afya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya baadhi ya vipimo vya afya ni kubwa zaidi?

    Salaam! Huko mahospitalini tunaona kuwa gharama za baadhi ya vipimo ni za chini na nyingine ni za juu na vingine juu sana. Hii inapelekea hata baadhi ya vifurushi vya Bima za Afya kutokujumuisha baadhi ya vipimo kutokana na gharama kuwa juu kuliko vingine. Swali langu ni napenda kujua ni...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Badala kuongeza vituo vya afya na shule tunakimbilia kuongeza majimbo ya uchaguzi ambacho siyo kipaumbele kwa wananchi

    Hivi niwaulize ndugu zangu! Kuna haraka gani kukimbilia kuongeza majimbo? Ni mwanachi gani aliyekufa au kulalamika kwa ukubwa wa jimbo? Mambo ya msingi tunayolalamikia wananchi yanapuuzwa lakini yale ya hovyo ya kuongeza ulaji ndiyo wanayakimbilia! Gharama ya kulihudumia jimbo linaongeza...
  3. JamiiForums Tanzania HUDUMA YA AFYA MTANDAONI

    Karibu Dr'sonline polyclinic Online Clinic – Huduma za Afya Mtandaoni, Haraka na Salama Karibu kwenye kliniki ya kisasa ya mtandaoni inayokupa huduma bora za afya ukiwa popote ulipo. Kupitia simu au mtandao, unapata ushauri wa kitabibu, vipimo, na dawa bila kulazimika kufika hospitalini...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt Godwin Mollel: NHIF imeanza kugharamia gharama za Huduma ya Afya ya Akili

    Serikali imesema huduma za afya ya akili zimeshajumuishwa kwenye vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), na hivyo wananchi wanaonufaika na bima wanaweza kupata matibabu hayo kwa mujibu wa mwongozo wa matibabu uliopo. Akijibu swali la Mbunge wa Iringa Mjini, Mhe. Jesca...
  5. JamiiForums Tanzania TELEMEDICINE NA AI KATIKA UBORESHAJI WA AFYA

    Teknolojia na Uboreshaji wa Huduma za Afya: Telemedicine na AI Katika dunia ya leo, teknolojia imekuwa na athari kubwa katika sekta ya afya, na mabadiliko haya yameongeza upatikanaji wa huduma za afya, ufanisi, na ubora wa matibabu. Telemedicine na Artificial Intelligence (AI) ni miongoni mwa...
  6. JamiiForums Tanzania MOI yanadi huduma zake za Kibobezi katika Wiki ya Afya Zanzibar

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki maonesho ya Wiki ya Afya Zanzibar yaliyoanza Mei 4,na yatafikia tamati Mei 10, 2025 katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar. Akizungumza katika maonesho hayo leo Mei 5, 2025 Meneja Uhusiano wa MOI, Bw. Patrick Mvungi amesema...
  7. JamiiForums Tanzania MOI tunashiriki Zanzibar Afya Week 2025

  8. C

    JamiiForums Tanzania Hope Chanell ya wasabato wekeni watu waliobobea kwenye vipindi vya afya ili msivuruge watazamaji wenu

    Kuna somo linaendelea sasa hivi kuhusiana na ugonjwa wa kisukari. Nasikitika kwamba mtaalamu mliyemuweka kufundisha somo hilo,anatumia rejea ya elimu za kizamani sana ambazo zimepitwa na wakati. Kusema mtu mwenye kisukari aepuke kula nyama na mayai kwamba umeng'enyaji wa protini hizo ni mgumu...
  9. JamiiForums Tanzania Afya ya ubongo pamoja na maendeleo yake kwa watoto wetu miaka 0-20

    Wakuu habari za leo, Huku tukiendelea kupambana na maisha tukumbuke kuacha kizazi chenye akili sawa sawa! Ubongo ndo kila kitu jamani kwenye maisha ya kiumbe japo vingine havina ubongo lakini lazima kuwe na system mbali mbali ambazo zinaendesha sehemu zingine za mwili wa kiumbe huyo! Kama...
  10. JamiiForums Tanzania Ninavyosaidia brand za afya kupata wagonjwa wengi na mauzo zaidi kupitia victoria agency

    NINAVYOSAIDIA BRAND ZA AFYA KUPATA WAGONJWA WENGI NA MAUZO ZAIDI KUPITIA VICTORIA AGENCY. Unajua changamoto kubwa ya biashara za afya? Dawa nyingi za asili Herbal medicine zinasaidia sana watu wengi wanapona kwa gharama ndogo sana. Nimefanya kazi na brand za afya, Ila 👇👇 Unakuta mtoa...
  11. JamiiForums Tanzania Kupatiwa mawazo juu ya afya yangu

    Habari zenu wana jamvi leo nimekuja kwa unyenyekevu mkubwa ndugu yenu naumwa hlf sijui nini kinanisumbua najua itawashangaza ila na huu ukubwa nilonao sijui naumwa nini ni vile najiskia vibaya mwili unakosa nguvu mda mwengine viungo vinauma tu mda mwengine kama nataka kutapika inafika mwezi wa 4...
  12. JamiiForums Tanzania Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

    Akihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima. Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera
  13. JamiiForums Tanzania Apps za simu kwa ajili ya afya (Tanzania 2025)

    Apps za Simu kwa Ajili ya Afya (Tanzania 2025). Katika zama hizi za kidijitali, simu janja zimekuwa zaidi ya mawasiliano—zinasaidia hata kwenye afya zetu. Hizi hapa ni baadhi ya apps mpya au maarufu zinazotumika Tanzania kwa ajili ya huduma za afya: 1. AfyaTrack – App hii ya Kibongo...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Maji machafu Stendi ya Mabasi Nyegezi - Mwanza yanahatarisha Afya za wasafiri

    NImeshangaa kusema ukweli, nilikua natoka kwenye pilikapilika zangu Mikoani, wakati nashuka Stendi kuu ya Mabasi ya Nyegezi nikakutana na harufu kali ambayo kimsingi haivumiliki. kugeuka kushoto kulika nikakuta maji machafu yatokanayo na kinyesi yanatitirika bila wasiwasi ndani ya stendi hiyo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Daud Mwenye changamoto ya Afya ya Akili auawa

    Wakazi Wa Mtaaa Lumbila Kata ya lwambi jijini wamesherekea vibaya Sikukuu ya Pasaka baada ya Kumka Asubuhi na kukuta kijana Daud Adamson Mwaitebele(23) aliyekuwa na tatizo la afya ya akili na changamoto ya kusikia ameuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kukutwa shamba la mahindi mita chache...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Pesa zipo za kutosha, Uwezo wa kulea na kuhudumia upo, Afya za uzazi ni imara, kuna sababu ipi ya kupata mtoto moja au watatu tu ?

    Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia. Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto nane lakini unakuta watu wanaamua kuzaa mtoto moja tu hadi watatu tu. INASHANGAZA !! Mimi nina watoto wanne tu lakini laiti ningekuwa na uwezo...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia azindua gari la kubebea wagonjwa lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 19 Aprili 2025, amezindua gari la kubebea wagonjwa (ambulance) lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya. Uzinduzi huo unalenga...
  18. JamiiForums Tanzania Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .

    Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
  19. JamiiForums Tanzania Shambulizi la Israel laua mhudumu wa afya Gaza, tisa wajeruhiwa

    Shambulio la angani la Israel limepiga lango la Hospitali ya Kuwaiti katika eneo la Muwasi, na kusababisha kifo cha mhudumu wa afya na kuwajeruhi wengine tisa, wakiwemo wagonjwa waliokuwa wakitibiwa. Shambulio la angani la Israel limepiga lango la Hospitali ya Kuwaiti katika eneo la Muwasi...
  20. JamiiForums Tanzania Karibu upate peanuts butter ,ujenzi bora wa Afya yako .

    Karibu upate peanuts butter ,ujenzi bora wa Afya yako . Hizi waweza kuzitumia katika uji Waweza kutumia katika Mboga Waweza kutumia katika Chakula Kama kupika mihogo , ndizi kwenye Mapishi: unaweza kuiweka katika Nyama, kande, Mboga za Majani na hata kupaka juu ya Mkate. Bei ni kuanzia elfu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…