afrika

  1. Kwa sera za namna hii, Tanzania inaweza badilisha hali yake ya kiuchumi na kuwa taifa imara ukanda wa Kusini mwa Afrika ama inahtaji mageuzi zaidi?

    Habari za jioni wana jamii leo nimekaa na kuwaza kuhusu nchi yetu ya Tanzania kwa kina na kwa upana sikuwa na budi bali kuandika haya mambo kwa sisi watanzania wote Tanzania ni nchi ambayo imekaa vizuri kijiografia yaani tumezungukwa na nchi nane tunaweza sema tisa tukiweka na visiwa vya...
  2. W

    Johann Rupert amng'oa Dangote kwenye Nafasi ya Tajiri namba moja Barani Afrika

    Kwa mujibu wa orodha ya 'Bloomberg Billionaires Index' imemtaja Bilionea Johann Rupert kutoka Afrika Kusini kuwa Mwanaume tajiri zaidi barani Afrika Rupert anamiliki Kampuni kubwa duniani ya bidhaa za kifahari Richemont inayomiliki 'brand' kama Cartier na Montblanc Utajiri wake umeongezeka...
  3. M

    Tanzania ni ya 3 kwa ulevi Afrika

    mwenyekiti wa chama cha wagonjwa wa kisukari prof.Andrew Swai amewataka watu kuacha matumizi mabaya ya pombe ili kujiepusha bna magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kama kisukari, magonjwa ya figo pamoja na moyo. Amesema kua kutokana na takwimu zilizofanyika Tanzania imekua nchi ya 3 kwa ulevi barani...
  4. L

    Yanga wana uwezo wa kubeba Ndoo ya Afrika, wamekosa Nusu Fainali au Fainal labda zifanyike figisu

    Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila mtu atoke kwake kivyake mkutane pale, msipande basi la pamoja, mitego inaanzia airport, ndo maana kila...
  5. L

    Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Maendeleo ya kasi ya kiuchumi na kijamii ya China, yamekuwa ni mambo yanayojadiliwa kwa kina na wasomi wengi duniani, ikiwa ni pamoja na wale wa nchi za Afrika. Moja kati ya mambo ya msingi yanayotajwa kuwa ni kiini cha maendeleo hayo ni njia ya China ya kujiletea maendeleo, ambayo wataalam wa...
  6. L

    Ajenda ya mwaka 2063 ya Umoja wa Afrika na Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika kuhimiza mafungamano China na Afrika

    Kwa muda mrefu sasa ushirikiano kati ya China na Afrika ulijikta kwenye ushirikiano kati ya pande mbili, yaani ushirikiano kati ya China na nchi moja moja ya Afrika, uliojikita kwenye mahusiano kati ya serikali. Kutokana na kuendelea kupevuka kwa ushirikiano kati ya China na Afrika, wigo wa...
  7. L

    Miradi ya China barani Afrika yachochea maendeleo ya uchumi na kutoa nafasi nyingi za ajira kwa watu barani Afrika

    Wakati mkutano wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unafanyika mjini Beijing, wataalamu na wachambuzi wa mambo ya ushirikiano wamekuwa wakifanya mapitio ya baadhi ya miradi inayotekelezwa na China barani Afrika, na matokeo yake kwa uchumi wa nchi hizo. Kinachoonekana ni kuwa...
  8. Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  9. Ujerumani Kuisaidia Afrika Dozi 100,000 za Chanjo ya Mpox

    Ujerumani itatoa dozi 100,000 za chanjo ya mpox kutoka kwa hisa zake za kijeshi kusaidia kudhibiti mlipuko katika bara la Afrika katika muda mfupi na pia kutoa msaada kwa nchi zilizoathiriwa. Serikali italipatia Shirika la Afya Duniani rasilimali za kifedha kupitia vyombo mbalimbali vya...
  10. Teknolojia za Ajabu Afrika, Taja nyingine unayoifahamu.

    Hii ni moja ya mambo yaliyowahi kunishangaza sana. Huyo mwamba aliyeshikilia hapo ameamua kuweka kende zake rehani kwa ajili ya taifa.
  11. Simba Queens Yakosa Kufuzu CAF WCL, Yabamizwa 3-2

    Klabu ya Simba Queens yashindwa kufuza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika mara baada ya kuondolewa hatua ya Nusu fainali kwenye michuano ya CECAFA hatua ya Nusu Fainali baada ya kufungwa na Kenya Police Bullets. FT' | Simba Queens 2 - 3 Kenya Police Bullets.
  12. Ushirikiano wa uwekezaji kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    Mkutano wa mwaka 2024 wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utafunguliwa hivi karibuni hapa Beijing. “Ripoti ya Mwaka 2024 ya Uwekezaji wa Kampuni za China barani Afrika” imetolewa Ijumaa wiki iliyopita hapa Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, uwekezaji wa China...
  13. Afrika Kusini: Upinzani watikisika, Naibu wa Malema ahamia Chama cha Zuma (MK)

    Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), kimepata pigo kubwa baada ya Naibu wake, Floyd Shivambu, kujiondoa na kujiunga na Chama cha aliyekuwa Rais Jacob Zuma - uMkhonto weSizwe (MK) Floyd Shivambu alikuwa anachukuliwa kama Mtaalamu wa Kiitikadi wa EFF huku Julius Malema, akichukua nafasi ya...
  14. Hivi kwa nini matege na makengeza yanapatikana sana kwa wakazi wa Afrika? Sijaona kwa wazungu

    Hili nimekuwa nikijiuliza sana, wadau, kuna mwenye ufahamu?
  15. Kwanini matumizi ya Mbolea za Kisasa katika nchi za Afrika ni lazima ikiwa nchi za Ulaya wanatumia Samadi?

    Nimefanya utafiti katika kuongeza ufahamu kwenye mashamba ya vyakula na mazao mbalimbali yalimwayo na Wazungu, kitu nilicho gundua wao asilimia 100% wanatumia mborea ya samadi kutoka kwenye kinyesi cha ng'ombe, farasi na miti, pia na mabaki ya taka za majumbani. Pia soma: Kuwa na kilimo cha...
  16. Karakana ya Luban yathibitisha ushirikiano mzuri kati ya China na Afrika katika mafunzo ya ufundi stadi

    Mkutano wa mwaka 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utafanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na majukwaa ya ushirikiano ikiwemo FOCAC, China na Afrika zimehimiza ushirikiano wao katika sekta mbalimbali kwa njia ya...
  17. Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

    Kuna nchi moja nilikuwa Ninajidanganya nikidhania Wao ni bora kwa Kuwaona mara kwa mara kumbe ni Wachumba.
  18. Tutumie fursa ya vita vya Magharibi kuzalisha na kuwauzia bidhaa zaidi

    Kutumia fursa ni elimu, kipaji au hulka ya mtu?. Wazungu wote sasa hivi wanapingana wenyewe kwa wenyewe hali inayopungaza uzalishaji na masoko yao kiuchumi. Lakini Ni ajabu kubwa kuona waafrika badala ya kutumia fursa hii kuungana na kuzalisha, kuuziana na kuwauzia wazungu tunawaza kutekana...
  19. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika wasaidia kutimiza ndoto za Waafrika

    Ushirikiano na uhusiano kati ya China nan chi za Afrika umedumu kwa miongo mingi sasa, na kuzinufaisha pande hizo mbili kidhahiri. China imekuwa mwenzi wa kutegemeka kwa nchi za Afrika, na imetekeleza ama inatekeleza miradi mingi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ujenzi wa barabara, reli, bandari...
  20. L

    Ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika kupitia FOCAC umekuwa na mwelekeo endelevu

    Katika miaka mingi iliyopita, Afrika ambayo mara nyingi ilionekana kama bara lisilo na tumaini, ilishindwa kabisa kuvutia washirika wake wa jadi ikiwemo Marekani na nchi za Ulaya. Kupitia changamoto hii, China iliibuka na kuishika mkono Afrika ambapo baadaye ikawa mshirika wake mkubwa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…