja na mpango wa bima ya afya kwa wote, maana watanzania wengi ambao...
  9. Kazi za wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    Habari ndugu zangu, Ninaomba kuuliza kuhusu hizi Ajira mpya za wahudumu wa afya ngazi ya jamii zilizotangazwa na Tamisemi kwa mtu mwenye uelewa 1. Kiwango cha mshahara ni bei gani? 2. Kama mtu Una degree nyingine tu unaweza kujificha ukatulia tu cheti chako cha form four kuomba kama...
  10. Siku ya afya Dunia 07 April 2024

    Siku ya afya Duniani
  11. Hospitali za wilaya zitolewe TAMISEMI zipelekwe kusimamiwa na Wizara ya Afya

    Tumeshuhudia mapinduzi makubwa ya Huduma za Afya kwa Hospitali za Rufaa za Mikoa baada tu ya kuhamishiwa chini ya usimamizi wa Wizara ya Afya. Sasa ili kuleta tija ya huduma Bora za Afya kwenye Hospitali za Wilaya nashauri Hospitali za Wilaya pia Zisimamiwe na Wizara ya Afya. Hata baadhi ya...
  12. INAUZWA Imarisha afya yako ukiwa nyumban na mashine za mazoezi

    ubusy wa kazi unafanya tusahau sana afya zetu,foleni barabarani unafika nyumban muda umeenda na unashindwa kutoka na kwenda gym au kukimbia barabaran, lakini vipi ukiwa na mashine ya kukimbia nyumban kwako na ukatumia dakika 25 mpaka 45 jioni au asubuhi kabla ya kutoka? Utakuwa umefanya...
  13. R

    Dr. Emanuel Nchimbi put your words into action

    “Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress” In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the Secretary-General of Chama cha Mapinduzi (CCM), outlined a compelling roadmap for Tanzanian leaders to...
  14. Hivi Mbunge Shabiby alifikiria kuhusu waajiriwa wanaokatwa bima ya afya?

    Wakuu mimi sina mambo mengi sana hapa najaribu kufikiria, hivi Mh. Shabiby aliwaza kweli kuwa kuna watu ambao wao wanakatwa bima moja kwa moja kwenye mishahara yao? Hawa wataondolewaje kwenye huo mfumo aliopendekeza sababu na wao ni wamiliki wa simu watakaokatwa bima mara mbili. Labda...
  15. Denmark yatoa zaidi ya Tsh. Bilioni 103 zilizotumika kwa ajili ya kusaidia Sekta ya Afya kupitia Mfuko wa Afya

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza wakati wa Mkutano na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen (hayupo pichani) aliyeambatana na ujumbe wake, ambapo wamefanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa nchi...
  16. Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  17. Ajira za TAMISEMI za Ualimu na Afya zina ukweli ndani yake au ni siasa?

    Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya. Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?
  18. Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Mkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo; 1. Tembea hatua 10,000 kwa siku 2. Kula kwa wastani 3. Punguza wanga 4. Epuka vitu vyenye sukari 5. Epuka sigara, pombe 7. Pata muda kidogo wa...
  19. Mbunge furaha matondo ataka kujua ni lini Bima ya Afya kwa wote kuanza

    Mbunge Furaha Matondo Ataka Kujua ni Lini Bima ya Afya kwa Wote Kuanza Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya mwisho wa mwezi huu wa Aprili kwa tarehe itakayotajwa. Dkt. Mollel amebainisha hayo Aprili 3, 2024...
  20. A

    DOKEZO Hali ya Choo cha MV KOME II ni hatari kwa afya na usalama wa Watumiaji

    Kivuko cha MV KOME II kinachofanya safari zake kati ya Nyakarilo na Kome Kisiwani katika Halmashauri ya Buchosa, Wilayani Sengerema naweza kusema kinawafanyia ukatili abiria wanao tumia usafiri huo. Kivuko hicho kwa sasa hakina huduma bora ya choo kwani choo kilichopo ni kibovu kimejaa matobo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…