Nimekutana na huu ujumbe Facebook je, kinachozungumzwa ni cha kweli?
Kucheka si tu ishara ya furaha — ni tiba ya mwili na akili pia! Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa kucheka husaidia kupunguza msongo wa mawazo (stress), huimarisha kinga ya mwili, na hata kuboresha afya ya moyo.
Wanasayansi...