Salama wadau
Unaambiwa binadamu hukutana lakini milima haikutani na malipo ya ubaya ni hapahapa duniani.
Sasa jamaa baada ya kununua Twitter kwanza kawatimua management yote na baadaye staff wapewa alerts Fagio LA chuma litapitishwa kuondoa baadhi ya wafanyakazi.
Sipati picha bwana Trump...
Mimi Kama mwanachama na shabiki wa miaka mingi wa Yanga naomba nabi afukuzwe haraka Sana yanga.
Yanga totally ni mbovu Sana mechi yao ya mwisho waliyocheza mpira ni game ya Mtibwa mwezi 8 toka hapo yanga hakuna timu.
Tuna kundi la wachezaji tu
Nabi inaonekana ameshindwa ku control dressing...
MFANYAKAZI ili Afukuzwe Kazi Kwa Sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusu au Sababu ya Msingi.
Inaletwa kwako na Nyagawa, J (Mwanasheria)
Wazee wa Mahakama ya Rufani Wamekubali Kupitia (Review) Upya Maamuzi Yao, Watoto wa Mjini...
Mwalimu mmja huku new Jersey awa gumzo kutokana shape yake wazazi wawaka wataka afukuzwe wadai anawachanganya watoto wakimuona huku wengine wakimtetea asifukuzwe Ila avae nguo za heshima.
Makarani wawili wa sensa wilayani Iringa wameachishwa kazi kwa uzembe.
Mmoja amefukuzwa kwa ulevi uliopindukia na mwingine kwa kupoteza tablet aliyopewa kuhesabia watu
Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Ibara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
TAMKO LA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa...
Taarifa ikufikie kuwa hili ndilo tamko lililotolewa na Chancellor Fr. Vincent Mpwaji wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, japokuwa kisa hakijatajwa lakini hizi ndiyo taarifa za uhakika kutoka katika kanisa hilo, jisomee mwenyewe uone
Inasomeka hivi...
Waheshimiwa Mapadre Wote,
Jimbo Kuu la Dar es...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemtaka msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa, Mathias Gillmann kuondoka Nchini humo haraka iwezekanavyo baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kumshutumu kwa kutoa "taarifa zisizoeleweka na zisizofaa" kuhusiana na Nchi hiyo
Takriban watu 30...
Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani.
Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia...
Mmalaka Nchini Kenya imesitisha kibali cha kuendelea kuishi Nchini humo mmoja wa wauzaji wakubwa wa mafuta raia wa Ufaransa kutokana na sakata la uhaba wa mafuta linaloendelea.
Mfaransa huyo ni Christian Bergeron ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Rubis Energy Kenya ambayo ni kampuni tanzu...
Salaam Wakuu,
Natumaini kesho Polepole atasusia Kuapishwa. Sababu alisema ubunge ukiisha hagombei tena. Pia alisema ana misimamo yake haiyumbishwi wala hababaishwi na mtu yoyote.
Polepole ana bahati. Kakutana na rais Samia ana huruma. Kampeleka karibu hapo Malawi ikitaka kusalimia atapanda...
IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi.
Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU.
Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
afukuzwa
astaafu
busara
igp
igp sirro
kazi
kuendelea
kujiuzulu
kuwepo
nyakati
ofisini
raia
rais
rais samia
samia
sirro
taifa
taifa letu
usalama
usalama wa raia
Kama kuna wakati huyu Baba Askofu anapitia wakati mgumu ni huu sasa.
KAtika mazishi ya Rev Gehaz Maasusa, baba wa Askofu mwenziwe Dk Alex Malasusa, Askofu Mwaikali ilibidi aondolewe hapo msibai kwa hofu ya kutokea fujo.
Naambiwa hapo msibani palikuwa na amani ya hali ya juu, lakini askari na...
Wakili wa Paul Rusesabagina, anayeelezwa kuwa shujaa katika filamu ya mwaka 2004 ya Hollywood ya Hotel Rwanda kuhusu mauaji ya kimbari ya Rwanda" na ambaye anatuhumiwa kwa "ugaidi", amefukuzwa na mamlaka ya Rwanda Jumamosi jioni kwa "kukiuka sheria ya uhamiaji", kulingana na Mkurugenzi Mkuu wa...
Nchi ni kama haina waziri wa michezo.
Olympics tunapeleka watu watatu.
TFF uchaguzi wa kihuni.
Simba mwnye asilimia 49 anafanya maamuzi yote.
Je, Mo alivyomteua Barbara ilikuwepo.
Regulatory Approval? Au hakuna hata Regulatory Institutions za kufatilia hizi clubs?
Waziri yupo Tu mambo...
KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara, amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuhusishwa na tuhuma za utapeli. Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Kirumbe Ngenda, jana alilithibitishia gazeti hili kuwa wamekubali barua ya kujiuzulu kwa Manara iliyowasilishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.