afya

  1. W

    SoC04 Bima ya Afya kwa kila Mtanzania suluhisho kwa watanzania wanaokosa matibabu sababu ya pesa

    Ni kwamba hakuna mtanzania asiyejua adha wanayopata watu wa kipato cha chini pale wanapougua magonjwa mbalimbali. Serekali na Wizara ya Afya waje na sera ya kumpatia kila mtanzania bima ya Afya ili kuondoa adha hii na hii kupiga tadhimini na kujua namna gani fedha zitapatika ili kufanikisha...
  2. Natokwa na usaha kwenye mkojo baada ya kufanya mapenzi. Inaweza kuwa dalili ya ugonjwa gani?

    Wakuu, Juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua kondomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo. Hii inaweza kuwa nini wakuu?
  3. TMDA yasema madai ya Watumishi wao kuhusishwa na Rushwa "Wanaolalamika, wajitokeze, walalamike rasmi na hatua zichukuliwe"

    Baada ya Mdau wa JamiiForums kudai baadhi ya Maafisa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) wamekuwa sio waaminifu wanapokwenda kufanya ukaguzi katika baadhi ya maduka ya Dawa (Pharmacy) ikiwemo kutengeneza mazingira ya Rushwa, kuchukua Dawa na kutoziwasilisha kwenye ofisi za TMDA, ufafanuzi...
  4. M

    Mtu wangu wa karibu hana hisia, yaani hana vichocheo vya kufanya mapenzi. Anawezaje kuondokana na tatizo hili?

    Mtu wangu wa karibu hana hisia means hana vichocheo vya kufanya mapenzi. Tunawezaje kumsaidia mtu huyu kwa matibabu?
  5. L

    RC's kuweni wabunifu, punguzeni utegemezi hasa wa huduna za Afya kwa kukosa vifaa muhimu

     Ni aibu kubwa mkoa unakuwa na watu zaidi ya 600K na Hospital ya Rufaa lakini inakosa vifaa muhimu kama machine ya CTI Scan ambayo gharama yake haizidi 4B. Mnaridhika kabisa wagonjwa kupewa rufaa kwenda mikoa mingine? Just imagine mnapoteza watu wangapi kwa ukosefu wa vifaaa muhimu kama...
  6. H

    SoC04 Afya Bora taifa bora

    Taifa Lina hitaji nguvu kazi na nguvu kazi vijana wanali hitaji taifa. Ili taifa kiendelee linahita vijana wenye afya Bora na sio Bora afya je nn kifanyike vijana wabaki kuwa na afya Bora na wananchi wengine. Vifuatavyo vizingatiwe. Vijana wafanye mazoezi mara Kwa mara mana mazoezi n Tiba Kwa...
  7. H

    SoC04 Afya bora Kwa vijana bora wa taifa la kesho inawezekana

    Taifa Lina hitaji nguvu kazi na nguvu kazi vijana wanali hitaji taifa pia kuonyesha uwepo wetu Ili taifa liendelee linahita vijana wenye afya Bora na sio Bora afya je nn kifanyike vijana wabaki kuwa na afya Bora na wananchi wengine pia Vifuatavyo vizingatiwe. Vijana wafanye mazoezi mara Kwa...
  8. SoC04 Afya ya kijana

    This project is the initiative that aim at providing education to the community basing most to the youths, about various diseases but with more focus on HIV/AIDS and Sexual Transmitted Diseases. It is the fact that Tanzanian society acquires such diseases because of lack of awareness about what...
  9. M

    SoC04 Mapendekezo ya Kutatua Changamoto za Sekta ya Afya Tanzania

    Sekta ya afya ni mojawapo ya sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote, ikichangia kwa kiasi kikubwa ustawi na maendeleo ya jamii. Hata hivyo, Tanzania inakabiliana na changamoto kadhaa katika sekta ya afya ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuongeza ufanisi na ubora wa huduma za afya...
  10. DOKEZO Mchele uliopakwa mafuta na athari kwa afya zetu, Serikali itoe tamko tujue usalama wetu

    Kumeingia wimbi la kuuziwa michele ambayo imepakwa mafuta hasa Dar es saalaam na Pwani, Je serikali kupitia wizara na taasisi zao hawajaliona hili? Je, ni mafuta gani hayo yanapakwa kwenye mchele ikiwa na lengo la kuufanya uonekane mzuri je, ni mafuta ya aina gani? Tunashuhudia kansa...
  11. SoC04 Vijana na afya ya akili (AFYA YA AKILI NI MTAJI) Tanzania niitakayo vijana wapate application inayo husiana na masuala ya Afya ya akili

    Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
  12. G

    SoC04 Maono ya Kiubunifu kwa Sekta ya Afya ya Tanzania: Mwaka 2024 hadi 2049

    Utangulizi Sekta ya afya ni msingi wa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi. Ili kuifikia Tanzania tunayoitamani, ni muhimu kuunda mikakati madhubuti na bunifu itakayotekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo. Andiko hili linaangazia njia za kuboresha sekta ya afya kwa kutumia...
  13. A

    DOKEZO Maduka ya Dawa Muhimu bado wanaendelea kuuza Antibiotics bila kufuata utaratibu licha ya kutolewa kwa katazo

    Kuna kitu kimejificha kwenye hili kati ya Pharmacy Council na wamiliki wa DLDM (Maduka ya Dawa Muhimu), Kwa nini mpaka leo dawa za antibiotics zinauzwa tu kwenye DLDM licha ya katazo? Wenye Famasi wanahangaika kupata mapato na gharama za uendeshaji ni mkubwa tofauti na DLDM. Tunaomba mamlaka...
  14. N

    Bima ya afya NHIF yashindwa kulipa miezi 7 hospitali zinazohudumia, wananchi wateseka, serikali iko kimya

    Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na watumishi wake ndio wemeweka Huu utaratibu huku WANANCHI wakitekete kwakisubili kuongezeka Hela...
  15. Unadhani Sekta ya Afya inahitaji maboresho gani nchini Tanzania na je, ukiteuliwa kuwa Waziri wa Afya utafanya nini cha tofauti?

    Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa: 1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa. Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
  16. V

    SoC04 Maendeleo kwa Tanzania ya kesho kwa sekta ya Elimu na Afya

    Katika nyanja ya elimu, hadithi zina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya na kuchagiza maendeleo ya nchi. kwa kuzingatia mbinu bunifu, desturi-jumuishi, na uwezeshaji katika sekta ya elimu, masimulizi haya yana uwezo wa kuhamasisha mabadiliko ya sera, kukusanya rasilimali, na kukuza...
  17. Kutumia sponge kupika chapati ni salama kiasi gani kwa afya za walaji?

    Kumekuwa na tabia ambapo wapika chapati wengi mitaani hasa migahawa ya jioni hutumia sponge/vipande vya godoro kupika chapati. Je, bidhaa hiyo ni salama kwa kutumika kupikia chapati? Kama kuna Wataalamu wa Afya naomba kujibiwa ama ni uelewa wangu mdogo kuhusu usalama wa chakula na sponge hizo...
  18. H

    SoC04 Maisha yetu ni afya Bora na afya Bora ni Misha yetu

    Kama kila binadamu hapa ulimwengu atakuwa na afya bora maisha yetu nayo yatakuwa Bora Kwa sababu watu watawajibika katika kujenga taifa na taifa litawajibika kutujenga wnanchi Kwa kutupatia hewa safi isiyo na buguza ndani yake. Ni vizuri kutambua kila kiumbe hai kina uhitaji wa afya Bora...
  19. A

    SoC04 Fikra bunifu kuboresha Sekta ya Afya kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    Zifuatazo ni changamoto kuu zinazopaswa kushughulikiwa ndani ya kipindi Cha miaka 5-25: 1. Upungufu wa watumishi wa Afya Changamoto: Tanzania inakabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari,wauuguzi,na wataalamu wa Afya kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa na idadi ndogo ya wahudumu Mikakati ya...
  20. SoC04 Afya ya Figo, Ini na Moyo

    Serikali imekua ikiwekeza nguvu katika tafiti za madhara ya vinywaji vya kuongeza nguvu (Energy drink), Tiba asilia na Matumizi ya pombe katika afya ya Figo, Ini na Moyo. Matumizi mabaya ya Dawa yanaathari kubwa katika afya ya Figo, Ini na Moyo. Je, Madaktari wana waandikia wagonjwa Dawa sahihi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…