afrika

  1. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania unakua watajwa kuingia kwenye 10 Bora Afrika kwa pato la GDP

    Nchi ya Tanzania imeendelea kutajwa kuwa imara na kukua kiuchumi, hiyo ni baada ya kuingia kwenye orodha ya nchi 10 bora za Afrika kwa Pato la Taifa (GDP) kwa Mwaka 2024, kwa mujibu wa IMF. Ikiwa na GDP ya Dola Bilioni 79.87, maendeleo ya uchumi wa Tanzania yanaonyesha athari chanya za sera...
  2. JamiiForums Tanzania Emergency Travel Document inakubalika Afrika Kusini?

    Kwa mtu ambaye hana passport kubwa, akipata safari ya ghafla kwenda mojawapo ya nchi kama AFRIKA KUSINI, BOTSWANA, NAMIBIA, n.k., anaweza kutumia EMERGENCY TRAVEL DOCUMENT? Hiyo huwa inapatikana haraka sana, unaweza ukaipata siku iyo hiyo uliyoiomba. Afrika Kusini itakubali kumpokea...
  3. JamiiForums Tanzania Idris Elba asema anaweza kuishi Zanzibar akihamia Afrika ndani ya miaka 10 ijayo

    Mwigizaji nyota wa Filamu, Idris Elba amesema anatarajia kuhamia Afrika katika kipindi cha miaka 10 ijayo na huenda akaishi katika miji ya Zanzibar, Accra nchini Ghana au Freetown huko Sierra Leone na lengo kukuza tasnia ya Filamu. Elba ambaye Januari 2023 alikutana na kufanya mazungumzo na...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga yaweka rekodi Afrika, yafikisha mechi 22 bila kufungwa

  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wanahofia kupita Zimbabwe katika safari za Afrika Kusini?

    Sijawahi kufika kwenye hizo nchi, lakini naamini nitafanya hivyo muda si mrefu.Lakini kwa stori za hapa JF, wengi wa wadau wanashauri kutokupita Zimbabwe kwa safari za kwenda Afrika Kusini. Natamani, katika safari yangu, niende kwa ndege, lakini wakati wa kurudi, nitumie usafiri wa usafiri wa...
  6. JamiiForums Tanzania Top 5 viongozi bora Afrika 2024

    Kwangu mimi hii ndio orodha ya viongozi bora Afrika kwa sasa. 1. Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) 2. Dkt. Tulia Ackson (Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU) 3. Rais Hakainde Hichilema (Zambia) 4. Rais Nana Akufo-Addo (Ghana) 5. Rais Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini)
  7. JamiiForums Tanzania Nchi 10 Afrika zenye deni dogo zaidi la Serikali katikati ya Mwaka 2024

    Top 10 African countries with the smallest government debt mid-2024 Maintaining a low government debt is critical for African countries seeking to stimulate economic growth, raise living standards, and attract international investment. Countries with low debt loads gain from currency stability...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano na China unafanya usasa kuwa jambo linalowezekana kwenye nchi za Afrika

    Mkutano uliopita wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC uliofanyika mwezi Septemba mjini Beijing, kaulimbiu ya “Kuungana Mkono ili kuendeleza Usasa na Kujenga Jumuiya yenye mustakabali wa Pamoja ya China na Afrika”, ilifuatiliwa na kuchambuliwa na wataalam na wanazuoni mbalimbali...
  9. JamiiForums Tanzania Mwaka 2050 bara la Afrika litakuwa na vijana wengi wasomi watakao kwenda kulisaidia bara la Ulaya, Je watanzania tumejiandaaje kutoa vijana hao?

    Kenya already in it - they doing it BIG, Rwanda Next one in line.. Uganda might as well be on the move - Sisi tukajiandikishe daftari la kupiga kura na mambo yetu ya serikali za mitaa kwanza.. Part of Africa is Doing iT 🙃
  10. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kwanza wa Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao Kusini mwa Afrika Wafanyika Tanzania

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa ujio wa Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa Afrika unadhihirisha namna Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia ilivyokuwa na mahusiano mazuri ambayo yamefungua milango...
  11. E

    JamiiForums Tanzania TBC mmedanganya. Nyerere hakuwa wa kwanza Afrika kustaafu kwa hiari

    MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor Rais kwa kwanza wa Senegal Alistaafu kwa hiari December 1980 MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo Rais wa kwanza wa Cameroon Alistaafu kwa hiari November 1982
  12. JamiiForums Tanzania Vijana hawa Wakiafrika wametengeneza video kuonesha mnyororo wa upigaji wa pesa za miradi Afrika. Its funny but depressing 🤣😠

    https://youtube.com/shorts/5lm6tYWIaAk?si=ljz2wml3yqs92TuF
  13. JamiiForums Tanzania Busara za Mwalimu Nyerere katika kudumisha na kulinda umoja wa Afrika

    Januari 1976,huko Ethiopia,Addis Ababa, mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za OAU uliitishwa Ili kupata suluhu ya mgogoro mzito na wa kutisha uliotaka kuligawa bara la Afrika vipande vipande. Mgogoro huo ulikuwa baina ya nchi zilizokuwa zinaiunga mkono serikali ya MPLA chini ya Antonio Agostino...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Afrika inaonesha hekima na uamuzi bora zaidi kuhusu magari ya umeme ya China

    Hivi majuzi, Klabu ya Magari ya Ujerumani ADAC ilitoa ripoti ya utafiti ikionyesha kuwa karibu 60% ya watu waliohojiwa wa Ujerumani wanafikiria kununua magari ya chapa ya China, huku asilimia 72 ya watu wenye umri wa miaka 18 hadi 39 wakipendelea magari hayo. Kuhusu magari ya umeme, asilimia 80%...
  15. JamiiForums Tanzania Waafrika tujitambue kwenye hizi dini Uislam na Ukristo

    Waafrika dini zetu kuu ni 2, Uislam na Ukristo. Japo dini mbili hizi zinatofautiana ila misingi yake mikuu ni kuleta amani na upendo baina ya watu na si vingine. So kimsingi mifumo yetu ya kiibada ni tofauti ila sababu ya ibada zetu ni kumjua Mungu na kuhubiri amani na upendo baina yetu sisi...
  16. JamiiForums Tanzania Understanding Africa’s Position in Global Diplomacy and Economics

    1/ 🧵 African leaders often engage in high-level diplomacy with global powers like China, receiving symbolic honors such as 21-gun salutes. These ceremonies are important for fostering mutual respect, but behind the pageantry, the economic disparities are stark. 2/ 💡 For example, Tanzania’s GDP...
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022, Nchi 10 tu Afrika ikiwemo Tanzania zilipokea 46.4% ya Misaada yote ya Maendeleo kutoka nchi 24 za nje

    Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim Foundation (MIF) imeonesha kwa kipindi cha mwaka 2022, nchi 10 tu za Afrika zilipokea karibu nusu ya Misaada yote ya Kimaendeleo kutoka kwa Wafadhili wa Nje iliyokadiriwa kufikia zaidi ya Tsh. Trilioni 103.34. Aidha, kwa mujibu wa takwimu za Shirika la...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika ni washirika wanaohitajiana na sio wa kunyonyana kama zilivyofanya nchi za magharibi

    China na nchi za Afrika zinaendelea kufurahia ushirikiano na urafiki wao wa kudumu ambao uliwekewa jiwe la msingi na mwasisi wa China Mwenyekiti Mao Zedong na viongozi wengine waasisi wa Afrika. Katika kipindi chote cha zaidi ya miongo sita China na Afrika siku zote zimekuwa zikiheshimiana...
  19. JamiiForums Tanzania Kati ya Hersi kuwa Rais wa vilabu Afrika na Simba kuwa Pot 1, lipi ni jambo la heshima Kwa Mpira wa Tanzania?

    Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika. Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
  20. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz aweka rekodi, awa msanii wa kwanza Afrika Mashariki kuwania Tuzo za MTV Europe Music Awards kwa Mihula Mitano

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amekuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards kwa mihula mitano, akiwania vipengele sita, ikiwa ni pamoja na Best African Act mara tano na Best Worldwide Act mara moja. Katika mihula minne...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…