afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tutaondokanaje na makelele kama vile adhana, mikesha , kumbi za starehe, wauza CDs, n.k. yanayosababisha changamoto za afya ya akili kwa jamii?

    Pamoja na wengi kutojali hata kujua hili, kelele au noise pollution licha ya kuwa uchafuzi wa mazingira, husababisha changamoto za kiakili. Si ajabu kuona vichaa wanaongezeka nchini. Watu wengi wana changamoto kwa afya ya akili kutokana na sababu mbali mbali mojawapo ikiwamo ni kelele hasa...
  2. Idadi ya wanajiongelesha wenyewe imekuwa kubwa sana. shida ni nini?

    Nimeanza kushikwa wasiwasi hata Lucas mwashamba inawezekana mada zake zikawa anajiongelesha mwenyewe. Ukiwa unatembea mtaani au njiani watu wengi unakuta wanajiongelesha wenyewe unaweza kusema wameweka maskioni zile earphone lakini sio. Leo nimekutana na mtu jioni hii sijui swahumu imekuwa...
  3. Nimekata tamaa sana nakufikia kuona kifo ndio suluhisho

    Mimi sio mjuzi wakuandika uzi JF hii ndo mara yangu ya kwanza na inaweza kuwa ya mwisho kama kuna makosa jitahidini kuelewa. Niende moja kwa moja kwenye mada, nahisi leo inaweza kuwa siku yangu ya mwisho kwenye huu uso wa dunia ila nitakuua nimeacha maumivu makubwa sana kwa familia, ndugu...
  4. PreGE2025 Saipulan Ramsey: CHADEMA yahitaji uchunguzi wa Afya ya Akili kwa Kauli yao No reform No Election

    Katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Saipulan Ramsey azungumza kuhusiana na kauli ya chama chademokrasia na maendeleo chadema No reform No Election nakusema kile chama kinahitaji kipelekewe daktari wa kupima afya ya akili Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  5. Napataje matibabu ya changamoto ya afya ya akili?

    Je? Nimwone nani anisaidie, Daktari au Mchungaji? Nna miaka 29 now. Last week nimekutana na tukio baya Sana in my life, as nilijaribu kujiua juu ya kuwa nimezongwa Sana na msongo wa mawazo ya vimadeni na Kila jambo nnalopanga haliendi. Nilipona bàda tu ya kujishauri mwenyewe and I cried a lot...
  6. Uhakika ni kuwa hali waliyonayo vijana ni mbaya mnoo. Baada ya kupigika kiuchumi na kimatumaini kitakachofuata ni kupigika afya ya akili

    Kuna uzi nimeona mwamba anasema kuwa ana washkaji zake wanapambana na vimishe visivyoeleweka vya mitaani na wako katika 30s huku wakisubiria kuajiriwa ualimu. Biashara za duka zimekuwa ukame, watu wanasukuma pesa kwa ajili ya kupambana kulipia bills na tozo mbali mbali. Wanaomake pesa ni wale...
  7. Nahisi nina tatizo kubwa la afya ya akili linaninyemelea. Wataalamu wa mambo ya saikolojia naombeni msaada mda sio mrefu nitadata

    Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo...
  8. Bila cheti cha afya akili ndoa isifungwe!

    Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo. Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya ajabu,kujeruhiana,kudhalilishana na hata wengine kutoana uhai. Nashauri mamlaka husika ziweke sheria...
  9. Mjadalala:Athari za uonevu kwenye afya ya akili mashuleni

    Shiriki mjadala huu live kuanzia Saa mbili Usiku mpaka saa Tatu , ufahamu athari anazoweza pata mtoto kiakili kufuatia uonevu anaotokea mashuleni .
  10. Sehemu salama ya mwanaume ni wapi?

    Afya ya akili kwa wanaume imekua tatizo linalokua kwa kasi sana na kusababisha matatizo na majanga ambayo tumekua tukiyasikia kila siku. Naomba kuuliza wanaume mliopo JF: Huwa unazungumza na nani kuhusu matatizo au changamoto binafsi ulizonazo? Je ukikwama kikazi, kibiashara, kimahusiano...
  11. Vijana tunateswa na ukata mkali na mapenzi ya kitapeli. Tumevurugwa!

    State of mind na afya ya akili ya vijana wa kibongo utaijulia humu JF. At some point kijana anaweza akakakurushia dongo kali humu, yani 24hrs yeye amevurugwa. Frustration imekuwa kali, vijana wanachomiliki ni akaunti za mitandao ya kijamii na mia 500 za kununulia bahasha za kuzunguka na CV zao...
  12. F

    Tendo la ndoa ni dawa. Kukaa muda mrefu bila kufanya sex kunaharibu afya ya akili.

  13. Afya ya akili ya "Diva" wa Wasafi ipo mashakani

    Hivi wakuu afya ya akili ya diva mnaiona ipo sawa kweli? Ana utoto mwingi sana ,juzi kati watu wamemzodoa aliyekuwa mume wake kapata chombo kipya na ni mrembo haswa, eti Diva naye kaona wivu aka download picha ya mkaka mtanashati akaposti kwamba ndo mpenzi wake kwa sasa hivyo hatishiki wala...
  14. Kataa ndoa ni zao la mfumuko wa gharama za maisha na wahanga ya wanawake wasiojielewa

    Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala mkubwa, na maoni juu yao yanatofautiana sana – kuna wale wanaowaona kama wanaokwepa majukumu, wengine...
  15. P

    Kila hoja inapojibiwa na “Samia mitano tena”: kuna tatizo la afya ya akili

    Naona sasa hivi watu wako bizee kumpigia chapuo mwenyekiti wa CCM ili achaguliwe na wananchi ifikapo October mwaka huu. Hali hii inaonekana kwenye comments za vijana wa kijani ambao kila hoja utakayoleta hapa JF wao wanacomment tu Samia mitano tena. Umaskini umechangia udumavu wa akili
  16. Zaituni Shabani Salum wa ZAMHSO: Elimu ya Afya ya Akili ni nguzo muhimu kwa kizazi chetu

    Katika kuendeleza mradi wa kutoa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni Zanzibar, Taasisi ya Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) inaendelea kufanya juhudi kuhakikisha inafikia shule zaidi ya 50 Kisiwani Unguja kama ilivyo sema hapo awali pia kufikia zaidi ya Wanafunzi 5,000. Wahusika...
  17. Msongo wa mawazo kwa wanawake upo hata kwa walimu

    Nimekuwa nikijiuliza muda mwingi mbona kama ni ajira kuna wengine wameajiriwa, wanawake wanahamishia stress zao kwenye kazi zao. Leo nimeshuhudia walimu wa kike wanamshambulia binti (mwanafunzi) kwa maneno makali tena wote walikuwa kama wanne ivi akijibu huku anaulizwa huku au anaulizwa maswali...
  18. Tuishi hivi kujiepusha na changamoto za akili

    Usijishughulishe kumtafuta Asiekutafuta Punguza ama acha kabisa kuomba! Kufa Kijerumani. Zungumza kilicho muhimu tu ili kujiepusha na yanaoepukika! Atakethubutu kukuonyesha dharau, confront Him/Her immediately. Usile Chakula cha Mtu zaidi ya aLIvyokula cha Kwako! Punguza vile unawatembelea Watu...
  19. Bila Cheti afya ya akili ndoa isifungwe!

    Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo. Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya ajabu,kujeruhiana,kudhalilishana na hata wengine kutoana uhai. Nashauri mamlaka husika ziweke sheria...
  20. ZAMHSO: Mradi wa Afya ya Akili Shuleni utaacha athari chanya na kuleta mabadiliko ya kudumu

    Januari 28, 2025 imekuwa ni siku ya pili ya utekelezaji wa mradi wetu wa Afya ya Akili mashuleni, mradi ambao unalenga kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu afya ya akili kwa wanafunzi na walimu hapa Zanzibar. Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha tunajenga kizazi chenye ufahamu wa kutosha kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…